kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,309
- 17,845
excited?!!
Acheni huu unafiki wenu. Siku ile Lady doctor ameshinda mkashindwa hata kumpongeza baadala yake mkaanzisha uzi wa kulalamika. Mtu ambaye alikua haungi mkono kundi letu wewe Mamndenyi na shansarie mlikua mnamjengea chuki hata salamu hampokei. Hivi kwanini kama kweli unataka shindano lirudi, kwanini hutaki aliyekua mgombe wako shansarie agombee kama kweli una nia njema?. Acheni mambo yenu.
Haya mambo fanyeni lakini nisione mnanisumbua kwenye pm eti mnaomba kura. Watu mnakosa uti hata mnashindwa kutambua hii ni michezo kama michezo mingine. Jana mnatutukana halafu leo eti yaliopita sindwele nani kasema?. Nyie ilibidi muombe msamaha kwa kueneza chuki dhidi ya wale wasio waunga mkono baada ya hapo ndo tuendelee na mambo mengine. Mpasuko mliousababisha mnauona mdogo hadi leo uje na mambo yale yale? kwa kipi kizuri mlofanya uchaguzi ulioisha?
Remmy aliposhinda mbona watu tuliendelea kuelewana, Madame B aliposhinda mbona tulizidi kuwa poa? Charming lady aliposhinda mbona tuligonga kinywaji? Kwanini Lady doctor kishinda iwe nongwa? Au unafikiri shansarie angeshinda kwa kubebwa? zile kura zilikua ni Electronic voting usingeweza kuiba so malalamiko yenu hayakua na mashiko. Hivi ule uzi wa kupiga kura mliuweka wapi?. Mia
niko vizuri yale maandalizi bado yanaendelea..
niko vizuri yale maandalizi bado yanaendelea..
Safi mkuu pambana aise na wengine wawe na taarifa pia utafiti, Mndengereko, Tized, OLESAIDIMU, Mtoto halali na hela na Ntuzu
No...sijaelewa hata
kumbe nawewe huwa una mind vitu vidogo kama hivi ee, punguza hasira bwana yaliyopita si ndweleAcheni huu unafiki wenu. Siku ile Lady doctor ameshinda mkashindwa hata kumpongeza baadala yake mkaanzisha uzi wa kulalamika. Mtu ambaye alikua haungi mkono kundi letu wewe Mamndenyi na shansarie mlikua mnamjengea chuki hata salamu hampokei. Hivi kwanini kama kweli unataka shindano lirudi, kwanini hutaki aliyekua mgombe wako shansarie agombee kama kweli una nia njema?. Acheni mambo yenu.
Haya mambo fanyeni lakini nisione mnanisumbua kwenye pm eti mnaomba kura. Watu mnakosa uti hata mnashindwa kutambua hii ni michezo kama michezo mingine. Jana mnatutukana halafu leo eti yaliopita sindwele nani kasema?. Nyie ilibidi muombe msamaha kwa kueneza chuki dhidi ya wale wasio waunga mkono baada ya hapo ndo tuendelee na mambo mengine. Mpasuko mliousababisha mnauona mdogo hadi leo uje na mambo yale yale? kwa kipi kizuri mlofanya uchaguzi ulioisha?
Remmy aliposhinda mbona watu tuliendelea kuelewana, Madame B aliposhinda mbona tulizidi kuwa poa? Charming lady aliposhinda mbona tuligonga kinywaji? Kwanini Lady doctor kishinda iwe nongwa? Au unafikiri shansarie angeshinda kwa kubebwa? zile kura zilikua ni Electronic voting usingeweza kuiba so malalamiko yenu hayakua na mashiko. Hivi ule uzi wa kupiga kura mliuweka wapi?. Mia
Safi mkuu pambana aise na wengine wawe na taarifa pia utafiti, Mndengereko, Tized, OLESAIDIMU, Mtoto halali na hela na Ntuzu
Watu wanajifanya wajuaji na wenye dharau huwa sielewani nao hata dakika moja wala siogopi kuwaambia ukweli. Naamini kwa ukweli wangu huwa wanajirekebisha. Nakemea mabaya, hila chafu na kulazimisha watu kuheshimu utu wa mtu bila kujali umri kabila wala rangi.kumbe nawewe huwa una mind vitu vidogo kama hivi ee, punguza hasira bwana yaliyopita si ndwele
Pole kaka mkubwa ndio majukumu kila mmoja analia upande wake....