Hii ni ishara gani dada zetu?

Hii ni ishara gani dada zetu?

Habari za wakati huu, poleni na majukumu ya kutafuta mkate.

Nisipoteze muda sana katika hiki kipenge kinawahusu kina dada huu ni waraka kwenu

Mara ya sita sasa hii nimekutana na wadada sehemu tofauti tofauti katika harakati za ku seti mtongozo imekua ni tabia sasa tena imekita mizizi. Kiukweli haya mambo yakuulizia kazi ya mtu/kipato chake yanatia mashaka sana sidhani kama wife material anaweza kua na tabia za kimburu kama hizo.

Huu ujumbe uwafikie kina dada wote wenye tabia kama hzo muache kila siku mtasingizia mnarogwa kupata ndoa.

Demu kukuuliza unafanya kazi gani ni swali la msingi sana kwake maana kazi ndiyo msingi wa mambo yote yanayowazungukeni nyinyi mkiwa kwenye mahusiano yenu wewe mpe jibu sahihi kama una kazi au huna.

Lingekuwa swali la kijinga kama angekuuliza unamiliki nini ?

Mbona wengi wenu humu mnatafuta wanawake wenye " akili za maisha " unafikiri huwa mnalenga nini akili za maisha ?...

Mtaishije sasa mwenzako hajui wewe unajishughulisha na nini ? Wakiuuliza wana nia nzuri tu ya kupima kama ataweza kuingia kwenye hayo mahusiano na mkaishi bila tabu.

Mbona jambo la msingi sana hili kuulizwa na mwanamke?
 
ingekua bas afadhali ilo swali lingeulizwa wakat tayali mshaingia katka mahusiano kwanza bila hata kuulizia atajua huyu anafnya kazi au hafanyi .mama zetu na bibi zetu ndio walikua na mapenzi ya ukwel na kuvumiliana ndio mana mpk leo wanadumu katika ndoa ,ila hizi ndoa za siku hzi hamna kitu mkuu kama huamni nenda kaoe huyo anaykulizia hvo ,utakuja na mrejesho
 
Sasa mzee kama huna uwezo wa kumlisha nguvu ya kukupa mgegedo ataitoa wapi? Lazima aulize kazi yako
 
Habari za wakati huu, poleni na majukumu ya kutafuta mkate.

Nisipoteze muda sana katika hiki kipenge kinawahusu kina dada huu ni waraka kwenu

Mara ya sita sasa hii nimekutana na wadada sehemu tofauti tofauti katika harakati za ku seti mtongozo imekua ni tabia sasa tena imekita mizizi. Kiukweli haya mambo yakuulizia kazi ya mtu/kipato chake yanatia mashaka sana sidhani kama wife material anaweza kua na tabia za kimburu kama hizo.

Huu ujumbe uwafikie kina dada wote wenye tabia kama hzo muache kila siku mtasingizia mnarogwa kupata ndoa.
Kuna demu nilimtongoza akaniuliza unafanya kazi gani nikamwambia fundi jenereta ila alinikubali. Alikuja kugundua kuwa ni kigogo baadae sana na anasema aliamini mie ni fundi jenereta. Nashauri wakikuuliza ujishushe usijiweke juu ili akikuta baadae huko juu atakaa kwenye mstari mwenyewe
 
alikupenda hyo mkuu
 
Habari za wakati huu, poleni na majukumu ya kutafuta mkate.

Nisipoteze muda sana katika hiki kipenge kinawahusu kina dada huu ni waraka kwenu

Mara ya sita sasa hii nimekutana na wadada sehemu tofauti tofauti katika harakati za ku seti mtongozo imekua ni tabia sasa tena imekita mizizi. Kiukweli haya mambo yakuulizia kazi ya mtu/kipato chake yanatia mashaka sana sidhani kama wife material anaweza kua na tabia za kimburu kama hizo.

Huu ujumbe uwafikie kina dada wote wenye tabia kama hzo muache kila siku mtasingizia mnarogwa kupata ndoa.
Utakuwa upo group la MAUKI WEWE bila shaka

《Caprichar o teu sorriso》
 
Habari za wakati huu, poleni na majukumu ya kutafuta mkate.

Nisipoteze muda sana katika hiki kipenge kinawahusu kina dada huu ni waraka kwenu

Mara ya sita sasa hii nimekutana na wadada sehemu tofauti tofauti katika harakati za ku seti mtongozo imekua ni tabia sasa tena imekita mizizi. Kiukweli haya mambo yakuulizia kazi ya mtu/kipato chake yanatia mashaka sana sidhani kama wife material anaweza kua na tabia za kimburu kama hizo.

Huu ujumbe uwafikie kina dada wote wenye tabia kama hzo muache kila siku mtasingizia mnarogwa kupata ndoa.
Kiongozi binadamu ndio walivyo kwani hata baadhi ya wanaume hawataki kuwa na rafiki kapuku, ukikosa kazi au huna mchongo anakutema.... Madem wameumbwa kutumia na sio kutafuta but sema tu dunia ndio huwalazimisha kutafuta....maisha magumu hayapendwi Kiongozi kwani Kuna baadhi ya huduma muhimu masikini huwa hazipati.
 
Tatizo lako unatongoza under 18-22 unafikiria kitu gani?? Hao lazima wakuulize habar za mitonyo kama hiyo...

Ukitaka usiulizwe maswal kama hayo tafuta kuanzia 27yrz kwenda juu

Fanya hivyo utakuja nishukur baadae
 
Habari za wakati huu, poleni na majukumu ya kutafuta mkate.

Nisipoteze muda sana katika hiki kipenge kinawahusu kina dada huu ni waraka kwenu

Mara ya sita sasa hii nimekutana na wadada sehemu tofauti tofauti katika harakati za ku seti mtongozo imekua ni tabia sasa tena imekita mizizi. Kiukweli haya mambo yakuulizia kazi ya mtu/kipato chake yanatia mashaka sana sidhani kama wife material anaweza kua na tabia za kimburu kama hizo.

Huu ujumbe uwafikie kina dada wote wenye tabia kama hzo muache kila siku mtasingizia mnarogwa kupata ndoa.
Kuna mtu anaitaka iyo ndoa?? Acha tuuulize tujue hapa ntapata unga ??
 
Tatizo lako unatongoza under 18-22 unafikiria kitu gani?? Hao lazima wakuulize habar za mitonyo kama hiyo...

Ukitaka usiulizwe maswal kama hayo tafuta kuanzia 27yrz kwenda juu

Fanya hivyo utakuja nishukur baadae
haya mkuu
 
Mkuu lazima uulizwe, hawa by nature wameumbwa watutegemee hasa kale ka kipengele ka kula kwa jasho, so lazima ahakikishe kuna chai ndio akukubali

Kula kwa jasho kujilisha siyo kulisha mtu sijui unaelewa?? Kusweat for your own food is okay siyo kwa ajili ya **** ya Mtu.
 
Back
Top Bottom