Nimeona kwel jamaa lugha inasumbua,ila kwan kuna ulazima wa wote kujua kiingereza,hao wanaojua wametusaidia nn hadi sasa!tupende lugha yetu!
Mkuu sio lazima kukijua kiingereza lakini sasa kwanini tunaendelea kuking'ang'ania na hatuchukui hatua kujifunza tukijue vizuri? Nionavyo mm kuna mambo mawili tunapaswa kuchagua. Moja tuachane nacho na tuanze kutumia wakalimani kama wajerumani, wachina, waarabu na wengineo. Au tuwe serious basi tuwekeze vizuri kwenye hii lugha ili tuondokane na hii aibu ya kila siku. It does not make sense mwandishi mwandamizi kama huyo jamaa kutojua kiingereza basic kabisa, infact imefika mahali hata mawaziri,rais n.k wakikivunja kiingereza inaonekana poa tu which is not ok kabisa.