Hii Ngoma Ilikuwa Nzito!! Chit Chat Reviews...

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,303
Reaction score
17,830
Aisee sijui kwa nini nimekumbuka hii kitu..

Ni zoezi la miss chit chat 2013.

Leo naomba ni Kubali kuwa hii kitu ilikuwa nzito sio mchezo..
Nimejiuliza ni kwanini hii kitu ilinifanya kuwa addicted kwa kiasi kikubwa vile..
Aisee kumbe niliweka hisia mbele!!

Majembe Arushaone, Lady doctor
Salute kwenu!! I never appriciate you for that, now get My Appriciation....

Hii ngoma ilikuwa kali
Kuna hii timu ya Upande wa Pili ikiongozwa na Baba V na Mamndenyi...aisee si mchezo, nyie ni nomaaa..

Hatujawahi kupiga story kuwa yale mambo yalikuwaje kuwaje..

Najua mkuu watu8 alicheza kwa makini sana..
Big thing mchuano ulikuwa mkali na ni kati ya marafiki!!

Ninachokumbuka kuna member walishindwa kabisa kuonyesha hisia zao, kwa sababu tu, wote tulikuwa marafiki na hawakukubali kusimama upande wowote ule kwa uwazi pamoja na kwamba influence yao ilikuwa kubwa sana...
mf. Heaven on Earth na kina farkhina pamoja na Mr Rocky
hapa kina Khantwe, Heaven Sent, kan'tangaze, tumboo na wachache wengine mnaweza msinielewe

Nawakumbuka sana kina Mzee na kamanda 24hrs na jembe figganigga..

Natamani sana hii kitu ifanyike tena mwaka huu..
ila shansarie hata shiriki.

Mkuu Arushaone ninaamini unaweza kuweka utaratibu vizuri na ukaongea na Invisible hii kitu ikarudishwa hata kama hautakuwa na muda wa kuratibu, naamini kuna.vijana wazuri humu ndani wanaoweza kuendesha hii kitu kwa uzuri kabisa, Wadada washindane..
na ikawa na mwisho mzuri....Conditions & Terms zikiwekwa mambo yatakuwa byee...

Inakamvuto kake kwa kweli...
 
Last edited by a moderator:
Acheni huu unafiki wenu. Siku ile Lady doctor ameshinda mkashindwa hata kumpongeza baadala yake mkaanzisha uzi wa kulalamika. Mtu ambaye alikua haungi mkono kundi letu wewe Mamndenyi na shansarie mlikua mnamjengea chuki hata salamu hampokei. Hivi kwanini kama kweli unataka shindano lirudi, kwanini hutaki aliyekua mgombe wako shansarie agombee kama kweli una nia njema?. Acheni mambo yenu.

Haya mambo fanyeni lakini nisione mnanisumbua kwenye pm eti mnaomba kura. Watu mnakosa uti hata mnashindwa kutambua hii ni michezo kama michezo mingine. Jana mnatutukana halafu leo eti yaliopita sindwele nani kasema?. Nyie ilibidi muombe msamaha kwa kueneza chuki dhidi ya wale wasio waunga mkono baada ya hapo ndo tuendelee na mambo mengine. Mpasuko mliousababisha mnauona mdogo hadi leo uje na mambo yale yale? kwa kipi kizuri mlofanya uchaguzi ulioisha?
Remmy aliposhinda mbona watu tuliendelea kuelewana, Madame B aliposhinda mbona tulizidi kuwa poa? Charming lady aliposhinda mbona tuligonga kinywaji? Kwanini Lady doctor kishinda iwe nongwa? Au unafikiri shansarie angeshinda kwa kubebwa? zile kura zilikua ni Electronic voting usingeweza kuiba so malalamiko yenu hayakua na mashiko. Hivi ule uzi wa kupiga kura mliuweka wapi?. Mia
 
Last edited by a moderator:
Mia
Umeniita huku
Mi mgeni sikuhizi
Mambo vipi lakini?
Watu wamempinga mshindi?
 
Hahahah...!!!

ZIle kampeni za wakati ule nafikiri zilinifanya nijulikane na wanJF wote, maana kwa miaka miwili mfululizo familia ya watu8 ilitoa walimbwende walionyakua taji...
 
