Hii ngumu kumeza

Hii ngumu kumeza

Status
Not open for further replies.
Nawashukuru wakuu kwa kampani....nyie laleni mnaolala...usiku sana sasa.
Binafsi sina usingizi kabisa mpaka nitakapoitapika hii nyongo.

Ngoja niendelee kufanya majumuisho ya ushauri mnaonipa....ili niondoke na moja.

Mambo mengine hata kumwambia Mtu moja kwa moja ni aibu yani......hapa ni kufanya maamuzi tu.
Ninajua unayopitia kaka, nakuomba usiue wala kujiua, angalia namna bora zaidi ila isiwe kumsamehe mzinzi.
 
ushauri wangu... hebu mkaribishe huyo jamaa staff mwenzako nyumbani kwa amani... akiingia baada ya msosi anza sasa kuliongelea hilo... nahisi hapo utapata maamuzi mazuri zaidi....
 
kama mna miaka Zaidi ya kumi ktk ndoa ,na jamaa kamchukua mke kwa mwezi tuu ,usijali endelea tuu na mkeo miaka 10 sio sawa na miezi ,ila mwambie mkeo aende kwa jamaa mara ya mwisho then AKOME abaki na wewe
Mleta hoja magnify ujumbe niliou quote.

Ikiandaliwa menu, say wali maharage, pembeni kukawepo na kachumbari, ukitakiwa kuuelezea mlo huo hakika utasema wali maharage, hutasema wali kachumbari.

Sasa sikiliza mihemko ya members ujikute unaifanya kachumbari subject ya mlo wako.
 
Hata kama utamsamehe na mkaendelea kuishi pamoja katu hamtaishi kwa furaha kuu. Only fake joy will cover tour marriage. Mwache hamna namna.
Ila kusamehe au kuendelea naye inawezekana pia
 
Mkuu kaa nae mueleze maujinga yake then msikiliza atasema nini then uendelee na maisha...

Kuna mengi ya kufanya kwenye maisha zaidi ya kulia kwenye mapenzi na isitoshe una watoto tayari..

Akikaza kichwa,,,Fyekelea mbaliiii
hili jibu ninaliafiki, naomba utulize kichwa, ongea naye, na usiishie tu kuongea naye bali umwite na huyo mhusika myamalize, haina haja kumwacha kwani wanawake karibu wote wanafanana tu
 
Maamuz magum yanaitajika, ata ao watoto kuna uwezekano(probability) mkubwa mmoja sio wako
Ata ukiwa hoi bin taaban katka kupambana na umaut uyo mwanamke haitamuuma sana, coz atafikiria ndio opportunity kwake
Ana hamu miez miwil yan unachofanya kwake n kumpakaza mishahawa yako tu ambayo kiukwel amefka point hayafurahii ata kidogo

Ata vtabu vya dini havijawai kuichekea dhambi ya unzi, enz za musa mwanamke(sio mwanaume) aliezin n mawe ad umaut,
 
Asilimia za kuoa zinazid kupungua tu kwangu kwa style hii
 
Hii kitu iliyokutokea ni kawaida sana kuwakuta wanandoa wa kizazi hiki. Nakushauri usimuache mkeo. Hata ukimuacha, huyo utakayekuwa nae tena atakuwa kama huyu. Mjulishe ulichokiona na umuonye pia hata huyo jamaa na mkeo pia. Moja ya changamoto wanayokutana nayo wanandoa ni hiyo ya kuchapiwa. Kwa wanaume wasio wachepukaji na waliotulia na mke mmoja huwa inawaumiza sana wanapobaini hili jambo na huwa haifutiki kiwepesi. Wale wasio na uvumilivu huwa wanafanya matukio makubwa ya kinyama kwa wake zao.
 
Dah huo mwandiko wa huyo mwanaume

Mkuu pole sana mm sina cha kukushauri haya mambo ya ndoa kila mtu ana ya kwake

Fanya vile moyo wako unajisikia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom