Hii ndoa hainipi amani

Hii ndoa hainipi amani

wanawake wengi wanapopata watoto huonesha mabadiliko makubwa sana ndoani, mapenz yao makubwa huyaelekeza kwa watoto na hili husababisha migogoro ya mara kwa mara ndoani.

mwanaume ukishaliona hilo unapaswa kuanza upya kushow love kwake kana kwamba ndo kwanza mmefahamiana ili u-refresh her mind, hii husaidia kuufufua upendo na maisha hurejea sawia.
Ngoja nilifanyie kazi Hili
Moyo Wangu Nauvika Chuma Sasa Naingia Rasmi Kujenga Ndoa Yangu
Umenifanya Muda Huu Moyo Wangu Ulainike nimemtumia Na Msg Kumuomba Msamaha Kwa Kumfosi Siku Ya Jana
Asante mkuu
 
Ngoja nilifanyie kazi Hili
Moyo Wangu Nauvika Chuma Sasa Naingia Rasmi Kujenga Ndoa Yangu
Umenifanya Muda Huu Moyo Wangu Ulainike nimemtumia Na Msg Kumuomba Msamaha Kwa Kumfosi Siku Ya Jana
Asante mkuu

Hapa ndo umeyumba jumla. Kosa lake unaomba msamaha wewe!! Una umri gan mkuu?? Kabla hujaoa ulikuwa na uzoefu kiasi gani wa mahusiano???
 
Ishi na wanawake kwa akili, mwambie ukweli bila kumung'unya maneno kwamba haufurahishwi na tabia yake mbaya. Na umweleze akiendelea kufanya hivyo utapiga punyeto au utachepuka. Akili yake itakaa sawa.
 
Uwe unawahi kurudi hom msaidie vikazi vichache afu ufanye utakayo,,,.

Afu kwani huwezi kukaa bila kutomasatomasa?
 
Eehe mkuu unabembeleza ili iwejee... Kama amekuchokaa unakaushaa tuu mzee yani me kubembeleza nishashindwagaa kabisa!
 
Habari Zenu Wadau

Mwenzenu Nimeoa Ni Miaka Miwili Sasa, Tuna Mtoto Mmoja Anatimiza Miaka Miwili Januari Mwakani

Yeye Ni Mama Wa Nyumbani, Napenda Nikitoka Kazini Nirudi Nyumbani Mapema Kabla Ya Saa 3 Usiku, Awe Karibu Yangu Nimdekeze Aniliwaze

Mara nyingi Anajitenga Yaani Ule Ukaribu Wa Kumkumbatia Na Kumshikashika Huwa Hapendi Na Kuna Wakati Aliniita King'ang'anizi, Pale Nilipojaribu Kumpapasa Wakati Yeye Hataki

Game Hadi Nitake Mimi Lasivyo Utapita Mwezi Bila Kugusana, Nimechunguza Hana Mwanaume Wa Nje

Sitaki Nihangaike kutafuta Wanawake Nje Wakati Familia Yangu Ipo Nyumbani

Jana Tumetembelewa Na Mdogo Wake Wa Kike Sasa Usiku Nikaomba Mechi Akasema Hataki Sababu Mgeni Yupo Nyumbani Atasikia Kelele Zetu, Nikaona Yaishe, Ila Nikaonesha Japo Kuhitaji Kumbatio Lake Nimshike Japo Kidogo Roho Yangu Irizike Nilale Unono Eti Akaniambia ''Nijiheshimu'' mgeni Yupo Nyumbani Huku Akitoa Mkono Wangu Kwa Nguvu Mwilini Mwake Na Akionesha Kukasirishwa

Niliudhika Sana Nikamwambia Sitajaribu kumgusa Tena Abaki Na Mwili Wake. Mke Wangu Hana shida Kwenye Mambo Mengine Ila Hili La Ukaribu Na Unyumba Limekuwa Likitukosanisha Mara kwa Mara

Wakuu Nyeto Nilishaacha Sasa Nimeoa Niendelee Kupiga Nyeto Wakati Mke Yupo Nyumbani Kweli!? Hili suala Linavuruga Hadi Shughuli Zangu Za Utafutaji Maana Sina Amani Na Akili Haipati Utulivu Na Kuliwazwa

Msaada Wakuu Mliopitia Haya Na Yeyote Mwenye Ushauri Kwa Haya Yanayoisibu Hii Ndoa
Amesema anaogopa atasikia kelele zenu,kwani huwa mna tabia ya kupiga kelele mkuu...?
 
Uwe unawahi kurudi hom msaidie vikazi vichache afu ufanye utakayo,,,.



Afu kwani huwezi kukaa bila kutomasatomasa?
Jamani Kumbatio muhimu kuliwazana mtoto akudekee Najihisi Unono kwakweli
 
Hapa ndo umeyumba jumla. Kosa lake unaomba msamaha wewe!! Una umri gan mkuu?? Kabla hujaoa ulikuwa na uzoefu kiasi gani wa mahusiano???
Dah mkuu husinione bwege kuna mdau kashauri nimpetipeti kama ndo tunaanza mahusiano ili nimjengee upendo
Jana nilimchana kua sitamgusa Abaki na limwili lake
 
Back
Top Bottom