mojave
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 5,570
- 6,433
Pole sana ndugu, Mungu akusimamie!Nawashukuru wakuu kwa kampani....nyie laleni mnaolala...usiku sana sasa.
Binafsi sina usingizi kabisa mpaka nitakapoitapika hii nyongo.
Ngoja niendelee kufanya majumuisho ya ushauri mnaonipa....ili niondoke na moja.
Mambo mengine hata kumwambia Mtu moja kwa moja ni aibu yani......hapa ni kufanya maamuzi tu.
Niko makini mkuu.....najitahidi kujikaza