King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,718
- 68,721
Kingeleza ni soo jamani mie simcheki marine ila namlaumu kwa nini atumie kiinglish wakati anajua kwamba kwake not reachable?? au anataka watu wamuite kanumba Snr au maimuna au amesahau tangazo la global warming??? ok arlight student there is somebody guess:::::
"Shukurani kwa nyerere alicheza utadhani pele,kuendeleza kiswahili,mikoani na mbele mbele,Tunamuendekeza mzungu wakati tuna shida tele,Kingeleza bila hela ni sawa na kupiga kelele"-LANGA
"Shukurani kwa nyerere alicheza utadhani pele,kuendeleza kiswahili,mikoani na mbele mbele,Tunamuendekeza mzungu wakati tuna shida tele,Kingeleza bila hela ni sawa na kupiga kelele"-LANGA