dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Duuh jamaniUngemuandikia kwa ufupi tu hajui kutoomba.

Nakuambia.Duuh jamani![]()

Aisee! KumbeNakuambia.
Mwanamke pekee asiyefanywa vizuri ndo anakataa.
Lakini kama anafanywa vizuri hawezi kukataa na kutoa mikono.
Jamaa hajui.
Ana bahati mkewe anatoa tu mikono mimi ningempa na makofi![]()
Hata uonyeshe love, vipi mpaka ununue rose flowers umpe.. mambo yankuwa pale pale,wanawake wengi wanapopata watoto huonesha mabadiliko makubwa sana ndoani, mapenz yao makubwa huyaelekeza kwa watoto na hili husababisha migogoro ya mara kwa mara ndoani.
mwanaume ukishaliona hilo unapaswa kuanza upya kushow love kwake kana kwamba ndo kwanza mmefahamiana ili u-refresh her mind, hii husaidia kuufufua upendo na maisha hurejea sawia.
Wakati wa uchumba wanakuwa hawana mtoto mkuu!Uchumba wenu ulidumu muda gani? Haya unayogundua sasa ulipaswa kuyajua wakati wa uchumba.
ukidiliki kunifanyia hayo utakua umegusanisha nyayaNakuambia.
Mwanamke pekee asiyefanywa vizuri ndo anakataa.
Lakini kama anafanywa vizuri hawezi kukataa na kutoa mikono.
Jamaa hajui.
Ana bahati mkewe anatoa tu mikono mimi ningempa na makofi![]()
Sasa kumbe n uhalisia wake, haya vumilia mkeo alee mwana.Uchumba Mwaka mkuu Nilikua najua Sio Mtu Wa Hisia Sana Na Kuoneshana Mahaba Ila Hii Naona Imepitiliza sasa
Jina la mtunziMkuu tafuta kitabu kinaitwa Attraction. Then apply hiyo maarifa.
Kama asipokaa sawa basi wewe hutodhurika in any means.
aiseeeUngemuandikia kwa ufupi tu hajui kutoomba.
Aaaah aunt kumbe ndo zakooh lol, afu nimekumic mnoohNakuambia.
Mwanamke pekee asiyefanywa vizuri ndo anakataa.
Lakini kama anafanywa vizuri hawezi kukataa na kutoa mikono.
Jamaa hajui.
Ana bahati mkewe anatoa tu mikono mimi ningempa na makofi![]()

, nan anakuficha jamaniii?Basi kijiti ndio kimembadilishaKijiti aliweka tulishauriana aweke ndugu
Habari Zenu Wadau
Mwenzenu Nimeoa Ni Miaka Miwili Sasa, Tuna Mtoto Mmoja Anatimiza Miaka Miwili Januari Mwakani
Yeye Ni Mama Wa Nyumbani, Napenda Nikitoka Kazini Nirudi Nyumbani Mapema Kabla Ya Saa 3 Usiku, Awe Karibu Yangu Nimdekeze Aniliwaze
Mara nyingi Anajitenga Yaani Ule Ukaribu Wa Kumkumbatia Na Kumshikashika Huwa Hapendi Na Kuna Wakati Aliniita King'ang'anizi, Pale Nilipojaribu Kumpapasa Wakati Yeye Hataki
Game Hadi Nitake Mimi Lasivyo Utapita Mwezi Bila Kugusana, Nimechunguza Hana Mwanaume Wa Nje
Sitaki Nihangaike kutafuta Wanawake Nje Wakati Familia Yangu Ipo Nyumbani
Jana Tumetembelewa Na Mdogo Wake Wa Kike Sasa Usiku Nikaomba Mechi Akasema Hataki Sababu Mgeni Yupo Nyumbani Atasikia Kelele Zetu, Nikaona Yaishe, Ila Nikaonesha Japo Kuhitaji Kumbatio Lake Nimshike Japo Kidogo Roho Yangu Irizike Nilale Unono Eti Akaniambia ''Nijiheshimu'' mgeni Yupo Nyumbani Huku Akitoa Mkono Wangu Kwa Nguvu Mwilini Mwake Na Akionesha Kukasirishwa
Niliudhika Sana Nikamwambia Sitajaribu kumgusa Tena Abaki Na Mwili Wake. Mke Wangu Hana shida Kwenye Mambo Mengine Ila Hili La Ukaribu Na Unyumba Limekuwa Likitukosanisha Mara kwa Mara
Wakuu Nyeto Nilishaacha Sasa Nimeoa Niendelee Kupiga Nyeto Wakati Mke Yupo Nyumbani Kweli!? Hili suala Linavuruga Hadi Shughuli Zangu Za Utafutaji Maana Sina Amani Na Akili Haipati Utulivu Na Kuliwazwa
Msaada Wakuu Mliopitia Haya Na Yeyote Mwenye Ushauri Kwa Haya Yanayoisibu Hii Ndoa
Hapa ndo umeyumba jumla. Kosa lake unaomba msamaha wewe!! Una umri gan mkuu?? Kabla hujaoa ulikuwa na uzoefu kiasi gani wa mahusiano???
Kwani mwanzo kabla ya kumuoa ilikuwaje!? Unajua kuna vitabia huwa tunavipuuzia ila baadaye inakuwa shida, niliwahi kuwa na mahusiano na binti mmoja, yeye alikiri wazi kwamba sex sio kipaumbele kwake, na kweli game nikawa napata kwa mbinde sana..
Nikawaza huu ndo mwanzo tu wa mapenzi anakuwa hivi, akiingia ndani je?

😂 😂😂😂Namuandaa ila hapo kwenye kumfikisha Nitaongea Nae Labda Simfikishi Dah Kufikishana Tena haya mambo Yanachanganya![]()
Wewe muache mwenzio afufue penzi lake
Mle mdogo wake ndio atatambua dosari yakeHabari Zenu Wadau