Hamu ipo ya Aina nyingi mkuuNi miezi kama miwili imepita tangu nimalize chuo na kurudi nyumbani.....lakini hata hivyo nilikuwa narudi kipindi cha likizo kuonana na familia.
Kwanza niseme tu wazi,,,sina desturi ya kukagua simu ya mkewangu lakini baada ya kumtilia mashaka ilibidi nifanye hivyo.
Nikweli nilichokikuta inbox ya Facebook ni hiyo conversation kati ya wife(chati ya bluu)
na jamaa ambae namjua na ni mfanyakazi mwenzangu pia na nlikuwa namheshim sana.
Hiyo conversation inaonesha watu hawa ni wapenzi wala haihitaji nguvu ya ziada kugundua hilo.
Wadau hii kitu nilikuwa nasikia tu kwa watu kumbe ni kweli aisee inauma sana usiombe yakukute....
Imagine mtu tuko nae over ten years sasa pamoja na watoto wawili Leo hii ananifanyia hichi kitu..
Afadhali hata ningekuwa na tabia ya kuchepuka nisingeumia sana.....ningejisemea tu moyoni kwamba malipo ni hapahapa duniani , muosha huoshwa.
Lakini kinachoniuma Mimi nimekuwa mwaminifu tangu nilipomuoa sijawahi msaliti hata Siku moja.
Wakuu embu nisaidieni experience kwa wale mliopata maswahibu kama haya au hata kama hayajakupata nishauri tu kabla sijaharibu Niko na hasira sio ya kawaida ingawa sijionyeshi kwake.....View attachment 897325
Safi Bro. Huu ndio ukomavu kwenye ndoa. Nakupongeza kwa kuwa ulitumia hekima, hukupaniki, ulivumilia na kubwa zaidi ulimaliza mambo ya siri ya ndani wewe mwenyewe bila kuathiri ndoa yako na watoto. Wanaume wengi hii huwa inatushinda.Kwanza kabisa napingana na hao wanaokataa kuchunguza simu au mawasiliano ya wenza wao, huyo ni mkeo /mumeo wa ndoa,hivyo kufuatilia chochote kile kwake ni 'wajibu'... 'sio wawili tena bali ni mwili mmoja',maana athari zozote zikitokea, ni shared.
Mimi ilikuwa ni msg, nadhani zilisahaulika kufutwa,nikachukulia poa tu kwa ule ujinga eti tusifuatilie simu zitatuvunjia ndoa. Baadye nikaamua kufuatilia karibu mawasiliano ya ile namba, nililenga kujua muda anaopigiwa na how long wanazungumza.
Nikaja kuthibitisha pasipo shaka kuwa waliwahi kuwa katika wahusiano pindi nikiwa masomoni ila wakaja tengana miezi 5 kabla ya mie kurejea masomoni. Uchunguzi huu ulichukua takribani miezi 3 tangu kustukia mawasiliano hayo.
Nilipothibitisha, nikamwomba MUNGU anipe subra, maana ni 'NGUMU KUMESA'. Cha kwanza nikawa tayari kumsamehe, ila nikaweka nadhili kwa muumba wake kuwa, nitamuhoji mara 3 kwa vipindi ni siku tofauti, akikana zote mara 3,ndio ungekuwa mwisho.
Nikaandaa Questionnaire zangu kwa ustadi wa hali ya juu sana na umakini mkubwa kuepuka kuhisi kuwa kuna kitu akistukie, ila swali la mwisho nakumbuka lilimbabaisha na 'akapoteana'.
Ile ya mwisho alikili na akaeleza yote tangu siku ya kwanza hadi walipoamua ku break up, na sababu.
Nilimwambia ampigie jamaa simu na amuite aje nyumbani kwangu, jamaa akazingua, nikampigia nikwambie ndani ya masaa 4 aje kwangu, lasivyo......!! Jamaa alikubali kuja.
Yeye alilia na kueleza kila kitu... Aliomba msamaha nikawasamehe wote. Japo mgoni wangu aliogopa sana baada ya kutoka kwangu alienda kuomba likizo na baadaye uhamisho, nasikia alirudi mkoani kwao maana roho ya hatia ilikuwa ikimwandama. Mke nae kabadilika ajabu, hakutarajia kilichotokea.
Nadhani ndugu yangu huenda ukapata cha kujifunza hapo, japo sikushauri ufuate ufuate njia niliyoifuata, maana kila mtu ni wa pekee. Kuacha nalo wazo zuri, tatizo utayemleta naye hauna uhakika naye. Huo ndio uzoefu nilioupitia.
Una busara kuliko wote waliochangia uzi huuUsije ukamuacha mkeo ukidhani utapata afadhali utajuta. Dialogue ni muhimu kutatua hilo tatizo. Pole sana kwa yaliyokukuta.
Pamoja sana mkuuBaadhi yetu tumekuwa tunaishi tu. Hatuna mpenzi. Hatujaribu umalaya. Hatumpendi mtu. Hakuna anayetupenda. Tunajishughulisha tu na kazi zetu, tunakula, tunalala, na kuishi maisha yanasonga kiulaiiini.
