Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,508
- 94,625
UsioeNtaoaga kweli kwa hali hii jamani?![]()
UsioeNtaoaga kweli kwa hali hii jamani?![]()
Yani sidhani kama kuna maumivu unaweza linganisha na haya ya mapenzi.Kwa nini mkuu
Njoo nikuoe demi maana wengine naogopa. Nitakupeleka kwetu Loitoktok nikupe mang'ombe yakufa mtu.Usioe
Ni kweli inaumiza sana,mtu mbaya zaidi ni huyo rafiki yako ndio aliyeanza kumtongoza mkeo.Yani sidhani kama kuna maumivu unaweza linganisha na haya ya mapenzi.
Imagine Mimi napita hapohapo huku najua wazi kabisa kuna njemba inapita hapohapo tena.
Dunia haiko fair aisee.......manake najiuliza Mimi mbona sijawahi umiza mtu kabisa..
Sasa nimefunikwa na spirit of revenge by any means ......haina namna
Sheeee!! Nikikupeleka huko Loitoktok kijijini hupati wa kucheat nae.. We kazi yako itakuwa kupika, kufabia boma, kukamua ng'ombe na kulala tu.Ukinioa lazima nikucheat..mwanaume mmoja anachosha ati
Mkuu fukuza huyo mwanamke hakufai kabisa, najuwa huwezi nielewa kwa haraka ila baadae utanielewa kwanini nakwambia fukuza endapo utakaid, unaweza kumsamehe makosa yote ila si kwakosa la uzinzi tena ana zini na rafiki yako duuu! Ningekuwa mimi wewe ninge mnyoosha sipendagi ujinga mimiNi miezi kama miwili imepita tangu nimalize chuo na kurudi nyumbani.....lakini hata hivyo nilikuwa narudi kipindi cha likizo kuonana na familia.
Kwanza niseme tu wazi,,,sina desturi ya kukagua simu ya mkewangu lakini baada ya kumtilia mashaka ilibidi nifanye hivyo.
Nikweli nilichokikuta inbox ya Facebook ni hiyo conversation kati ya wife(chati ya bluu)
na jamaa ambae namjua na ni mfanyakazi mwenzangu pia na nlikuwa namheshim sana.
Hiyo conversation inaonesha watu hawa ni wapenzi wala haihitaji nguvu ya ziada kugundua hilo.
Wadau hii kitu nilikuwa nasikia tu kwa watu kumbe ni kweli aisee inauma sana usiombe yakukute....
Imagine mtu tuko nae over ten years sasa pamoja na watoto wawili Leo hii ananifanyia hichi kitu..
Afadhali hata ningekuwa na tabia ya kuchepuka nisingeumia sana.....ningejisemea tu moyoni kwamba malipo ni hapahapa duniani , muosha huoshwa.
Lakini kinachoniuma Mimi nimekuwa mwaminifu tangu nilipomuoa sijawahi msaliti hata Siku moja.
Wakuu embu nisaidieni experience kwa wale mliopata maswahibu kama haya au hata kama hayajakupata nishauri tu kabla sijaharibu Niko na hasira sio ya kawaida ingawa sijionyeshi kwake.....View attachment 897325
HatariiNdiyoo
Hili wazo niliwahi kuliwazia siku za nyuma; nikaona yatakuwa mawazo mabaya.Hatar aisee,ngoja nitafute wakunizalia mtt then nitulie tu.
Wengi tulikuwa na fikra hizo ila yalupotukuta ndio tukaona umuhimu Wa wazo hilo na tukaona utekelezaji wake ni muhimu mno.Karibu chamaniHili wazo niliwahi kuliwazia siku za nyuma; nikaona yatakuwa mawazo mabaya.
Baada ya message hiyo ya jamaa kumwambia mkeo kuwa ana hamu ya papuchi yake miezi miwili imepita bila Kuila, mkeo alijibu nini?Ni miezi kama miwili imepita tangu nimalize chuo na kurudi nyumbani.....lakini hata hivyo nilikuwa narudi kipindi cha likizo kuonana na familia.
Kwanza niseme tu wazi,,,sina desturi ya kukagua simu ya mkewangu lakini baada ya kumtilia mashaka ilibidi nifanye hivyo.
Nikweli nilichokikuta inbox ya Facebook ni hiyo conversation kati ya wife(chati ya bluu)
na jamaa ambae namjua na ni mfanyakazi mwenzangu pia na nlikuwa namheshim sana.
Hiyo conversation inaonesha watu hawa ni wapenzi wala haihitaji nguvu ya ziada kugundua hilo.
Wadau hii kitu nilikuwa nasikia tu kwa watu kumbe ni kweli aisee inauma sana usiombe yakukute....
Imagine mtu tuko nae over ten years sasa pamoja na watoto wawili Leo hii ananifanyia hichi kitu..
Afadhali hata ningekuwa na tabia ya kuchepuka nisingeumia sana.....ningejisemea tu moyoni kwamba malipo ni hapahapa duniani , muosha huoshwa.
Lakini kinachoniuma Mimi nimekuwa mwaminifu tangu nilipomuoa sijawahi msaliti hata Siku moja.
Wakuu embu nisaidieni experience kwa wale mliopata maswahibu kama haya au hata kama hayajakupata nishauri tu kabla sijaharibu Niko na hasira sio ya kawaida ingawa sijionyeshi kwake.....View attachment 897325
Kama huna cha kuchangia kaa kimyaendelelea tu kupanic mkuu.......nakuuliza tena unataka ushauri gani??
kwahiyo hapo wewe ndiyo umechangia tayari??Kama huna cha kuchangia kaa kimya
Mimi mwenyewe nafikiria sana ikinitokea itakuwaje, hapa tu kwenye mahusiano ya kawaida nikikuta Demu wangu kasimama na jamaa huwa nam mind sasa ikifikia hatua km hiyo sijui itakuwaje si nitaua MimiDa nyuzi za kuchapiwa hizi mpaka sasa ugonjwa wa moyo unanipata na hapo sijaoa sijui nikioa itakuwaje.
Sina busara nyingi sana mimi ila hapo kwangu ni kufukuza wife ndio tiba ya kudumu.itauma lakini over time italeta manufaa ya mda mrefu.
Wanawake.mtatuua
Yaani usiombe.Mungu aepushe tu hili.Mimi mwenyewe nafikiria sana ikinitokea itakuwaje, hapa tu kwenye mahusiano ya kawaida nikikuta Demu wangu kasimama na jamaa huwa nam mind sasa ikifikia hatua km hiyo sijui itakuwaje si nitaua Mimi