Last edited by a moderator:
Acheni huu unafiki wenu. Siku ile Lady doctor ameshinda mkashindwa hata kumpongeza baadala yake mkaanzisha uzi wa kulalamika. Mtu ambaye alikua haungi mkono kundi letu wewe Mamndenyi na shansarie mlikua mnamjengea chuki hata salamu hampokei. Hivi kwanini kama kweli unataka shindano lirudi, kwanini hutaki aliyekua mgombe wako shansarie agombee kama kweli una nia njema?. Acheni mambo yenu.

Haya mambo fanyeni lakini nisione mnanisumbua kwenye pm eti mnaomba kura. Watu mnakosa uti hata mnashindwa kutambua hii ni michezo kama michezo mingine. Jana mnatutukana halafu leo eti yaliopita sindwele nani kasema?. Nyie ilibidi muombe msamaha kwa kueneza chuki dhidi ya wale wasio waunga mkono baada ya hapo ndo tuendelee na mambo mengine. Mpasuko mliousababisha mnauona mdogo hadi leo uje na mambo yale yale? kwa kipi kizuri mlofanya uchaguzi ulioisha?
Remmy aliposhinda mbona watu tuliendelea kuelewana, Madame B aliposhinda mbona tulizidi kuwa poa? Charming lady aliposhinda mbona tuligonga kinywaji? Kwanini Lady doctor kishinda iwe nongwa? Au unafikiri shansarie angeshinda kwa kubebwa? zile kura zilikua ni Electronic voting usingeweza kuiba so malalamiko yenu hayakua na mashiko. Hivi ule uzi wa kupiga kura mliuweka wapi?. Mia

mkuu basi unamiiiind...
hili la kulalamika nilakwangu na mapungufu yangu niliyakiri.

sasa mkuu figga hapa nini tena unaleta lawama wakati lengo langu ni kurejesha hii kitu?
 
Last edited by a moderator:
Hapa umeamua kuwakumbusha watu hasira zilizotufanya tusitazamane usoni;
Ulichezwa mchezo mchafu wakati ule;
Kambi zilipigana kufa na kupona,
sitamani kabisa kuona kile kitu,
hata mkianza leo sitapiga kura.
 
kiwatengu nakumbuka ule mchakato ulikuwa mgumu sana, natamani urudi ila tutae matatizo yaliyotokea kwanza.....
 
Last edited by a moderator:
kiwatengu hii kitu naikumbuka, though sikuifatilia hata jinsi ilivyoenda, nilikuwa mgeni bado. Yees nakumbuka huo mtanange coz hata PM za kuomba votes kwa baadhi ya washiriki nilizipata. Kumbe yalihappen makubwa eeeh
 
Last edited by a moderator:
Acheni huu unafiki wenu. Siku ile Lady doctor ameshinda mkashindwa hata kumpongeza baadala yake mkaanzisha uzi wa kulalamika. Mtu ambaye alikua haungi mkono kundi letu wewe Mamndenyi na shansarie mlikua mnamjengea chuki hata salamu hampokei. Hivi kwanini kama kweli unataka shindano lirudi, kwanini hutaki aliyekua mgombe wako shansarie agombee kama kweli una nia njema?. Acheni mambo yenu.

Haya mambo fanyeni lakini nisione mnanisumbua kwenye pm eti mnaomba kura. Watu mnakosa uti hata mnashindwa kutambua hii ni michezo kama michezo mingine. Jana mnatutukana halafu leo eti yaliopita sindwele nani kasema?. Nyie ilibidi muombe msamaha kwa kueneza chuki dhidi ya wale wasio waunga mkono baada ya hapo ndo tuendelee na mambo mengine. Mpasuko mliousababisha mnauona mdogo hadi leo uje na mambo yale yale? kwa kipi kizuri mlofanya uchaguzi ulioisha?
Remmy aliposhinda mbona watu tuliendelea kuelewana, Madame B aliposhinda mbona tulizidi kuwa poa? Charming lady aliposhinda mbona tuligonga kinywaji? Kwanini Lady doctor kishinda iwe nongwa? Au unafikiri shansarie angeshinda kwa kubebwa? zile kura zilikua ni Electronic voting usingeweza kuiba so malalamiko yenu hayakua na mashiko. Hivi ule uzi wa kupiga kura mliuweka wapi?. Mia