Huwajui vizuri wanawake wewe.Mwanamke akiamua kuchepuka haijalishi unampa nini au unamfanya niniMpaka mwanamke achepuke lazima kuna sehemu mwanaume hujakaa sawa. Pengine umejisahau humpi haki yake ipasavyo unamchukulia poa tu
Utaoa mara ngapi kama utakutana na hao wanaochepuka ? Tena ni bora huyu aliyechepuka ana uoga ndani yake, mwingine hata hofu hana. Anachepuka hadi na ndugu yako.. Huyo m.mke ni mrahisi sana kubadilika ukiongea naye, kilichomponza ni wewe kumuacha mbali naweHuwajui vizuri wanawake wewe.Mwanamke akiamua kuchepuka haijalishi unampa nini au unamfanya nini
Oa tu kamanda, mbona mabint wapo Walio tuliaNtaoaga kweli kwa hali hii jamani?![]()
neno!Utaoa mara ngapi kama utakutana na hao wanaochepuka ? Tena ni bora huyu aliyechepuka ana uoga ndani yake, mwingine hata hofu hana. Anachepuka hadi na ndugu yako.. Huyo m.mke ni mrahisi sana kubadilika ukiongea naye, kilichomponza ni wewe kumuacha mbali nawe
Umbali sio tatizo ndugu yangu hiyo ni tabia yake tu tena baadhi ya wanawake akijua kuwa umeyajua mambo yake hata uongee nae hupati kitu dawa ni kumuacha ukibisha na ubishe ukikaa nae ujiandae kwa kifo cha kujitakiaUtaoa mara ngapi kama utakutana na hao wanaochepuka ? Tena ni bora huyu aliyechepuka ana uoga ndani yake, mwingine hata hofu hana. Anachepuka hadi na ndugu yako.. Huyo m.mke ni mrahisi sana kubadilika ukiongea naye, kilichomponza ni wewe kumuacha mbali nawe
Jina lako limenikumbusha mbali saaaaana.Ni miezi kama miwili imepita tangu nimalize chuo na kurudi nyumbani.....lakini hata hivyo nilikuwa narudi kipindi cha likizo kuonana na familia.
Kwanza niseme tu wazi,,,sina desturi ya kukagua simu ya mkewangu lakini baada ya kumtilia mashaka ilibidi nifanye hivyo.
Nikweli nilichokikuta inbox ya Facebook ni hiyo conversation kati ya wife(chati ya bluu)
na jamaa ambae namjua na ni mfanyakazi mwenzangu pia na nlikuwa namheshim sana.
Hiyo conversation inaonesha watu hawa ni wapenzi wala haihitaji nguvu ya ziada kugundua hilo.
Wadau hii kitu nilikuwa nasikia tu kwa watu kumbe ni kweli aisee inauma sana usiombe yakukute....
Imagine mtu tuko nae over ten years sasa pamoja na watoto wawili Leo hii ananifanyia hichi kitu..
Afadhali hata ningekuwa na tabia ya kuchepuka nisingeumia sana.....ningejisemea tu moyoni kwamba malipo ni hapahapa duniani , muosha huoshwa.
Lakini kinachoniuma Mimi nimekuwa mwaminifu tangu nilipomuoa sijawahi msaliti hata Siku moja.
Wakuu embu nisaidieni experience kwa wale mliopata maswahibu kama haya au hata kama hayajakupata nishauri tu kabla sijaharibu Niko na hasira sio ya kawaida ingawa sijionyeshi kwake.....View attachment 897325




Shida sio kutokuwepo mzee dingi, ukiingia chaka ndio tabuOa tu kamanda, mbona mabint wapo Walio tulia

Ila kweli bora ukosee kujenga kuliko kukosea mkeShida sio kutokuwepo mzee dingi, ukiingia chaka ndio tabu![]()
Umemjua ! Umemjuaje ? au wewe ndo mwizi wake, ht ushauri wako huo nina mashaka naoKama bado hujaongea nae kuna mambo kadhaa ya kufanya mkuu, japo nahisi nimekujua
1. Lazima utafute namna wote wajue kuwa umefahamu (mke na mchepuko)
2. Don't give a room for conversation to both of them
3. Kama una pesa na una sehemu ya kwenda kupumzika angalau mwezi au siku 40, just do it na huko find friends and a girl/woman wa kukuliwaza. Shortly uwe na kampani
4. After that time urudi back to your family ready for another life of less love. Haihitaji kujadili hilo mkuu vinginevyo utasababisha madhara makubwa zaidi, na utajuta.
N.B i)Kumwacha mke mwenye watoto wawili itakutesa maisha yako yote, unachotakiwa kujua ni uko nae kwa sababu ya watoto wako.
ii) Hapa ndipo inapoonekana faida ya kuwa na mpenzi wa pembeni, awe wa kudumu au temporal. Japo wengi tunakuwa nao kwa ajili ya tamaa ila cha msingi ujue wanasaidia sana.
iii) Pole sana ila usimwamini mwanamke kiasi cha kutokuwa na mchepuko. Otherwise ni dm mimi rafiki yako...
Safari hii kawa kuruta...wakusaidiwa mawazo!Jina lako limenikumbusha mbali saaaaana.
Yaani waonalijua maana yake watakuwa wanacheka tuu 3![]()
Ha ha ha balaa hiloSafari hii kawa kuruta...wakusaidiwa mawazo!
Shkamoo mapenzi!
Tena pevu...Ha ha ha balaa hilo