Shida ya wanaume wanadhindwa kuwasoma wanawake, sanadhani wanavyowaza wao ndivyo tunavyowaza sisi, kumbe ni kinyume kabisa,wanajikuta wanaishia tu kuwaumiza wanawake wanaowapenda kwa dhati.Shida ya wanawake.. wanashindwa kuwasoma wanaume. Wanadhani wanavyowaza wao.. ndio tunavyo waza sisi... kumbe ni kinyume kabisa.... wanajikuta wanaishia kulalamika kutwa nzima.. mara wananune... inakera.. sometimes..
Text zote hzo ni wthin 3minutes[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
8:56~8:59 huyo dada nae ni jipu
Muamshe!Kalala...
Wanume bwana!! Akipata mwanamke anaempotezea atalalamika na kudai anachepuka! Akipata anaemjali napo analalamika na kuona usumbufu, kwakweli hawajui ni nini wanataka hawa viumbe!!!Kumbeeeee ndo maana wanawake wanawapenda mashamba boy???? Maskini mdada wa watu ana stress hana wa kumwambia mme busy, mdada karudi jikoni/kutoka nje kakutana na shamba boy anauliza "samahani mama neema mbona huna kimya hivyo? Kuna shida yoyote?" ahaaa
anyway siungi mkono sms/calls ambazo sio za msingi lakini inabidi pale mtu umetoka kazini kuwa na mda na mkeo
wanaume wengine hamko romantic ndo maana mnalalamika
mfano gf wako kakutumia sms asubuhi "morning baby" mchana kakukaribisha chakula na kukuuliza kama umekula, jion kakujulia hali kama umeshatoka kazini, wajameni hapa kuna shida??
Kumjua mwanaume inahitaji akili ya ziada.
Hahaaa umeuwa bendi mdau mashauzi yote kwishaMateso haya anayoyapata huyu binti sio ya kuvumiliaView attachment 471335
Hawajui tu jinsi mood zetu zilivyo.. Ila kuna nyakati akili inakuwa mbali na haiitaji usumbufu, na ndo hapo hapo utakuta wanaanzisha ugomviHasa pale kichwa kinapokuwa kinachemka na kuhitaji utulivu alafu mtu anakuletea mahaba ya karaha... Ni kama anazingua fulani hivi...
cc: Kasinde
Hayo sasa mapenzi ya ushindani, na kati ya vitu ambavyo wanaume tunavichukia basi ni pale mwanamke anapojaribu kushindana na sisi... Yani wanawake wa skuizi sijui mkoje yaniOooh kumbe inawahusu wasichana!!
Na nyie wavulana sasa kama mnahitaji space si muwe peke yenu ili muwe na space ya kutosheleza kabisa uweke hata semi. Siku na hao wasichana watakapohitaji space msije tu mkalalamika.
Si huwa mnahisi wanawake wao hisia zao ni kuzisucrifice kwenu tu na waishi vile mtakavyo nyie!! Basi siku nae akihitaji space kuwa tu mpole na umpe hiyo space aitakayo. Sio mashindano,inaitwa kujipa space.Hayo sasa mapenzi ya ushindani, na kati ya vitu ambavyo wanaume tunavichukia basi ni pale mwanamke anapojaribu kushindana na sisi... Yani wanawake wa skuizi sijui mkoje yani
Utampa nini akishaamkaMuamshe!
Aisee umeshanipa tekniki nzuri sanaWa hivi wapo ila mazingira utakayomuwekea lazima yambadilishe,yaan akiona unampenda sana anabadilika ghafla anakua jeuri sababu unampenda na anaamin huna ubavu wa kumuacha.
Limbwata linakuja pale unapochoka vituko vyake na kutaka kumpotezea ndipo anahaha kukurudisha kwa njia yoyote.
Mpaka anafikia stage ya kujifananisha namimi na kunipanda kichwani namna hiyo mimi nitakuwa namuangalia tu? Labda tumezaliwa tumbo moja hahaha... Wanaume hatupendagi stress tunataka mwanamke mtulivu, ovaSi huwa mnahisi wanawake wao hisia zao ni kuzisucrifice kwenu tu na waishi vile mtakavyo nyie!! Basi siku nae akihitaji space kuwa tu mpole na umpe hiyo space aitakayo. Sio mashindano,inaitwa kujipa space.
Aje aitikie salamu yangu.Utampa nini akishaamka
Yaani wewe ukihitaji space ni sawa ila mwenzio akihitaji basi kakupanda kichwani!! Selfish creatures.Mpaka anafikia stage ya kujifananisha namimi na kunipanda kichwani namna hiyo mimi nitakuwa namuangalia tu? Labda tumezaliwa tumbo moja hahaha... Wanaume hatupendagi stress tunataka mwanamke mtulivu, ova
Hawajui tu jinsi mood zetu zilivyo.. Ila kuna nyakati akili inakuwa mbali na haiitaji usumbufu, na ndo hapo hapo utakuta wanaanzisha ugomvi