Hii ni kwa ajili ndugu Paul Christian Makonda aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa - DSM

Muacheni huyo jamaa ndg zangu, akiongea ana kibri, akikaa kimya anapower nyuma yake, binadamu hatuishiwi.

Mimi naona acha aongee ana haki na ni hulka ya binadamu yoyote, mzee wa ubeligiji hawezi kukaa kimya hata siku moja iwe kabla au baada, mbona hasemwi nowdays?.

Asee tuchukue jembe tukalime asee is too much!.
Tatizo anatuuma nyingi chafu kama upo nae karibu mwambie basi majira yanabadilika
 
✓Ni ajabu na kweli kuwa huyu ndugu aliyewahi kuwa RC maarufu sana enzi zile wa mkoa wenye watu wengi zaidi Tanzania yaani DSM analalamika kuwa anawindwa na kundi la watu ili wamuue..

✓ Ukisoma posts zake huko Instagram utagundua kubwa Paul Makonda bado ni mtu mwenye kiburi na asiyeelewa maana ya unyenyekevu..

✓Sisemi au kuandika haya ili kumhukumu Paul Makonda kwa maana ya kumuona mwenye dhambi sana, mkosaji sana huku mimi nikijihesabia haki ..... la hasha... I don't mean that.!

✓Nataka kuonesha kuwa sisi ni binadamu. Wote tuna tabia moja common kwa kila mtu, kuwa, sisi wote tu wenye dhambi. Hakuna mwenye haki hata mmoja. Sisi sote kiasili ni uzao wa babu yetu mmoja - Adamu. Na kupitia Adamu dhambi iliingia kwa kila mmoja..

✓Kwa hiyo, Makonda ni binadamu na anabeba tabia zote za kibinadamu za udhaifu wa kibinadamu kama ilivyo mimi na wewe...

✓Lakini tofauti pekee tuliyonayo binadamu mmoja mmoja ni namna ya kuona njia ya kuyaepuka maisha ya dhambi za makusudi..

✓ Njia hiyo ni UNYENYEKEVU na UTII wa amri na maelekezo (guidelines) za Mungu za namna bora ya kuishi hapa duniani kupitia kwa Yesu Kristo Bwana na mwokozi wa watu wote..

✓ Kuna time ktk maisha, watu huwa tunakwama na kukosa masaada kabisa. Hata kama tuna utajiri na pesa kiasi gani, kwa wakati huo zinakuwa hazina msaada..

✓ Mfano rahisi ni kifo cha Magufuli. Huyu alikuwa Rais wa nchi. Kwa ugonjwa aliokuwa anaugua angeweza kupata matibabu popote na kwa gharama yoyote kwa sababu utajiri au pesa haikuwa tatizo ili kuahirisha kifo chake kwa wakati ule. Lakini alikufa. Why? Jibu ni KIBURI. Njia pekee kuepusha madhara kwa wengine ilikuwa lazima afe, aondoke..

✓Paul Makonda bado anakabiliwa na KIBURI. Haoni kuuwa yeye ni binadamu na binadamu huwa tunakosea. Bahati njema kuwa yeye bado ana NEEMA YA UHAI. Bahati mbaya ni kuwa haonekani kutaka kujishusha na kunyenyekea kwa kukiri na kutubu makosa yake kwa Mungu wake na kwa wote aliowakosea..

✓Paul Makonda aliishi maisha ya kumtegemea binadamu aliyezaliwa na mwanamke, anayekufa, kuzikwa na kisha kuoza ardhini badala ya Mungu aliye muumba na kumpa uhai. Leo mwanadamu aliyemtegemea hayupo, kafa. Atafanyeje sasa?

✓Inasikitisha kuwa, kwa sababu ya kiburi chake haoni kabisa kuwa upo msaada mbele yake. Anajaribu kujitetea kwa kujihesabia haki. Anajaribu kukwepa ku - take responsibility ya makosa yake. Anajaribu kutwisha mzigo watu wengine kwa makosa yake..