kumbe kulikuwa na mengi nyuma ya pazia wengine tulikuwa wageni
 
Last edited by a moderator:
Mia
Umeniita huku
Mi mgeni sikuhizi
Mambo vipi lakini?
Watu wamempinga mshindi?
Mambo poa Remmy, inakuaje? Nawaambia hawa viumbe kwamba haya mambo ya umiss sisi tulikua tunayachukulia kama burudani. Wape somo kidogo Remmy maanake wewe ndo Miss wa kwanza humu chit chat hivi ulishinda kwa kura ngapi? hahahahaaaa...!! Tulikua wachache kipindi hicho. Nimekumiss sana, Poleni kwa uchaguzi japo kura hazikutosha. mia
 
yangu macho.. ila kwa uhasama mnaotaka kuuendeleza sidhani kama mta/tutajenga.. mkuu figganigga punguza hasira, kiwatengu ameshakiri ingawa namshauri asimzuie shansarie, [MENTION=219898]mamndenyi kututhibitishia kutokupiga kura ni ishara mbaya... yaliyopita si ndweleeee... wengi tulikuwa nje na jf bt kama kulikuwa na mema yaliyoingiliwa na mabaya ujanja sio kuruhusu ubaya ushinde... angalieni makosa yalipofanyika tu/mrekebishe tu/mpige hatua mbele...

senki yu...
 
Last edited by a moderator:
kiwatengu , 24hrs ndo mimi mkuu,hiyo ngoma ilikuwa nzito tulikesha unakuta mpaka unawafuata wale wa jukwaa
la siasa unamwomba mtu ampigie kura mshiriki wako yaani anakupa bonge la matusi,ila ushindani ulikuwa wa kutoa jasho.
 
mkuu nimekusoma..
sema kuna swala kubwa hapa figganigga hajalisoma vyema,
ile kitu ilihama kabisa kwenye level ya burudani hadi kwenye deep love..

acha kabisa
kwa sasa ikirudi naamini kabisa itakuwa poa sana ..
muhimu vigezo na masharti yawe wazi kabisa!!

Na siku izi warembo kibao humu..
 
Last edited by a moderator:
yangu macho.. ila kwa uhasama mnaotaka kuuendeleza sidhani kama mta/tutajenga.. mkuu figganigga punguza hasira, kiwatengu ameshakiri ingawa namshauri asimzuie shansarie, [MENTION=219898]mamndenyi kututhibitishia kutokupiga kura ni ishara mbaya... yaliyopita si ndweleeee... wengi tulikuwa nje na jf bt kama kulikuwa na mema yaliyoingiliwa na mabaya ujanja sio kuruhusu ubaya ushinde... angalieni makosa yalipofanyika tu/mrekebishe tu/mpige hatua mbele...

senki yu...

Ni kweli mkuu First Born ile kitu ilikuwa nzitoo.
 
Last edited by a moderator:
mkuu nimekusoma..
sema kuna swala kubwa hapa figganigga hajalisoma vyema,
ile kitu ilihama kabisa kwenye level ya burudani hadi kwenye deep love..

acha kabisa
kwa sasa ikirudi naamini kabisa itakuwa poa sana ..
muhimu vigezo na masharti yawe wazi kabisa!!

Na siku izi warembo kibao humu..

Mkuu mi sina tatizo but hii ishu uadui wake unakuja pale unapokuwa na marafiki wengi humu halafu wote wanataka uwapigie kampani,sasa ukiwa upande flani lazima uwe vs na ule upande mwingine na ndo utakapowapoteza marafiki.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mi sina tatizo but hii ishu uadui wake unakuja pale unapokuwa na marafiki wengi humu halafu wote wanataka uwapigie kampani,sasa ukiwa upande flani lazima uwe vs na ule upande mwingine na ndo utakapowapoteza marafiki.

kweli mkuu..
mi sikupoteza rafiki bana, vipi wapi Mzee?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom