yaan shida tupu wenda sisi ndo tunawadekezaWanume bwana!! Akipata mwanamke anaempotezea atalalamika na kudai anachepuka! Akipata anaemjali napo analalamika na kuona usumbufu, kwakweli hawajui ni nini wanataka hawa viumbe!!!
Sijawahi mkuu, ila napenda zaidi uhalisia, hata kama kujibebisha Kuna kiasi chake, Muda wa mapenzi ujulikane, muda wa kufanya mambo mengine ujulikane vilevileAlafu unakosea unapotenganisha mapenzi na utoto... Nani alikudanganya mapenzi hayahitaji utoto? Ivi ulishawahi kushinda chumbani na demu hata kwa siku moja? Huwa mnaamrishana au ?
kuna siku utakuja kulia hapa kisa hutumiwi hata sms moja. Time will tellNa zisipojibiwa pia muwe waelewa, lawama lawama ndo zinatuchosha sisi, inakuwa mwanaume ukirudi nyumani unakutana na loudspeaker Kutwa kelele ... Perepepe zinatuboa
Kila mtu anahitaji space in life...men are not special katika hili.. shida ni kudate wenza wasiojielewa...hawajui kama saa hii mpenzi ako na shugli au ako free to communicate
Huyu jamaa thelathini hana huyu dah mbavu zangu
Hujapokea tenaOk now you can disturb me. I'm available.....
Ndomana, basi siku utakayojaribu, utaelewa tunachokizungumzia
Reply text yangu basi maana naona simu hutaki kupokea
hiyo avatar mkuu unaweza kuikuza kidogo... kama naiona vibaya hv..!!!!Ebu Fanya Busara Za Kunionganisha Na Hao Viumbe Wanao Kuja Kwako Kulalamika Ndugu Yangu
Kwani hamuwezi kuishi bila kugombana na sisi?? Kwani lazima??Yaani wewe ukihitaji space ni sawa ila mwenzio akihitaji basi kakupanda kichwani!! Selfish creatures.
Mkaege peke yenu basi kama hamtaki stress, nani anahitaji stress kwani?
Hem jaribu na kwangu labda cm yakoHujapokea tena
Mungu anakuona
Simu imekufa spika. Usimchoshe mungu kwa kuniona....mrahisishie uje kwa waziri mkuuHujapokea tena
Mungu anakuona
Wakipendwa na wakajua wanapendwa wanajaa viburi hawa!! Wakiachwa wanalalama tena, mfyuuuu!!yaan shida tupu wenda sisi ndo tunawadekeza
sisi tukipenda tunaacha mazima viporo vyetu tuna concetrate na mmoja sasa wao hawaachi, wakati unamuwaza yeye ndo yeye anamuwaza asha. Si anajua wewe upo tu? Ni washenzi kiufupi wangejua kuna watu wanalia hata kutumiwa sms wasingekuwa vichwa maji.