kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,649
- 19,042
Yaani anauliza kabisa???Hii tabia imekithiri sana,,wanatanguliza sana pesa,,,Binti ukimwambia aje anaanza kuuliza utanipa hela? wakati huo ulitarajia utengeneza mazingira ya kufanya nae maisha
Sasa kwa hali hii ni ngumu sana hawa dada zetu kupata waume wa kuwaoa wataishia kudanga tu,,,
Sent using Jamii Forums mobile app