Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,074
- 74,491
Akishakucheka ndo basi unamwita shemeji tu😁ikawaje sasa ulimpata?
Halafu hao hao unakuta stori zao ni "nataka mwanaume mwenye hofu ya Mungu, anayependa dini" na blaa blaa kibao.yaan mkuu huyu nilie kutana nae alianza na 40k
Na date na mburu mbona hana hizi tabia unazo sema ww 🤔Sawa tunaacha hizo tabia za kimburu
Ulikuwa unataka kuulizwa nini mfano?
Kwa sababu hiyo, unakubaliana na wanaosema penzi bila pesa halinogi?Halafu sasa nikwambie hiyo sio tabia ya sasa hiyo ni tabia ya enzi na enzi, kijana akitaka kumchumbia binti lazima wazazi waulize nasaba yake, kazi yake na elimu yake, huwezi kukurupuka kumpeleka binti kwa mtu asiyejulikana A wala B,
Kwa sasa sababu mnatongozana wenyewe bado lazima akuulize kazi yako ili ajue ana deal na mtu wa aina gani, kama ni kibaka? Au Marioo?
Na date na mburu mbona hana hizi tabia unazo sema ww 🤔
Ukweli ni kwamba hata sisi hatuko salama, tunaandaga mazingira ya kuwakula na sio kuoa.Sawa tunaacha hizo tabia za kimburu
Ulikuwa unataka kuulizwa nini mfano?
DuuuhHabari za wakati huu, poleni na majukumu ya kutafuta mkate.
Nisipoteze muda sana katika hiki kipenge kinawahusu kina dada huu ni waraka kwenu
Mara ya sita sasa hii nimekutana na wadada sehemu tofauti tofauti katika harakati za ku seti mtongozo imekua ni tabia sasa tena imekita mizizi. Kiukweli haya mambo yakuulizia kazi ya mtu/kipato chake yanatia mashaka sana sidhani kama wife material anaweza kua na tabia za kimburu kama hizo.
Huu ujumbe uwafikie kina dada wote wenye tabia kama hzo muache kila siku mtasingizia mnarogwa kupata ndoa.
Naam huo ndio ukweli mchungu,Kwa sababu hiyo, unakubaliana na wanaosema penzi bila pesa halinogi?
Yupo kizinga cha kwanza alinianzia lakizaid ya noma yani wanaomba pesa hao bila ata aibu kizinga cha kwanzaal tu elfu 40