Hii ndoa hainipi amani

Hii ndoa hainipi amani

Nyeto sitaki mkuu nina mke wangu nyumbani

Sina Mchepuko
Then kuna spiritual husband kwa mkeo. Hii imekuwa chanzo kikubwa cha kuvunjika kwa mahusiano mengi. Ama labda wewe pia unaweza kuwa na spiritual wife. Umewahi kuota ndoto ukiwa na mpenzi?
 
Eehe mkuu unabembeleza ili iwejee... Kama amekuchokaa unakaushaa tuu mzee yani me kubembeleza nishashindwagaa kabisa!
Mzee wa Kula Tunda kimasihara kwenye ndoa kuna kipindi cha Kujishusha kama mume
 
sasa mkuu mke asietomasika ana raha gani? yaani uishi na mke as if ni kaka na dada?
Si ndo hapo mkuu mke unamgusa unambusu shingoni kakausha kama unagusa chuma hashtuki hata
 
Sijaoa, ila;

Kwa kadhaa niliopita nao, wapo ambao Sex huwa sio Fantasy wala kitu cha kuhitaji kila muda kwao.

Hujatuambia kipindi cha uchumba mlikuwa mnafanyana sana kiasi umekuja kushangazwa na matokeo haya

Huenda mtoto si wako hivyo anakuona kama sanamu fulani tu ilihali hiyo huduma anaona inamstahili zaidi baba wa mtoto.

Kumfikisha au kutomfikisha kileleni sio sababu kuu, sababu hilo tendo ni la kwenu wote, wote mnatakiwa muhusike katika kulifurahia.
 
Mkuu tafuta kitabu kinaitwa Attraction. Then apply hiyo maarifa.
Kama asipokaa sawa basi wewe hutodhurika in any means.
Asante Kwa Hili mkuu Nadownload soon ila nijue mwandishi wa kitabu ni nani
 
Sijaoa, ila;

Kwa kadhaa niliopita nao, wapo ambao Sex huwa sio Fantasy wala kitu cha kuhitaji kila muda kwao.

Hujatuambia kipindi cha uchumba mlikuwa mnafanyana sana kiasi umekuja kushangazwa na matokeo haya

Huenda mtoto si wako hivyo anakuona kama sanamu fulani tu ilihali hiyo huduma anaona inamstahili zaidi baba wa mtoto.

Kumfikisha au kutomfikisha kileleni sio sababu kuu, sababu hilo tendo ni la kwenu wote, wote mnatakiwa muhusike katika kulifurahia.
Mtoto wangu mkuu yaani Najiona Mimi nikiwa Mtoto
Kipindi kile kabla ya ndoa alikua sio mtu wa Kupenda Kuonesha uhitaji Ila Sio sana niliona kawaida ila sasa kuna wakati namuona mwenzangu kazidi nisipomgusa wala kuhitaji mechi basi ndo imetoka hiyo
Kuna wakati analala mzungu wa nne mtoto katikati yetu
 
Wewe na yeye nani Kaoa na nani Alilipa Mahari?
 
Back
Top Bottom