Hii ngumu kumeza

Hii ngumu kumeza

Status
Not open for further replies.
Unajuaje kwamba watoto ni wakwake?

Hilo sasa ni swala la imani tu, asifukue makaburi mengi hilo aliloshuhudia linatosha....

Halafu siku hizi mkemia mkuu huwa hatoi majibu ya ukweli.. unapewa majibu kulingana na the way ulivyoenda
 
Wanaokushauri umuache mke... Wengi wao hawajaoa. Weka akili kichwani.
 
Mkuu siungi mkono usaliti ila ukiweza jikaze umpe onyo la mwisho uishi na familia. Wengi wanakutwa na maswahibu tofauti tofauti makubwa japo hapa watajifanya vijike/vidume hawayumbishwi. Huyo jamaa usimtafute wala usimuulize ila mwambie mkeo " acha umalaya na huyu mwanaume wako nitamfanya kitu mbaya hatosahau yeye na familia yake". Hakika atamtaarifu wataacha asipoacha angalia moyo wako mkuu.

Mungu akupe maamuzi ya busara inshaaalah
 
ila amejitahidi... hagegdwi kila siku... miezi miwili imepita...

matani pembeni.... pole sana mkuu
 
Jaman mke haachwi kwa kosa moja lol....
Ushauri wa giza huu. Brother kwa kuwa una ushahidi chukua uamuzi. Usije ukafikiri hao watu wataacha huo mchezo. Hata ukisamehe watabadili tu njia ili kukukwepa lakini wataendelea na mahusiano. Anza upya Mkuu
 
Bila shaka mkeo ameanza uhusiano na huyo jamaa muda mrefu. Kama ingenitokea mimi, ningeapply "fyekelea mbali theorem" au "sukuma nje principle"
 
Ni miezi kama miwili imepita tangu nimalize chuo na kurudi nyumbani.....lakini hata hivyo nilikuwa narudi kipindi cha likizo kuonana na familia.

Kwanza niseme tu wazi,,,sina desturi ya kukagua simu ya mkewangu lakini baada ya kumtilia mashaka ilibidi nifanye hivyo.

Nikweli nilichokikuta inbox ya Facebook ni hiyo conversation kati ya wife(chati ya bluu)

na jamaa ambae namjua na ni mfanyakazi mwenzangu pia na nlikuwa namheshim sana.
Hiyo conversation inaonesha watu hawa ni wapenzi wala haihitaji nguvu ya ziada kugundua hilo.

Wadau hii kitu nilikuwa nasikia tu kwa watu kumbe ni kweli aisee inauma sana usiombe yakukute....

Imagine mtu tuko nae over ten years sasa pamoja na watoto wawili Leo hii ananifanyia hichi kitu..

Afadhali hata ningekuwa na tabia ya kuchepuka nisingeumia sana.....ningejisemea tu moyoni kwamba malipo ni hapahapa duniani , muosha huoshwa.

Lakini kinachoniuma Mimi nimekuwa mwaminifu tangu nilipomuoa sijawahi msaliti hata Siku moja.

Wakuu embu nisaidieni experience kwa wale mliopata maswahibu kama haya au hata kama hayajakupata nishauri tu kabla sijaharibu Niko na hasira sio ya kawaida ingawa sijionyeshi kwake.....View attachment 897325
Yalishanikuta haya mambo juzi juzi tu hapa,kumuuliza bibie akawa mkali kuliko pilipili,
Siwezi kukaa nifikirie kumlisha,kumvisha,kusaidia kutatua matatizo ya kwao na ndg zake alafu hapo hapo anitie stress nishindwe kula na kulala sababu ya yeye kuchepuka.
Nilipiga chini na sasa hivi najihisi nimetua mzigo mzito sana.
Mkuu pole sana kwani hilo ni tatizo kubwa.kila muonja asali huchonga mzinga,huyo ukimuuliza kuhusu hiyo issue kwanza atakataa,na hata akikubali na kuomba msamaha,kwa utafiti wangu kutokana na wengi yaliyowakuta,huyo mkeo hatoachana na huyo jamaa,ni strategy ya kuwasiliana na jinsi ya kugegedana ndo itabadilika lakini hawatoachana.atakuwa yuko smart sana kwenye mawasiliano na huyo mshenzi mwenzake.
sijui umempenda kiasi gani lakini jiandae kwa maamuzi magumu
 
Kuna uzi humu unasema usiguse simu ya mwanaume/ mwanamke kuna privacy zake.

Nilikuwa nawaza sana hizo privacy ni zipi, hatimae nimejua kwa nini hawataki washikiwe simu zao.

Nasema hivi, huyo kesha kuwa mke wa stuff mate hata ukikomaa utagongewa hadi mnazeeka nakuomba umwachie jamaa aoe.

Kwa vile ushahidi upo nenda kamkabidhishe kwao uendelee na maisha yako.

Ukiilazimisha hiyo ndoa itakugharimu maisha yako( huyo yuko radhi akuue ili aendelee na huyo jamaa, sio kwa kitendo hicho alichokifanya).
Pia huyo staff mate wako ana matatizo,kwa sababu anajua kwamba huyo ni mkeo,ametumia nafasi ya wewe kuwa chuo ili akidhalilishe kwa kumkaza mkeo.
piga chini huyo mwanamke na huyo staff mate wako kifiro kinamhusu
 
😂😂utakuwa mtu wa pwani wewe( kifiro)!
 
Pole mkuu, kuchepuka ni tabia, hivyo uwezekano mkubwa ni kwamba hajaanza leo. Pima DNA watoto, usikae kimya asije akakuletea magonjwa bure.
 
bora uchepuke, uchepukie mbali kuliko huyu mkeo, hatari sana
 
Kuacha mke anaechepuka na ushahidi unao ni sahihi! Lakini swala hilo Lina ugumu kidogo kama mke umeshazaa nae na kuna Mali mmechuma pamoja kwa maana ya nyumba gari mashamba,pukurushani yake Sio ya kitoto! Kumuuliza mkeo ni jambo Jema lakini usitegemee kama atakubali! Mwanamke hata umkute mtu red handed bado atakataa! Mm nakushauri usimtafute mgoni wako ila Kaa na mkeo mpe onyo Kali sana, baada ya hapo anza kufuatilia mawasiliano yake ikiwezekana hata kwa kudukua,kama utagundua bado wana mawasiliano then fyekelea mbali. Wanawake almost wote wanafanana kuna tofauti ndogo sana from one to another
 
Yalishanikuta haya mambo juzi juzi tu hapa,kumuuliza bibie akawa mkali kuliko pilipili,
Siwezi kukaa nifikirie kumlisha,kumvisha,kusaidia kutatua matatizo ya kwao na ndg zake alafu hapo hapo anitie stress nishindwe kula na kulala sababu ya yeye kuchepuka.
Nilipiga chini na sasa hivi najihisi nimetua mzigo mzito sana.
Mkuu pole sana kwani hilo ni tatizo kubwa.kila muonja asali huchonga mzinga,huyo ukimuuliza kuhusu hiyo issue kwanza atakataa,na hata akikubali na kuomba msamaha,kwa utafiti wangu kutokana na wengi yaliyowakuta,huyo mkeo hatoachana na huyo jamaa,ni strategy ya kuwasiliana na jinsi ya kugegedana ndo itabadilika lakini hawatoachana.atakuwa yuko smart sana kwenye mawasiliano na huyo mshenzi mwenzake.
sijui umempenda kiasi gani lakini jiandae kwa maamuzi magumu
Mkuu ni kweli kabisa
 
Huna madhara alishakujua tangu zamani.... don't act like a FOOL.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom