Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,718
- 1,443
Hivi kuna ulazima gani kuongea kingereza kwa vipindi vya mahojiano kama anavyoendesha marine?.kwanza huwa najiuliza wanatumia kingereza kwa manufaa ya nani kwasababu jamii ya watanzania lugha yao ya mawasiliano ni kiswahili ,ili ujumbe ufike kwao asilimia zaidi ya 70 ni lazima kiswahili kitumike.tbc ni kituo ambacho watazamaji wake zaidi ya 90% ni waongeaji wa kiswahili(watanzania ) ,sasa wakiongea/kutangaza kingereza ni kwa faida ama wanamlenga nani hasa?.kingekuwa kituo cha kimataifa ni sawa kutumia kingereza ,ila sio kituo cha kimataifa.
Hii ni moja ya matumizi mabaya ya kodi za wananchi.kituo chetu halafu kisitumie lugha tunayoifahamu.! Aibu kubwa
Hii ni moja ya matumizi mabaya ya kodi za wananchi.kituo chetu halafu kisitumie lugha tunayoifahamu.! Aibu kubwa