hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,147
- 72,894
hahaaendelelea tu kupanic mkuu.......nakuuliza tena unataka ushauri gani??
hahaaendelelea tu kupanic mkuu.......nakuuliza tena unataka ushauri gani??
Yeye kasema wakeWatoto sio wakwake.
Ni miezi kama miwili imepita tangu nimalize chuo na kurudi nyumbani.....lakini hata hivyo nilikuwa narudi kipindi cha likizo kuonana na familia.
Kwanza niseme tu wazi,,,sina desturi ya kukagua simu ya mkewangu lakini baada ya kumtilia mashaka ilibidi nifanye hivyo.
Nikweli nilichokikuta inbox ya Facebook ni hiyo conversation kati ya wife(chati ya bluu)
na jamaa ambae namjua na ni mfanyakazi mwenzangu pia na nlikuwa namheshim sana.
Hiyo conversation inaonesha watu hawa ni wapenzi wala haihitaji nguvu ya ziada kugundua hilo.
Wadau hii kitu nilikuwa nasikia tu kwa watu kumbe ni kweli aisee inauma sana usiombe yakukute....
Imagine mtu tuko nae over ten years sasa pamoja na watoto wawili Leo hii ananifanyia hichi kitu..
Afadhali hata ningekuwa na tabia ya kuchepuka nisingeumia sana.....ningejisemea tu moyoni kwamba malipo ni hapahapa duniani , muosha huoshwa.
Lakini kinachoniuma Mimi nimekuwa mwaminifu tangu nilipomuoa sijawahi msaliti hata Siku moja.
Wakuu embu nisaidieni experience kwa wale mliopata maswahibu kama haya au hata kama hayajakupata nishauri tu kabla sijaharibu Niko na hasira sio ya kawaida ingawa sijionyeshi kwake.....View attachment 897325
Alee Mara ngapi!Mkuu piga chini huyo " mtu " atakuletea Magonjwa " ama utakuja kulea Mtoto ambaye sio wako
Hahaa utakuja kumuua mwenzio kwa pressure mkuuAlee Mara ngapi!
Asee pole mkuu.Kwanza kabisa napingana na hao wanaokataa kuchunguza simu au mawasiliano ya wenza wao, huyo ni mkeo /mumeo wa ndoa,hivyo kufuatilia chochote kile kwake ni 'wajibu'... 'sio wawili tena bali ni mwili mmoja',maana athari zozote zikitokea, ni shared.
Mimi ilikuwa ni msg, nadhani zilisahaulika kufutwa,nikachukulia poa tu kwa ule ujinga eti tusifuatilie simu zitatuvunjia ndoa. Baadye nikaamua kufuatilia karibu mawasiliano ya ile namba, nililenga kujua muda anaopigiwa na how long wanazungumza.
Nikaja kuthibitisha pasipo shaka kuwa waliwahi kuwa katika wahusiano pindi nikiwa masomoni ila wakaja tengana miezi 5 kabla ya mie kurejea masomoni. Uchunguzi huu ulichukua takribani miezi 3 tangu kustukia mawasiliano hayo.
Nilipothibitisha, nikamwomba MUNGU anipe subra, maana ni 'NGUMU KUMESA'. Cha kwanza nikawa tayari kumsamehe, ila nikaweka nadhili kwa muumba wake kuwa, nitamuhoji mara 3 kwa vipindi ni siku tofauti, akikana zote mara 3,ndio ungekuwa mwisho.
Nikaandaa Questionnaire zangu kwa ustadi wa hali ya juu sana na umakini mkubwa kuepuka kuhisi kuwa kuna kitu akistukie, ila swali la mwisho nakumbuka lilimbabaisha na 'akapoteana'.
Ile ya mwisho alikili na akaeleza yote tangu siku ya kwanza hadi walipoamua ku break up, na sababu.
Nilimwambia ampigie jamaa simu na amuite aje nyumbani kwangu, jamaa akazingua, nikampigia nikwambie ndani ya masaa 4 aje kwangu, lasivyo......!! Jamaa alikubali kuja.
Yeye alilia na kueleza kila kitu... Aliomba msamaha nikawasamehe wote. Japo mgoni wangu aliogopa sana baada ya kutoka kwangu alienda kuomba likizo na baadaye uhamisho, nasikia alirudi mkoani kwao maana roho ya hatia ilikuwa ikimwandama. Mke nae kabadilika ajabu, hakutarajia kilichotokea.
Nadhani ndugu yangu huenda ukapata cha kujifunza hapo, japo sikushauri ufuate ufuate njia niliyoifuata, maana kila mtu ni wa pekee. Kuacha nalo wazo zuri, tatizo utayemleta naye hauna uhakika naye. Huo ndio uzoefu nilioupitia.
ha ha ha ha haHuyo jamaa yako naye yumo humu na ameuona uzi wako. Ameanza kutafuta ushauri naye
Mmhhkama mna miaka Zaidi ya kumi ktk ndoa ,na jamaa kamchukua mke kwa mwezi tuu ,usijali endelea tuu na mkeo miaka 10 sio sawa na miezi ,ila mwambie mkeo aende kwa jamaa mara ya mwisho then AKOME abaki na wewe
Kwa nini mkuuaisee mapadri huenda wanaishi kwa amani sana