✓Haoni kuwa kwa sasa msaada wake ni Mungu Yehova kupitia kwa Yesu Kristo pekee..

✓Kimbilia huko ndugu yangu Makonda. Nenda kakiri na kutubu makosa yako. Mungu atakusamehe kabisa na kukuondolea adhabu au hukumu ya dhambi zako iliyoko mbele yako..

✓ Ukifanya hivyo, nenda hatua moja mbele. Chukua ujasiri wa kuonana na wote uliowaumiza wakati ukiwa na madaraka ya kiserikali. Waambie nisameheni. Kisha, rudisha kila mali ya mtu iliyoichukua kwa nguvu Pasipo ridhaa yao..

✓ Kumbuka machozi ya uliowaumiza na kuwanyanyasa kwa sababu tu walikupinga au mlitofautiana nao yamemfikkia Mungu na hayo ndiyo yanayodhalisha ghadhabu ya Mungu na kukutafuna..

✓Ukikubali ushauri wangu, hakika neema ya amani ya Bwana Yesu Kristo itakuwa juu yako. Utasamehewa kabisa na utabaki na moja tu, kuuguza makovu ya matokeo ya dhambi zako. Ukikataa na kuendelea kubeba kiburi chako hakika UTAKUFA..
Amina.
Umempa ushauri mzuri sana
 
MJUMBE NI KAMA HOJA YAKO IMEJIKITA KUJADILI MTU!

Nawaza kwa sauti, samahani ndio naamka muda huu...
 
Makonda ukimuona kanisani analia ujue kuna kitu anawinda; yeye ni mtu wa ushirikina wa majini [ urafiki wake na sheikh wa mkoa DSM] na hata akampoteza Jiwe kumpeleka kwa huyo sheikh wa mkoa waDSM akawa anawasomea kuwa wasizulike kumbe alikuwa anawapandikiza majini!!! Yakamcharukia Jiwe ndio yakampoteza halafu mnasingizia watu kuwa wamemuua!!! Muulizeni Makonda kwa yule sheikh wa Mkoa walikuwa wanakwenda kufanya nini na Jiwe? This is how Makonda blackmailed Jiwe!!!!
Aisee mtu mzima kuwa muongo haipendezi kabisa.
 
Duh mambo yanabadilika kwa kasi sana.
 
Makonda ukimuona kanisani analia ujue kuna kitu anawinanda; yeye ni mtu wa ushirikina wa majini [ urafiki wake na shekh wa mkoa DSM] na hata akampoteza Jiwe kumpeleka kwa huyo sheikh wa mkoa waDSM akawa anawasomea kuwa wasizulike kumbe alikuwa anawapandikiza majini!!! Yakamcharukia Jiwe ndio yaka mpoteza halafu mnasingizia watu kuwa wamemuua!!! Muulizeni Makonda kwa yule sheikh wa Mkoa walikuwa wanakwenda kufanya nini na Jiwe?
Kama alipita kote huko ni sawa tu.

The point here ni kwamba, it's time to take responsibility. Akubali kuwa alikosea na kuumiza watu wengine bure. Kisha aombe msamaha kwa watu aliowakosea na kuwaumiza in one way or another na kisha atubu kwa Mungu ili maisha yaendelee.

Ni bahati mbaya sana kwake ukisoma maandishi yake, inaonesha kuwa bado anasumbuliwa na kiburi. Na mtu mwenye kiburi daima hujihesabia haki..

Ajihesabiaye haki huwa hayaoni makosa yake. Huwa haoni udhaifu wake. Hicho ndicho kinachoitwa KIBURI..

MUNGU wetu ni wa neema sana. Ndugu yetu bado anayo fursa ya kutengeneza na kuyaishi maisha ya baraka. Bahati mbaya tu ni kuwa mambo ya dunia hii [madaraka, pesa, sifa za kijinga toka kwa wanadamu, umaarufu ni] yamenajisi akili na ufahamu wake..
 
Duh! Ujumbe mzito sana huu kwa Makonda na kwa watu wengine wote ambao wamekuwa na tabia za kuwaonea binaadamu wenzao na kuwadhalilisha Eti tu kwa sababu wao wana uwezo wa kufanya hivyo !! OLE WAO ! SIKU HAZIGANDI ! YOU GONNA PAY THE BIG PRICE ONE DAY !!

Absolutely, Yes..

Ni funzo kwetu sote ya namna bora ya kuishi na kupendana sisi kwa sisi..

Mungu hapendi mtu mwingine amuumize ndugu yake [binadamu sote ni ndugu, baba yetu ni mmoja tu - Mungu muumba wa mbingu na nchi]..

Ukiumiza ndugu yako, Mungu mwenyewe alishatamka adhabu na hukumu yake hapa hapa duniani..
 
✓Ni ajabu na kweli kuwa huyu ndugu aliyewahi kuwa RC maarufu sana enzi zile wa mkoa wenye watu wengi zaidi Tanzania yaani DSM analalamika kuwa anawindwa na kundi la watu ili wamuue.

✓ Ukisoma posts zake huko Instagram utagundua kubwa Paul Makonda bado ni mtu mwenye kiburi na asiyeelewa maana ya unyenyekevu.

✓Sisemi au kuandika haya ili kumhukumu Paul Makonda kwa maana ya kumuona mwenye dhambi sana, mkosaji sana huku mimi nikijihesabia haki ..... la hasha... I don't mean that.

✓Nataka kuonesha kuwa sisi ni binadamu. Wote tuna tabia moja common kwa kila mtu, kuwa, sisi wote tu wenye dhambi. Hakuna mwenye haki hata mmoja. Sisi sote kiasili ni uzao wa babu yetu mmoja - Adamu. Na kupitia Adamu dhambi iliingia kwa kila mmoja..

✓Kwa hiyo, Makonda ni binadamu na anabeba tabia zote za kibinadamu za udhaifu wa kibinadamu kama ilivyo mimi na wewe...

✓Lakini tofauti pekee tuliyonayo binadamu mmoja mmoja ni namna ya kuona njia ya kuyaepuka maisha ya dhambi za makusudi..

✓ Njia hiyo ni UNYENYEKEVU na UTII wa amri na maelekezo (guidelines) za Mungu za namna bora ya kuishi hapa duniani kupitia kwa Yesu Kristo Bwana na mwokozi wa watu wote.

✓ Kuna time katika maisha, watu huwa tunakwama na kukosa masaada kabisa. Hata kama tuna utajiri na pesa kiasi gani, kwa wakati huo zinakuwa hazina msaada.

✓ Mfano rahisi ni kifo cha Magufuli. Huyu alikuwa Rais wa nchi. Kwa ugonjwa aliokuwa anaugua angeweza kupata matibabu popote na kwa gharama yoyote kwa sababu utajiri au pesa haikuwa tatizo ili kuahirisha kifo chake kwa wakati ule. Lakini alikufa. Why? Jibu ni KIBURI. Njia pekee kuepusha madhara kwa wengine ilikuwa lazima afe, aondoke.

✓Paul Makonda bado anakabiliwa na KIBURI. Haoni kuuwa yeye ni binadamu na binadamu huwa tunakosea. Bahati njema kuwa yeye bado ana NEEMA YA UHAI. Bahati mbaya ni kuwa haonekani kutaka kujishusha na kunyenyekea kwa kukiri na kutubu makosa yake kwa Mungu wake na kwa wote aliowakosea..

✓Paul Makonda aliishi maisha ya kumtegemea binadamu aliyezaliwa na mwanamke, anayekufa, kuzikwa na kisha kuoza ardhini badala ya Mungu aliye muumba na kumpa uhai. Leo mwanadamu aliyemtegemea hayupo, kafa. Atafanyeje sasa?

✓Inasikitisha kuwa, kwa sababu ya kiburi chake haoni kabisa kuwa upo msaada mbele yake. Anajaribu kujitetea kwa kujihesabia haki. Anajaribu kukwepa ku - take responsibility ya makosa yake. Anajaribu kutwisha mzigo watu wengine kwa makosa yake..

