Hii Ngoma Ilikuwa Nzito!! Chit Chat Reviews...

Watu wanajifanya wajuaji na wenye dharau huwa sielewani nao hata dakika moja wala siogopi kuwaambia ukweli. Naamini kwa ukweli wangu huwa wanajirekebisha. Nakemea mabaya, hila chafu na kulazimisha watu kuheshimu utu wa mtu bila kujali umri kabila wala rangi.

Kusema yote hayo sio kwamba nimeamind bali nataka mjirekebishe na mtambue hapa duniani wote ni sawa na hapa JF hakuna mtumwa wala mtwana. Kututukana sisi sio ndwele lakini nyie mkikemewa kidogo tu ni ndwele sio?. Yupi bora, Mimi ninaye sema na kukukemea unapokosea ili ujirekebishe au yule anayekuacha upotee huku akiugulia moyoni?. Labda mnapenda mtu akae kimya pale mnapomkosea ndo muone mnapendwa.

Mimi nachukulia poa kila kitu japo nakosa uvumilivu wa matusi na dharau. Samahani kwa hilo. mia

Duh.. Kumbe Jf kuna mabifu eeh?
mia.
 
mkuu unakosea sana unavyofanya maneno ya hivi, my wife was quit after what happen..

hapa wakujivika yote ni mimi. but sijawahi kutukana mtu for the reason of been defeated..
 
Watu wanajifanya wajuaji na wenye dharau huwa sielewani nao hata dakika moja wala siogopi kuwaambia ukweli. Naamini kwa ukweli wangu huwa wanajirekebisha. Nakemea mabaya, hila chafu na kulazimisha watu kuheshimu utu wa mtu bila kujali umri kabila wala rangi.

Kusema yote hayo sio kwamba nimeamind bali nataka mjirekebishe na mtambue hapa duniani wote ni sawa na hapa JF hakuna mtumwa wala mtwana. Kututukana sisi sio ndwele lakini nyie mkikemewa kidogo tu ni ndwele sio?. Yupi bora, Mimi ninaye sema na kukukemea unapokosea ili ujirekebishe au yule anayekuacha upotee huku akiugulia moyoni?. Labda mnapenda mtu akae kimya pale mnapomkosea ndo muone mnapendwa.

Mimi nachukulia poa kila kitu japo nakosa uvumilivu wa matusi na dharau. Samahani kwa hilo. mia

Punguza hasira bwana just chukulia poa though sijui mlikotoka.mia
 
pole sana umeongea kwa uchungu sana
 
Acheni huu unafiki wenu. Siku ile Lady doctor ameshinda mkashindwa hata kumpongeza baadala yake mkaanzisha uzi wa kulalamika. Mtu ambaye alikua haungi mkono kundi letu wewe Mamndenyi na shansarie mlikua mnamjengea chuki hata salamu hampokei. Hivi kwanini kama kweli unataka shindano lirudi, kwanini hutaki aliyekua mgombe wako shansarie agombee kama kweli una nia njema?. Acheni mambo yenu.

Haya mambo fanyeni lakini nisione mnanisumbua kwenye pm eti mnaomba kura. Watu mnakosa uti hata mnashindwa kutambua hii ni michezo kama michezo mingine. Jana mnatutukana halafu leo eti yaliopita sindwele nani kasema?. Nyie ilibidi muombe msamaha kwa kueneza chuki dhidi ya wale wasio waunga mkono baada ya hapo ndo tuendelee na mambo mengine. Mpasuko mliousababisha mnauona mdogo hadi leo uje na mambo yale yale? kwa kipi kizuri mlofanya uchaguzi ulioisha?
Remmy aliposhinda mbona watu tuliendelea kuelewana, Madame B aliposhinda mbona tulizidi kuwa poa? Charming lady aliposhinda mbona tuligonga kinywaji? Kwanini Lady doctor kishinda iwe nongwa? Au unafikiri shansarie angeshinda kwa kubebwa? zile kura zilikua ni Electronic voting usingeweza kuiba so malalamiko yenu hayakua na mashiko. Hivi ule uzi wa kupiga kura mliuweka wapi?. Mia

Duh em ngoja nikuletee fanta mwaya
 
Last edited by a moderator:
kiwatengu .

Heshima kwako mkuu.... Umenikumbusha zamani kidogo; Ilikuwa November mwaka Jana.....

Ni matumaini yangu mwaka huu Nov itafanyika tena..

Umenikumbusha team yetu @Figganiga, watu8, Madame B ... n.k.

Heshima mbele...
 
Last edited by a moderator:
Hapa umeamua kuwakumbusha watu hasira zilizotufanya tusitazamane usoni;
Ulichezwa mchezo mchafu wakati ule;
Kambi zilipigana kufa na kupona,
sitamani kabisa kuona kile kitu,
hata mkianza leo sitapiga kura.

Mamndenyi

Zile kura zilikuwa ni Electronics, ni vigumu kuchakachua.

Labda ule uhuni wa member kufungua acc mpya kwa ajili ya kura tu..... Ila mchezo ulikuwa poa tu..

Nashauri mwaka huu Shindano Liwepo Tena.
 
Last edited by a moderator:
kiwatengu , 24hrs ndo mimi mkuu,hiyo ngoma ilikuwa nzito tulikesha unakuta mpaka unawafuata wale wa jukwaa
la siasa unamwomba mtu ampigie kura mshiriki wako yaani anakupa bonge la matusi,ila ushindani ulikuwa wa kutoa jasho.

Hahaaaaaaa wa jukwaa la siasa umwambie aje apige kura lazima akuvurumushe umenichekeshaje
 
Last edited by a moderator:
Niliogopa mambo kama haya..

Ukutwe unapambanishwa na miss neddy maybe hapo marafiki na mtanange unavyokwenda huwezi kuzuia hisia halafu nikuone Viol unamshabikia miss neddy lazima nikumaind.. si unaona ilileta mpasuko ilikua ugomvi kweli kweli

Ile kitu iligusa hisia za watu,wengine tukatoswa
 
Last edited by a moderator:
kiwatengu .

Heshima kwako mkuu.... Umenikumbusha zamani kidogo; Ilikuwa November mwaka Jana.....

Ni matumaini yangu mwaka huu Nov itafanyika tena..

Umenikumbusha team yetu @Figganiga, watu8, Madame B ... n.k.

Heshima mbele...

asante kaka.
umeadimika sana hapa jukwaani..
au mambo ya upareni yamekubana?
 
Last edited by a moderator:
Kupiga kura za miss jf tu ilikuwa ni kazi,
Tena tunagombea jina feki, kweli duniani kuna mambo.
 
Back
Top Bottom