Hii ndoa hainipi amani

Hii ndoa hainipi amani

N:B: Huo ujinga wa kutomasana kila wakati na wewe uache, Tupo uchumi wa kati sasa
Issue yako ni rahisi sana na mara nyingi wala hana kosa lolote, Kwa mwanamke ndoa na I Karibu ni namna mnavyoishi, ni jumla ya matendo yako!

KWa Mama wa Nyumbani asiye ka kazi na fedha zake, ukiwa hamtuzi vizuri na kumpa hela za ziada kwa ajili ya kwao Labda Mama yake Kitenge? Akawa analalamika, hawezi Kuwa na amani!

Cha kufanya:

1. Some vitabu sana vya mahusiano, hasa vya kizungu, Achana na Huu ujinga wa Mauki.
2. Jaribu sana kujadili na mke wako kutaka kujua tu ana Mawazo gani, kama ajielezi sana jaribu hata kumwambia au nyumbani kuna shida etc!
3. Mtu mie message za kumjulia hali mchana kutwa na kumpa pole na majukumu ya home!
3. Watoto wanasumbua, msaidie, ukirudi home wewe hangaika na Mtoto zaidi yake!

Ukifanya haya kwa uaminifu lazima utaona tofauti!

N:B: Huo ujinga wa kutomasana kila wakati na wewe uache, Tupo uchumi wa kati sasa!

Kulea Mtoto ni kazi sana nawaambia! Mimi najua Ingawa ni mwanaume! Mama wa Nyumbani na kazi za siku na kama hana Dada Sio issue ndogo!


Pole sana
Hhhhhhhhhhhhhh
 
Umefanya utafiti vizuri? maana unaweza ukachunguza ukakuta kweli hana mwanaume yoyote yule, kumbe yupo mwenye mapenzi ya kusagana.

Tabia haiwezi kubadilika pasipo kukatiza kitu katikati.kama ni tabia yake toka mlivyokutana basi sawa, ila kama kaanza kipindi hiki basi kuna tatizo
 
Maswali ya wadau mimi ndo mtoa mahari na ninawajibika kama mume
Unatakiwa uelewe nini cha kufanya. Hakuna ndoa iliyowahi kuwa ya Kidiplomasia ikadumu. Ukiwa ni Mwanaume kamili, utaelewa nimemaanisha nini
 
Hii inatokea wanaume wengi kwenye ndoa na mahusiano, huwa linatatulika kwa kuonyesha kutokupendezwa na hiyo hali, ila ukisema ukae nae muongee hilo tatizo baada ya muda linajirudia tena.
 
Je, wewe huwa unafurahia tendo nae? kama hupati msisimko kwa kila stroke basi na yeye inawezakana hapati, hii inatokea pale maumbile yenu yanapokuwa hayarandani. Utapiga shoo ya kibabe wee lakini kutokana na utofauti wa "hot spots" zenu mnakuwa hamsisimui sehemu hizo. Ndiyo hapo watu kiurahisi tuu watasema sababu humfikishi, kumbe maumbile yenu hayaendani.

Kuna wanawake huwa hawapendi kufanya mapenzi, hii hutokana na historia ya makuzi yao. Kama aliwahi kulawitiwa au alihubiriwa mara kwa mara na wazazi wake (akiwa mdogo) kuwa mapenzi ni uchafu, hawezi kulifurahia tendo.

Ushauri wangu jaribu kubadilisha jinsi ya kufanya nae mapenzi, inawezekana mnaishi kwa mazoea. Muanzie hata wiki kabla, ukiwa kazini mtext mara moja au mbili (msifie jinsi alivyopendeza kipindi fulani). Ukirudi act kawaida, hii itaanza kumuandaa kisaikolojia (sex starts in the brain).
 
Namuandaa ila hapo kwenye kumfikisha Nitaongea Nae Labda Simfikishi Dah Kufikishana Tena haya mambo Yanachanganya
Kwani mkuu wewe mwenyewe huwezi kuona kama amefika au la?
 
Majige jaribu pia kuchat (kusoma) cycles zake, itakusaidia sana kumjua mkeo (endocrinologically).

Wiki moja kabla ya hedhi, estrogen level (homoni za kike) huwa zinapungua sana. Hii hufanya baadhi ya wanawake kuwa na uwiano mkubwa wa testosterone (homoni za kiume) kuliko estrogen ambapo huwafanya wawe "unfriendly" (kwa kutumia lugha ya kistaarabu).

Pia siku chache kabla ya ovulation kuna baadhi ya wanawake wanakuwa very aggressive and unfriendly kwa wenza wao. Siku nikipata muda nitafungua mada kuielezea hii.
 
Huwa wanawekaga vijiti kimya kimya kwahyo mchunguze vizuri kuna uwezekano amewek kijiti na huwa kina tabia ya kuwafanya wakose hamu kabisa ya kungonoka wengine utelezi unapotea hata umuandaeje
 
Kwanza nikupe hongera ulioa mke ambaye ngono haikuwa kipaumbele katika ujana wake,lakini pia una mke ambaye akikwazika si mwepesi kuongea anaweka moyonj hivyo Jitahidi kuhakikisha ana amani,pia ngono haikuwa kipaumbele halafu ananyonyesha halafu kaweka uzazi wa mpango,utajua kwa nini hana hamu..
Ongea na mkeo amani na furaha ipo kwenye majadiliano
 
Huwa wanawekaga vijiti kimya kimya kwahyo mchunguze vizuri kuna uwezekano amewek kijiti na huwa kina tabia ya kuwafanya wakose hamu kabisa ya kungonoka wengine utelezi unapotea hata umuandaeje
Kweli kabisa njia za uzazi wa mpango zinamaliza kabisa hamu ya kufanya mapenzi,na Kama muoga kumwambia mume wake apake vilainishi anaumia kwa kuchubuka...
 
kaa nae muulize tatizo Nini majibu yoyote atakayokupa ndo yataamua utafute mwanamke nje au uendelee kumvumilia halafu tulia zako as if nothing happen.

vitu vingine Ni rahisi Sana ni akiri za kucheza na mazingira tu ikitokea la kutokea anajilaumu yeye.

kumbuka NIA NJEMA KWA NJIA MBOVU SIO TATIZO.

Asante

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Huwa wanawekaga vijiti kimya kimya kwahyo mchunguze vizuri kuna uwezekano amewek kijiti na huwa kina tabia ya kuwafanya wakose hamu kabisa ya kungonoka wengine utelezi unapotea hata umuandaeje
Kijiti aliweka tulishauriana aweke ndugu
 
She might have depression. Kuna wakati nilikua nina msongo wa mawazo sikua nataka sex hata kidogo. Ilipelekea kuachana na Ex wangu. Kama unampenda na kumjali acha habari za sex kwa sasa. Kua nae karibu, mtoe outing, mnunulie vizawadi vya hapa na pale, take her on a trip. Awe relaxed maybe atajiachia kwako. Usikate tamaa juu yake just yet.
 
Back
Top Bottom