✓Haoni kuwa kwa sasa msaada wake ni Mungu Yehova kupitia kwa Yesu Kristo pekee..

✓Kimbilia huko ndugu yangu Makonda. Nenda kakiri na kutubu makosa yako. Mungu atakusamehe kabisa na kukuondolea adhabu au hukumu ya dhambi zako iliyoko mbele yako..

✓ Ukifanya hivyo, nenda hatua moja mbele. Chukua ujasiri wa kuonana na wote uliowaumiza wakati ukiwa na madaraka ya kiserikali. Waambie nisameheni. Kisha, rudisha kila mali ya mtu iliyoichukua kwa nguvu Pasipo ridhaa yao..

✓ Kumbuka machozi ya uliowaumiza na kuwanyanyasa kwa sababu tu walikupinga au mlitofautiana nao yamemfikkia Mungu na hayo ndiyo yanayodhalisha ghadhabu ya Mungu na kukutafuna..

✓Ukikubali ushauri wangu, hakika neema ya amani ya Bwana Yesu Kristo itakuwa juu yako. Utasamehewa kabisa na utabaki na moja tu, kuuguza makovu ya matokeo ya dhambi zako. Ukikataa na kuendelea kubeba kiburi chako hakika UTAKUFA..
IMG-20220412-WA0064.jpg
 
Atarudisha damu za aliyomwaga?
Yeye kama Makonda, hawezi iwapo aliua kweli. Lakini Mungu ni wa neema kwetu sote. Tukinyenyekea kwake na kuomba msamaha na kujutia makosa yetu, yeye humsamehe tu maana anasema, dhambi zetu zinapokuwa kubwa na mbaya kiasi cha kuleta chukizo mbele za binadamu, yeye atazigeuza kubwa baraka kubwa..!
Ushauri wako ni mzuri kwake. Sote tunajua kuwa mwenye kutoa hukumu ya haki ni Mungu pekee. Paul yampasa atubu ili abaki mwepesi mbele ya Mungu.

YES, that's is the only way out kwa sasa. Usaidizi wa wanadamu umeshafikia ukomo wake. Msaada pekee kwa sasa ni kwa Mungu Mkuu kupitia mwanae mpendwa, Bwana na mwokozi wa ulimwengu huu yaani - YESU KRISTO..
Ila kwa hapa duniani yampasa akutane na adhabu kali ili iwe fundisho kwa viongozi wengine na namna hiyo. Tunajua wazi kuwa alishiriki kuuwa vijana wasio na hatia, waliotegemewa, na waliokuwa na maono mbele yao
Ni kweli kabisa. Mungu husamehe dhambi na kuondoa hukumu itokanayo na dhambi hizo. Lakini matokeo ama majereha ama makovu yaliyosababishwa na dhambi hizo huendelea kupona taratibu na mwisho na yenyewe kwa neema ya Mungu, hutoweka..

Mtume Paulo wakati huo akiitwa Sauli [kwenye biblia] alikuwa muuaji na mtukanaji mbaya sana. Lakini kwa neema ya Mungu aliokolewa na kufanyika baraka hadi leo kwa kila mmoja wetu..

NEEMA YA MUNGU IPO NA INATOSHA KWA KILA MTU. TUIENDEE HIYO .
 
✓Ni ajabu na kweli kuwa huyu ndugu aliyewahi kuwa RC maarufu sana enzi zile wa mkoa wenye watu wengi zaidi Tanzania yaani DSM analalamika kuwa anawindwa na kundi la watu ili wamuue.

✓ Ukisoma posts zake huko Instagram utagundua kubwa Paul Makonda bado ni mtu mwenye kiburi na asiyeelewa maana ya unyenyekevu.

✓Sisemi au kuandika haya ili kumhukumu Paul Makonda kwa maana ya kumuona mwenye dhambi sana, mkosaji sana huku mimi nikijihesabia haki ..... la hasha... I don't mean that.

