Hii ni ishara gani dada zetu?

Kama unataka uishi kwa amani usihangaikie mtu. Kama unapambana kwa ajili yako huwezi kukaa kuwaza. Lakini kama unahangaika kutaka kuona furaha kwa mwingine umwchemka. Utapata pressure bure. Jiulize kama ni vigumu mtu kukufurahisha wewe why uone rahisi kumfurahisha mwingine. Furaha ya mtu mwingine yeyote awe Mama yako au mke wako siyo jukumu lako. Hilo ni jukumu lake.
Dada zetu wanaishi kwa maslahi yao tu. Hata siku moja hawatamwazia mwanamme. Njia nzuri ni kuwa kama wao walivyo. Tit for tat. Ubinafsi kwa ubinafsi.
 
Ukikutana na swali la namna hiyo usipoteze muda kuongea naye achana naye ili ajione choo.
 
Habari za wakati huu, poleni na majukumu ya kutafuta mkate.

Nisipoteze muda sana katika hiki kipenge kinawahusu kina dada huu ni waraka kwenu

Mara ya sita sasa hii nimekutana na wadada sehemu tofauti tofauti katika harakati za ku seti mtongozo imekua ni tabia sasa tena imekita mizizi. Kiukweli haya mambo yakuulizia kazi ya mtu/kipato chake yanatia mashaka sana sidhani kama wife material anaweza kua na tabia za kimburu kama hizo.

Huu ujumbe uwafikie kina dada wote wenye tabia kama hzo muache kila siku mtasingizia mnarogwa kupata ndoa.
hapo kwenye tabia za kimburu ndo sijapaelewa
 
Hapo kwenye kazi kuuliza sio tatizo, utakuwaje na mtu hujui anajishughulisha na nini?
 
Wako sahihi Pesa popote ndo mpango jijini hkn shamba, hata mwanaume unapenda pesa! huna!!!!! sahau kukaza!

Mdada msafii anukishwe jasho la Fangasi plus kikwapa! Joto! joto la Dar!!! atembee kutwa nzima na Greese, sometimes iwe mimba? Seriously?
Utoe fedha anayotaja ndiyo, hamna hata Huruma jamani? mbali na pesa pa kukazia pawe bora, kuanzia kitanda, sabuni nzuri, perfume, nguo mpya ya kubadili, usafiri nk na pole nyingi!

Bado mnawaza papuchi bure?
 
Wakati tulionao Wakuu ni ulimwengu mwingine,

Ila wasichana ndio waathirika wakubwa kwa maana wao ndio wengi na wanaume hawaoi ivo wengi wataitafta ndoa na hawata iona. So sad( Ila kuhusu kuulizwa maswali ni muhim usijiskie vibaya)
 
imekua ni kero mkui wengine atupendilei maswal mengi yenyewe atajiongeza kazi ni kazi tatzo linakuja pale wanapo chagua sanaa
 
Habari za wakati huu, poleni na majukumu ya kutafuta mkate.

Nisipoteze muda sana katika hiki kipenge kinawahusu kina dada huu ni waraka kwenu

Mara ya sita sasa hii nimekutana na wadada sehemu tofauti tofauti katika harakati za ku seti mtongozo imekua ni tabia sasa tena imekita mizizi. Kiukweli haya mambo yakuulizia kazi ya mtu/kipato chake yanatia mashaka sana sidhani kama wife material anaweza kua na tabia za kimburu kama hizo.

Huu ujumbe uwafikie kina dada wote wenye tabia kama hzo muache kila siku mtasingizia mnarogwa kupata ndoa.
Hata wale wa kwenye love connect kigezo mojawapo lazima wataje. Awe na kazi inayoeleweka na kipato

Mbaya zaidi unaweza kukuta huyo mdada ameshagonga 30+ au late 20's na yupo yupo tu.

Siku hizi wadada wako kimaslahi zaidi. Day one tu wanauliza kipato. Akikupa namba ya simu baada ya saa moja subiri kuomba hela. Na wajanja kweli yaani! Hawaanzi na hela kubwa, anaweza kukuomba elfu 5 tu ili uone aibu kumnyima mtu buku 5 na mwingine anakuja na gia ya kumuazima

Sasa unajiuliza, hii ni day one tu! Je, ilifika mwezi si ataomba hati ya nyumba iwe kwa jina lake?
 
Mapenz pesa utu kwasas siyo kitu

Tafuta pesaa kakaaa

yaan mkuu huyu nilie kutana nae alianza na 40k
 
Nanyi wanaume pia mnauliza kazi tuvifanyazo na wapi tunakofanyia bilivu me
 
Habari za wakati huu, poleni na majukumu ya kutafuta mkate.

Nisipoteze muda sana katika hiki kipenge kinawahusu kina dada huu ni waraka kwenu

Mara ya sita sasa hii nimekutana na wadada sehemu tofauti tofauti katika harakati za ku seti mtongozo imekua ni tabia sasa tena imekita mizizi. Kiukweli haya mambo yakuulizia kazi ya mtu/kipato chake yanatia mashaka sana sidhani kama wife material anaweza kua na tabia za kimburu kama hizo.

Huu ujumbe uwafikie kina dada wote wenye tabia kama hzo muache kila siku mtasingizia mnarogwa kupata ndoa.
Ulikuwa unaseti mtongozo????
 
Lazima uulizwe bhna.

Simba jike akitaka kuzaa hutafta dume lenye nguvu, lenye uwezo wa kuvinda na kulinda familia yake. Hii psychology hata kwa wanawake ipo ivyo ivyo.
 
Nakumbuka siku niliyokwenda kwao mke wangu kabla ya kumuoa, waliniuliza kazi yangu nikawajibu mimi ni "MUOKOTA MAKOPO" ila kikubwa ili mradi maisha yasonge

ᵃʳᵉᵉᵐ
 
Back
Top Bottom