We nae acha kuhatarisha ndoa yako kwa comment za humu wewe,Ndio mapigo yanayofuata kuna wadau wanasema mimi bwege wengine wanasema naonekana fala
Mimi nilijishusha ili kujenga ila sasa nampa nafasi ya mwisho


Mkuu kuna wadau wanaona bwege mimi kumuomba msamaha mke wangu, wakati ndoa ni KujishushaWe nae acha kuhatarisha ndoa yako kwa comment za humu wewe,
Tafuta solution ya tatizo la mkeo
Fanya hivi wakati wa mechi, wewe jikite kumchezea hadi akojoe mara moja au mbili kabla hujamgonga... Ikibidi muende kuoga wote, in short make sure umefahamu ni wapi ukimchezea atajusikia raha na kukojoa. Huyu inaonekana wala hajawahi kufika kileleni so hilo tendo kwake limegeuka kero..Nishawahi kukaa nae mkuu akaomba Msamaha
Nitaongea Nae Tena Leo, Maana Ananivuruga kuna Muda Nafikiria Kuchepuka Au Kumrudisha Kwao
kwa majibu haya, tatizo litakua hapa na hata ukimuuliza hawezi kukujibu, chakufanya kama huna uhakika kama anafika basi lifanyie kazi.

Hiyo ni hatari kuu kwenye ndoa mkuu. Usiposhughulikia hilo utaishi kwenye ndoa ya mateso sana.Duuuuuh hapa mkuu umenigusa hii ipo kwenye ndoa yangu nitakuja siku moja kuuelezea huu mkasa
Ndio mapigo yanayofuata kuna wadau wanasema mimi bwege wengine wanasema naonekana fala
Mimi nilijishusha ili kujenga ila sasa nampa nafasi ya mwisho
Kwahiyo nifanyeje Nijue Mkuu Mzoefu Wa Haya Mambo![]()
Hiyo ndo akiliMkuu kuna wadau wanaona bwege mimi kumuomba msamaha mke wangu, wakati ndoa ni Kujishusha
Kuna wadau wamenishauri vizuri humu Nitazingatia mashauri yatakayomfanya mke wangu ajione yuko paradiso


Nimejaribu playstore haipo Asante ila mkuu hayo mambo hayahitajiki mke wangu hanaga masuala hayo kwakweli hata simu zetu hatuweki password muda wowote tunaweza chunguzana tukiamuaAnautumia Smartphone??
Muwekee SpyHuman utajua kila kitu
Ndio mapigo yanayofuata kuna wadau wanasema mimi bwege wengine wanasema naonekana fala
Mimi nilijishusha ili kujenga ila sasa nampa nafasi ya mwisho
Hapana ndugu kuna wakati mnahitaji kuliwazana sio muda wote
Ungemuandikia kwa ufupi tu hajui kutoomba.Labda humfikishi
Au humuandai..
Jaribu kumdadisi... inaonekana sex kwake sio fun ni kero..
Hata hivyo yawezekana ana hormone imbalance baada ya kujifungua..
Hamu imempungua sana..