✓Nataka kuonesha kuwa sisi ni binadamu. Wote tuna tabia moja common kwa kila mtu, kuwa, sisi wote tu wenye dhambi. Hakuna mwenye haki hata mmoja. Sisi sote kiasili ni uzao wa babu yetu mmoja - Adamu. Na kupitia Adamu dhambi iliingia kwa kila mmoja..

✓Kwa hiyo, Makonda ni binadamu na anabeba tabia zote za kibinadamu za udhaifu wa kibinadamu kama ilivyo mimi na wewe...

✓Lakini tofauti pekee tuliyonayo binadamu mmoja mmoja ni namna ya kuona njia ya kuyaepuka maisha ya dhambi za makusudi..

✓ Njia hiyo ni UNYENYEKEVU na UTII wa amri na maelekezo (guidelines) za Mungu za namna bora ya kuishi hapa duniani kupitia kwa Yesu Kristo Bwana na mwokozi wa watu wote.

✓ Kuna time katika maisha, watu huwa tunakwama na kukosa masaada kabisa. Hata kama tuna utajiri na pesa kiasi gani, kwa wakati huo zinakuwa hazina msaada.

✓ Mfano rahisi ni kifo cha Magufuli. Huyu alikuwa Rais wa nchi. Kwa ugonjwa aliokuwa anaugua angeweza kupata matibabu popote na kwa gharama yoyote kwa sababu utajiri au pesa haikuwa tatizo ili kuahirisha kifo chake kwa wakati ule. Lakini alikufa. Why? Jibu ni KIBURI. Njia pekee kuepusha madhara kwa wengine ilikuwa lazima afe, aondoke.

✓Paul Makonda bado anakabiliwa na KIBURI. Haoni kuuwa yeye ni binadamu na binadamu huwa tunakosea. Bahati njema kuwa yeye bado ana NEEMA YA UHAI. Bahati mbaya ni kuwa haonekani kutaka kujishusha na kunyenyekea kwa kukiri na kutubu makosa yake kwa Mungu wake na kwa wote aliowakosea..

✓Paul Makonda aliishi maisha ya kumtegemea binadamu aliyezaliwa na mwanamke, anayekufa, kuzikwa na kisha kuoza ardhini badala ya Mungu aliye muumba na kumpa uhai. Leo mwanadamu aliyemtegemea hayupo, kafa. Atafanyeje sasa?

✓Inasikitisha kuwa, kwa sababu ya kiburi chake haoni kabisa kuwa upo msaada mbele yake. Anajaribu kujitetea kwa kujihesabia haki. Anajaribu kukwepa ku - take responsibility ya makosa yake. Anajaribu kutwisha mzigo watu wengine kwa makosa yake..

✓Haoni kuwa kwa sasa msaada wake ni Mungu Yehova kupitia kwa Yesu Kristo pekee..

✓Kimbilia huko ndugu yangu Makonda. Nenda kakiri na kutubu makosa yako. Mungu atakusamehe kabisa na kukuondolea adhabu au hukumu ya dhambi zako iliyoko mbele yako..

✓ Ukifanya hivyo, nenda hatua moja mbele. Chukua ujasiri wa kuonana na wote uliowaumiza wakati ukiwa na madaraka ya kiserikali. Waambie nisameheni. Kisha, rudisha kila mali ya mtu iliyoichukua kwa nguvu Pasipo ridhaa yao..

✓ Kumbuka machozi ya uliowaumiza na kuwanyanyasa kwa sababu tu walikupinga au mlitofautiana nao yamemfikkia Mungu na hayo ndiyo yanayodhalisha ghadhabu ya Mungu na kukutafuna..

