Hii ni kwenu wasichana

Inahitaji muda mrefu sana kuwatambua wanawake, matendo yao, kauli zao na akili zao hakika walitofautishwa sana na Sisi wanaume.

Mwanamke wa umri wa miaka 30 anaweza kufanya kitendo ambacho mtoto wa kiume wa miaka 14 hawezi kufanya, hii yote ni kutokana na wao kuwa na akili ya kipekee (sijasema udhaifu)

Wataalam wa biology watueleze utofauti uliopo katika ubongo wa ME/KE
 
Wanume bwana!! Akipata mwanamke anaempotezea atalalamika na kudai anachepuka! Akipata anaemjali napo analalamika na kuona usumbufu, kwakweli hawajui ni nini wanataka hawa viumbe!!!
yaan shida tupu wenda sisi ndo tunawadekeza
sisi tukipenda tunaacha mazima viporo vyetu tuna concetrate na mmoja sasa wao hawaachi, wakati unamuwaza yeye ndo yeye anamuwaza asha. Si anajua wewe upo tu? Ni washenzi kiufupi wangejua kuna watu wanalia hata kutumiwa sms wasingekuwa vichwa maji.
 
Alafu unakosea unapotenganisha mapenzi na utoto... Nani alikudanganya mapenzi hayahitaji utoto? Ivi ulishawahi kushinda chumbani na demu hata kwa siku moja? Huwa mnaamrishana au ?
Sijawahi mkuu, ila napenda zaidi uhalisia, hata kama kujibebisha Kuna kiasi chake, Muda wa mapenzi ujulikane, muda wa kufanya mambo mengine ujulikane vilevile
 
Na zisipojibiwa pia muwe waelewa, lawama lawama ndo zinatuchosha sisi, inakuwa mwanaume ukirudi nyumani unakutana na loudspeaker Kutwa kelele ... Perepepe zinatuboa
kuna siku utakuja kulia hapa kisa hutumiwi hata sms moja. Time will tell
 
Sijawahi mkuu, ila napenda zaidi uhalisia, hata kama kujibebisha Kuna kiasi chake, Muda wa mapenzi ujulikane, muda wa kufanya mambo mengine ujulikane vilevile
Ndomana, basi siku utakayojaribu, utaelewa tunachokizungumzia
 
ada31268edf49b8a9428ec27add40914.jpg
Huyu jamaa thelathini hana huyu dah mbavu zangu
 
Yaani wewe ukihitaji space ni sawa ila mwenzio akihitaji basi kakupanda kichwani!! Selfish creatures.
Mkaege peke yenu basi kama hamtaki stress, nani anahitaji stress kwani?
Kwani hamuwezi kuishi bila kugombana na sisi?? Kwani lazima??
Tukirudi nyumbani tunataka amani no stress... Ova
 
yaan shida tupu wenda sisi ndo tunawadekeza
sisi tukipenda tunaacha mazima viporo vyetu tuna concetrate na mmoja sasa wao hawaachi, wakati unamuwaza yeye ndo yeye anamuwaza asha. Si anajua wewe upo tu? Ni washenzi kiufupi wangejua kuna watu wanalia hata kutumiwa sms wasingekuwa vichwa maji.
Wakipendwa na wakajua wanapendwa wanajaa viburi hawa!! Wakiachwa wanalalama tena, mfyuuuu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom