Daaaa,,,kuna ,maneno ya rejareja hapa
Kwa vyovyote vile ww utakuwa ni shoga, na uzuri ni kuwa hauingii kwenye siku zako!
Kwa vyovyote vile ww utakuwa ni shoga, na uzuri ni kuwa hauingii kwenye siku zako!
Nimeona kwel jamaa lugha inasumbua,ila kwan kuna ulazima wa wote kujua kiingereza,hao wanaojua wametusaidia nn hadi sasa!tupende lugha yetu!
Kiingereza siyo lugha yetu ya kwanza. kukosea ni jamabo la kawaida. Hebu na nyie mnaojidai kumkosoa jaribuni kuandika kiingereza chenu tukione!
mbona wewe unapendekeza kwa kiswahili.mbona hamtaki hii thread tuijadili kwa kiingereza?? tunaponda kiingereza kwa kutumia kiswahili.....why??
tumponde marine kwa kujadili kwa kiingereza jamani.
kwa kuwa wengi wanakosea kwa hiyo makosa yake sio kitu? Two wrongs can't make a right! Ok?
wanawatoa kamasi eeh!!!Wachagga bwana!
Kwa vyovyote vile ww utakuwa ni shoga, na uzuri ni kuwa hauingii kwenye siku zako!
Wapelekeni shule hawa jamani.CDM mna matatizo sana
Ha ha ha Hazole = Marine Hasan? Pole sana aisee punguza hasira broSIKIENI JAMANI,HUU NI UGONJWA WA SISI WA TZ WOOOOTE.
MTU ANAONA AIBU KUONGEA KIINGEREZA KIBAYA, LAKINI ANAONA FAHARI KUONGEA KISWAHILI KIBAYA KABISA. MFANO; unakuta mtu mzima anasema "wamama na wababa" ni kiswajili hiki??? kwanini asiseme "akina mama na akina baba" pia utasikia "huu wimbo mzuri sana" why not "hii nyimbo ni nzuri sana?"
TUNAJIAIBISHA NA HATUJUI TUNAKOKWENDA. NDO MAANA VYUO VYA NJE HASA UJERUMANI WANAKOFUNDISHA KISWAHILI, WALIMU WENGI NI WACOMORO NA WAKENYA. WA TZ MMEBAKI VIJIWENI TU KUONGEA KISWAHILI KIBOVU KABISA.
NAREJEA KAULI YANGU YA SIKU ZOTE.
WA TZ 1. HATUNA AKILI KABISA 2. SI WAZALENDO.
NI HAYO TU.
PUMBAVU SANA MTUMA THREAD HII
Kichenchede!!!Kama wewe haupo ni wewe kila mtu ana haki ya kuchangia anachokijua, sasa wewe unataka kuwapangia watu wazima cha kuongea!
Kuna member mmoja mwanzo kabisa kachangia kasema kiingereza cha Marine kama cha JK. mbona ukumwambia? Usiwe mzee wa pumba wewe
SIKIENI JAMANI,HUU NI UGONJWA WA SISI WA TZ WOOOOTE.
MTU ANAONA AIBU KUONGEA KIINGEREZA KIBAYA, LAKINI ANAONA FAHARI KUONGEA KISWAHILI KIBAYA KABISA. MFANO; unakuta mtu mzima anasema "wamama na wababa" ni kiswajili hiki??? kwanini asiseme "akina mama na akina baba" pia utasikia "huu wimbo mzuri sana" why not "hii nyimbo ni nzuri sana?"
TUNAJIAIBISHA NA HATUJUI TUNAKOKWENDA. NDO MAANA VYUO VYA NJE HASA UJERUMANI WANAKOFUNDISHA KISWAHILI, WALIMU WENGI NI WACOMORO NA WAKENYA. WA TZ MMEBAKI VIJIWENI TU KUONGEA KISWAHILI KIBOVU KABISA.
NAREJEA KAULI YANGU YA SIKU ZOTE.
WA TZ 1. HATUNA AKILI KABISA 2. SI WAZALENDO.
NI HAYO TU.
PUMBAVU SANA MTUMA THREAD HII
Na wewe mbona unakosea hata kisw? Hasichokijua = Asichokijuaasanteh sana mkuu,lakin marine kaongea hasichokijua,naye pumbvu zake.
Kwa sababu ya kuuelewa umuhimu wa elimu, Uislamu umehimiza Waislamu kuitafuta na kujifunza elimu. Mfumo wa maisha ya Muislamu umetawaliwa na sheria maalum ambapo ili mtu aishi kama Muislamu wa kweli inambidi awe na elimu. Elimu huanza tangu utoto. Ni utaratibu uliopo tangu kutangaza kwa Uislamu kwa watoto wa Kiislamu kupelekwa katika madrasa kusoma elimu. Hapo zamani wazazi walikuwa wakichukua jukumu la kuwasomesha wenyewe watoto wao ambapo kwa siku hizi hutegemea zaidi madrasa. Kwa sababu hii miji yenye Waislamu wengi madrasa za watoto huonekana katika kila kona ya mji.Wapelekeni shule hawa jamani.
Wasiende CHUO kabla ya Primary and secondary school.
![]()
Atakuwa na undugu na Efuremu Kibonde.
i suggest kuanzia aliyetuma hii thread,tuanze kujadili hii post kwa kiingereza tu tuone nani anachapia. lets go!!!
the one who posted this thread is a crazy and has a childish mind. poor you!
how can someone critisize while he is a mere crap per say?
YOU HAVE SHOWN HOW MAD AND WORTHLESS TO OUR COUNTRY.
mnaleta ushindani wa kisekondari. *****
Na wewe mbona unakosea hata kisw? Hasichokijua = Asichokijua