✓Ukikubali ushauri wangu, hakika neema ya amani ya Bwana Yesu Kristo itakuwa juu yako. Utasamehewa kabisa na utabaki na moja tu, kuuguza makovu ya matokeo ya dhambi zako. Ukikataa na kuendelea kubeba kiburi chako hakika UTAKUFA..
Mjeuri huyu bado anaenda mitandaoni kujisifu muuwaji Mkubwa, mwabudu shetani, anapenda kiki, anatujaribu kuona tutaongeaje mshenzi, funga domo utulie, yote yako yanajulikana, uchafu wote upo wazi, mnatumia vibaya ofisi umma, ulikuwa unatisha hadi mawaziri eti Nitakusemea kwa baba kama hutaki kuachia makontena yangu, who are you? Haya kawa makamu wa rais Sasa..isdory yule mnyenyekevu na mtii, mwenye elimu. Wewe hujastaarabika, elimu za kufojifoji, mtundu wa kujikomba na ujanja mwingi huko tayari kwa lolote ili ujinufaishe binafsi mshenzi wewe, ukapambana kinafiki na madawa ya kulevya ili hiyo biashara uimiliki mwenyewe, dar ndio likawa ndio LANGO LA KUINGILIA DRUGS TO NCHI ZA KUSINI(USA wrote it) baada ya wewe kujiingiza humo, ulionekana Mara kadhaa South Africa na one of biggest dealer huko South Africa. Halafu all over sudden ukaanza kumiliki migari majumba ya kifahari na kusema wewe ndio namba moja unayekula Raha hapa duniani, wewe?
 
Duuh, Haji Manara ana hasira sana. Na kwa kweli kama alitendewa vibaya ni haki yake kuwa na ghadhabu..

Haya maneno ndiyo yanayokwenda mbele ya kiti cha enzi cha Mungu, yanamshtaki Paul Makonda. In return yanabeba adhabu na hukumu kumjia mshitakiwa..

Kama hatachukua hatua ya kumweka wakili mwaminifu Yesu Kristo amtetee hakika Paul Makonda atakufa..!
 
Mjeuri huyu bado anaenda mitandaoni kujisifu muuwaji Mkubwa, mwabudu shetani, anapenda kiki, anatujaribu kuona tutaongeaje mshenzi, funga domo utulie, yote yako yanajulikana, uchafu wote upo wazi, mnatumia vibaya ofisi umma, ulikuwa unatisha hadi mawaziri eti Nitakusemea kwa baba kama hutaki kuachia makontena yangu, who are you? Haya kawa makamu wa rais Sasa..isdory yule mnyenyekevu na mtii, mwenye elimu. Wewe hujastaarabika, elimu za kufojifoji, mtundu wa kujikomba na ujanja mwingi huko tayari kwa lolote ili ujinufaishe binafsi mshenzi wewe, ukapambana kinafiki na madawa ya kulevya ili hiyo biashara uimiliki mwenyewe, dar ndio likawa ndio LANGO LA KUINGILIA DRUGS TO NCHI ZA KUSINI(USA wrote it) baada ya wewe kujiingiza humo, ulionekana Mara kadhaa South Africa na one of biggest dealer huko South Africa. Halafu all over sudden ukaanza kumiliki migari majumba ya kifahari na kusema wewe ndio namba moja unayekula Raha hapa duniani, wewe?
Duuh, una hasira sana ndugu..

Pole, lakini Makonda bado ni binadamu. Tumwombee Neema ya Mungu imtembelee, aone makosa yake...
 
Makonda ukimuona kanisani analia ujue kuna kitu anawinda; yeye ni mtu wa ushirikina wa majini [ urafiki wake na sheikh wa mkoa DSM] na hata akampoteza Jiwe kumpeleka kwa huyo sheikh wa mkoa waDSM akawa anawasomea kuwa wasizulike kumbe alikuwa anawapandikiza majini!!! Yakamcharukia Jiwe ndio yakampoteza halafu mnasingizia watu kuwa wamemuua!!! Muulizeni Makonda kwa yule sheikh wa Mkoa walikuwa wanakwenda kufanya nini na Jiwe? This is how Makonda blackmailed Jiwe!!!!
Makubwa!
 
Back
Top Bottom