Hii ni aibu Marine Hassan!

analysti

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
728
606
Nilikuwa naangalia kipindi cha Jambo Tanzania, Marine Hassan alikuwa na wageni ambao mmoja wao katokea S Africa. Marine Hassan alikuwa akimuhoji kwa kiingereza ambacho ni aibu tupu!!! Kwa Mfano " Before you to coming here how many countries you are visited?" Pia wakati wa kumuaga, " Ok! Mr Sami you are welcome again there!". Hili ni jambo la aibu kwa mwandishi kama yeye. Ni bora angegoma kumuhoji bila kuwa na mkarimani, kwanza ndio angekipromoti kiswahili.

Nawasilisha
 
The Priest

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,031
256
Nimeona kwel jamaa lugha inasumbua, ila kwani kuna ulazima wa wote kujua kiingereza, hao wanaojua wametusaidia nini hadi sasa! tupende lugha yetu!
 
Obe

JF-Expert Member
Dec 31, 2007
9,734
33,495
Hicho alichokiongea ni kiingereza cha wengi katika kiswahili. Kama aliyekuwa anaulizwa alikuwa anajibu tatizo lipo wapi, lugha yoyote dhima yake kuu ni kufanikisha mawasiliano/kuelewana, ulishasikia chochote kuhusu lugha za creole na pidgin
 
LordJustice1

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
2,263
527
Nilikuwa naangalia kipindi cha Jambo Tanzania, Marine Hassan alikuwa na wageni ambao mmoja wao katokea S Africa. Marine Hassan alikuwa akimuhoji kwa kiingereza ambacho ni aibu tupu!!! Kwa Mfano " Before you to coming here how many countries you are visited?" Pia wakati wa kumuaga, " Ok! Mr Sami you are welcome again there!". Hili ni jambo la aibu kwa mwandishi kama yeye. Ni bora angegoma kumuhoji bila kuwa na mkarimani, kwanza ndo angekipromoti kiswahili. Nawasilisha

Tunaomba CV yake tafadhali!
 
LordJustice1

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
2,263
527
Acha ushamba ww, hicho alichokiongea ni kiingereza cha wengi katika kiswahili. Kama aliyekuwa anaulizwa alikuwa anajibu tatizo lipo wapi, lugha yoyote dhima yake kuu ni kufanikisha mawasiliano/kuelewana, ulishasikia chochote kuhusu lugha za creole na pidgin

Kwa kuwa wengi wanakosea kwa hiyo makosa yake sio kitu? Two wrongs can't make a right! Ok?
 
Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,447
Nilikuwa naangalia kipindi cha Jambo Tanzania, Marine Hassan alikuwa na wageni ambao mmoja wao katokea S Africa. Marine Hassan alikuwa akimuhoji kwa kiingereza ambacho ni aibu tupu!!! Kwa Mfano " Before you to coming here how many countries you are visited?" Pia wakati wa kumuaga, " Ok! Mr Sami you are welcome again there!". Hili ni jambo la aibu kwa mwandishi kama yeye. Ni bora angegoma kumuhoji bila kuwa na mkarimani, kwanza ndo angekipromoti kiswahili. Nawasilisha

Kiingereza cha Jakaya hicho!
 
analysti

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
728
606
Acha ushamba ww, hicho alichokiongea ni kiingereza cha wengi katika kiswahili. Kama aliyekuwa anaulizwa alikuwa anajibu tatizo lipo wapi, lugha yoyote dhima yake kuu ni kufanikisha mawasiliano/kuelewana, ulishasikia chochote kuhusu lugha za creole na pidgin

Acha uzembe wewe, sasa kwani kulikuwa na ulazima gani wa yeye kuongea kiingereza??. Muandishi wa habari ni kioo cha jamii nyama wewe!!! We mwandishi wa habari anakaa anaongea upuuzi ule wakati jamii inatakiwa ijifunze kutoka kwake. We kikaragosi, do you really know the role of a journalist to the public??
 
analysti

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
728
606
Kiingereza siyo lugha yetu ya kwanza. kukosea ni jamabo la kawaida. Hebu na nyie mnaojidai kumkosoa jaribuni kuandika kiingereza chenu tukione!

Kama hujui, kwa nini uongee kwenye jukwaa la uma kama TV huku ukijua kuwa wewe ni mwandishi wa habari??. Ndugu rejao, lugha kama ile ikiongewa na marine huyo huyo tukiwa tunapata moja baridi pale club ya wazee ilala haitakuwa tatizo hata kidogo!. Tatizo ni yeye kuongea ule utumbo kwenye Television!
 
Obe

JF-Expert Member
Dec 31, 2007
9,734
33,495
Acha uzembe wewe, sasa kwani kulikuwa na ulazima gani wa yeye kuongea kiingereza??. Muandishi wa habari ni kioo cha jamii nyama wewe!!! We mwandishi wa habari anakaa anaongea upuuzi ule wakati jamii inatakiwa ijifunze kutoka kwake. We kikaragosi, do you really know the role of a journalist to the public??

Kwa vyovyote vile ww utakuwa ni shoga, na uzuri ni kuwa hauingii kwenye siku zako!
 
JabuJuma

Member
Aug 3, 2011
15
1
Sio siri asilimia kubwa ya watanzania kingereza bado sana na ata wale ambao wanakijua wanapokutana na wagen huwa wanaingiwa na uwoga sana ndo mana maneno mengi hukosea sana tena kwa hili 2simlaum bwana Marin sana 2jifunze au kama vp 2pige kiswahili mwanzo mwisho ni che2 ichi
 
Edson

JF-Expert Member
Mar 7, 2009
9,729
4,581
kwa mwandishi wa aina ya marine ni aibu sana.........mwandishi wa habari anatakiwa kuwa ameiva katika lugha!!!!

ni aibu sana....
 
Bambanza jr.

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
355
36
Daaa! Punguzen ukali wa maneno! Nyie ni great thinkers, je ndo mnapaswa kuwa hivyo? Tatizo la Marine sio kutokujua vema kiingereza kwani sio kosa lkn ni kuonesha ulimbukeni kwani kiswahili kipo hivyo angetumia mkalimani ili kusaidia watanzania wasioijua lugha hiyo kuelewa kilichokuwa kinazungumzwa!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

3 Reactions
Reply
Top Bottom