Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,933
- 32,341
ritz bule kabisa.
Ha! Ha! Ha! Shule za kata at work!
Badungu msaada nimejaribu kutafuta neno" Bule" mpaka kwenye kamusi mwenye kujua maana yake anisaidie
ritz bule kabisa.
Kama JK nae.......
kwanini aongee (asijokijua?) Huyu ni sawa na kibonde yule zuzu wa clouds.
Nimeona kwel jamaa lugha inasumbua,ila kwan kuna ulazima wa wote kujua kiingereza,hao wanaojua wametusaidia nn hadi sasa!tupende lugha yetu!
Nakumbuka wakati wa kampeni za ubunge Lema, aliwambia wakazi wa Arusha!
Mkinichagua kuwa mbunge wenu tawajengea Machinga Complex mbili pamoja na Skyover barabara za juu, Flyover Road!
Ha! Ha! Ha! Ha!, ni janga la kitaifa
.Acha uzembe wewe, sasa kwani kulikuwa na ulazima gani wa yeye kuongea kiingereza??. Muandishi wa habari ni kioo cha jamii nyama wewe!!! We mwandishi wa habari anakaa anaongea upuuzi ule wakati jamii inatakiwa ijifunze kutoka kwake. We kikaragosi, do you really know the role of a journalist to the public??
Janga gani? kuzungumza kizungu iwe janga? kweli wewe gamba
Kiingereza siyo lugha yetu ya kwanza. kukosea ni jamabo la kawaida. Hebu na nyie mnaojidai kumkosoa jaribuni kuandika kiingereza chenu tukione!
Bandugu na ili "asijokijua" wewe unamcheka Marine, kiswahili tu ufahamu kuandika kweli shule za Kata at work!
Kuna masoma ya jioni kwa watu wazima pale Tandale Uzuri, takulipia ukasome kwanza kiswahili
Acha ushamba ww, hicho alichokiongea ni kiingereza cha wengi katika kiswahili. Kama aliyekuwa anaulizwa alikuwa anajibu tatizo lipo wapi, lugha yoyote dhima yake kuu ni kufanikisha mawasiliano/kuelewana, ulishasikia chochote kuhusu lugha za creole na pidgin
Umenichekesha saaana... Ha ha ha haaaaa...Me too, especially when things cotton fired in the interview, I think Marina hassan brothersugarcaned.
Hivi Marine Hassan ana kibali cha kufanya kazi nchini?
Bandugu na ili "asijokijua" wewe unamcheka Marine, kiswahili tu ufahamu kuandika kweli shule za Kata at work!
Kuna masoma ya jioni kwa watu wazima pale Tandale Uzuri, takulipia ukasome kwanza kiswahili