Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,305
Unaweza kufafanua hapo?kumbuka NIA NJEMA KWA NJIA MBOVU SIO TATIZO.
Unaweza kufafanua hapo?kumbuka NIA NJEMA KWA NJIA MBOVU SIO TATIZO.
Sawa mkuu nimemuomba msamaha kasema amenisameheKwanza nikupe hongera ulioa mke ambaye ngono haikuwa kipaumbele katika ujana wake,lakini pia una mke ambaye akikwazika si mwepesi kuongea anaweka moyonj hivyo Jitahidi kuhakikisha ana amani,pia ngono haikuwa kipaumbele halafu ananyonyesha halafu kaweka uzazi wa mpango,utajua kwa nini hana hamu..
Ongea na mkeo amani na furaha ipo kwenye majadiliano
yes mkuu.Unaweza kufafanua hapo?
Niache Habari Za Sex Tena Jamani Dah mke Wangu Huyu kumbuka Tunalala Chumba kimojaShe might have depression. Kuna wakati nilikua nina msongo wa mawazo sikua nataka sex hata kidogo. Ilipelekea kuachana na Ex wangu. Kama unampenda na kumjali acha habari za sex kwa sasa. Kua nae karibu, mtoe outing, mnunulie vizawadi vya hapa na pale, take her on a trip. Awe relaxed maybe atajiachia kwako. Usikate tamaa juu yake just yet.
Asante kwa ushauri ndugu kwa sasa Ngoja nijishushe ikitokea Tena Ntampa mwezi mmoja aende kwaokaa nae muulize tatizo Nini majibu yoyote atakayokupa ndo yataamua utafute mwanamke nje au uendelee kumvumilia halafu tulia zako as if nothing happen.
vitu vingine Ni rahisi Sana ni akiri za kucheza na mazingira tu ikitokea la kutokea anajilaumu yeye.
kumbuka NIA NJEMA KWA NJIA MBOVU SIO TATIZO.
Asante
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Shukrani ndugu nafuatilia hiliMajige jaribu pia kuchat (kusoma) cycles zake, itakusaidia sana kumjua mkeo (endocrinologically).
Wiki moja kabla ya hedhi, estrogen level (homoni za kike) huwa zinapungua sana. Hii hufanya baadhi ya wanawake kuwa na uwiano mkubwa wa testosterone (homoni za kiume) kuliko estrogen ambapo huwafanya wawe "unfriendly" (kwa kutumia lugha ya kistaarabu).
Pia siku chache kabla ya ovulation kuna baadhi ya wanawake wanakuwa very aggressive and unfriendly kwa wenza wao. Siku nikipata muda nitafungua mada kuielezea hii.
Kitabu Kimebeba Maarifa Yatakazokufanya Ujitafakari Ni sawa Vile Mnavyonishauri Hapa Ni Kama Kitabu Kinachonipa Njia Na Suluhu Ya Matatizodaaah kweli kuna mambo hadi mtu anunue kitabu akamsomee mwanamke ili awe anatoa mzigo vizuri??
Ngoja nilifanyie kazi Hili
Moyo Wangu Nauvika Chuma Sasa Naingia Rasmi Kujenga Ndoa Yangu
Umenifanya Muda Huu Moyo Wangu Ulainike nimemtumia Na Msg Kumuomba Msamaha Kwa Kumfosi Siku Ya Jana
Asante mkuu
Nimekupata mkuu Asante nitafanyia kaziDon't be a Simp don't ask for forgiveness. Your the problem. Give her a break and go fix yourself. Make sure you practise this every morning 1. Benediction, read or pray 2. Body, exercise and normally heavy weight lifting to boost your testestorene hormone 3. Bath, cold shower. And then make sure you have these values 4P's 1. Provide 2. Precede 3. Protect 4. Penetrate.
LEAD do not surrender your frame to her and thank me later.
Nimwkupata mkuu Asante nitafanyia kazi
Duuuuuh hapa mkuu umenigusa hii ipo kwenye ndoa yangu nitakuja siku moja kuuelezea huu mkasaThen kuna spiritual husband kwa mkeo. Hii imekuwa chanzo kikubwa cha kuvunjika kwa mahusiano mengi. Ama labda wewe pia unaweza spiritual wife. Umewahi kyota ndoto ukiww na mpenzi?
Umechemka sanaaa. Kumuomba msamaha kwa kumfosi wakati alikukatalia, halafu ni mke wako? Mimi hata maji ya ugali yamechemka ataipua nimalize shughuli halafu akasonge. Wanaume wengine mnafaa kupiga punyeto siyo kuoa.Ngoja nilifanyie kazi Hili
Moyo Wangu Nauvika Chuma Sasa Naingia Rasmi Kujenga Ndoa Yangu
Umenifanya Muda Huu Moyo Wangu Ulainike nimemtumia Na Msg Kumuomba Msamaha Kwa Kumfosi Siku Ya Jana
Asante mkuu
Kama hakukujibu kakuona fala.Dah mkuu husinione bwege kuna mdau kashauri nimpetipeti kama ndo tunaanza mahusiano ili nimjengee upendo
Jana nilimchana kua sitamgusa Abaki na limwili lake
Aisee kuna wadau walishauri nimpetipeti sasa mkuu husinione bwege kuna wakati Unahitaji Kujishusha kwa hawa watotoUmechemka sanaaa. Kumuomba msamaha kwa kumfosi wakati alikukatalia, halafu ni mke wako? Mimi hata maji ya ugali yamechemka ataipua nimalize shughuli halafu akasonge. Wanaume wengine mnafaa kupiga punyeto siyo kuoa.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app