We jamaa una akili sana.Then kuna spiritual husband kwa mkeo. Hii imekuwa chanzo kikubwa cha kuvunjika kwa mahusiano mengi. Ama labda wewe pia unaweza kuwa na spiritual wife. Umewahi kuota ndoto ukiwa na mpenzi?
Uko sahihi kabisa ndugu watu tushakalili uanaume ni ubabe tu wakati hawa watoto muda mwingine unawalainisha kwa kujifanya mpoleI understand the leadership aspect of it and that could mean the ability to know what type of battles to fight, in some instances, you have to play chess with a woman, and not checkers. A true leader knows when and how to take actions, listening to what a woman has to says doesn't mean showing weakness whatsoever. You can still come on top without lifting a finder if you play right and she will respect and trust you more for leading her intelligently.
Labda nizidishe Uchunguzi Mkuu, lakini simu Yake nafuatilia hakuna shaka yoyote
Asante
Hii ndiyo ndoa isiyo na matendo ya ndoa.Habari Zenu Wadau
Mwenzenu Nimeoa Ni Miaka Miwili Sasa, Tuna Mtoto Mmoja Anatimiza Miaka Miwili Januari Mwakani
Yeye Ni Mama Wa Nyumbani, Napenda Nikitoka Kazini Nirudi Nyumbani Mapema Kabla Ya Saa 3 Usiku, Awe Karibu Yangu Nimdekeze Aniliwaze
Mara nyingi Anajitenga Yaani Ule Ukaribu Wa Kumkumbatia Na Kumshikashika Huwa Hapendi Na Kuna Wakati Aliniita King'ang'anizi, Pale Nilipojaribu Kumpapasa Wakati Yeye Hataki
Game Hadi Nitake Mimi Lasivyo Utapita Mwezi Bila Kugusana, Nimechunguza Hana Mwanaume Wa Nje
Sitaki Nihangaike kutafuta Wanawake Nje Wakati Familia Yangu Ipo Nyumbani
Jana Tumetembelewa Na Mdogo Wake Wa Kike Sasa Usiku Nikaomba Mechi Akasema Hataki Sababu Mgeni Yupo Nyumbani Atasikia Kelele Zetu, Nikaona Yaishe, Ila Nikaonesha Japo Kuhitaji Kumbatio Lake Nimshike Japo Kidogo Roho Yangu Irizike Nilale Unono Eti Akaniambia ''Nijiheshimu'' mgeni Yupo Nyumbani Huku Akitoa Mkono Wangu Kwa Nguvu Mwilini Mwake Na Akionesha Kukasirishwa
Niliudhika Sana Nikamwambia Sitajaribu kumgusa Tena Abaki Na Mwili Wake. Mke Wangu Hana shida Kwenye Mambo Mengine Ila Hili La Ukaribu Na Unyumba Limekuwa Likitukosanisha Mara kwa Mara
Wakuu Nyeto Nilishaacha Sasa Nimeoa Niendelee Kupiga Nyeto Wakati Mke Yupo Nyumbani Kweli!? Hili suala Linavuruga Hadi Shughuli Zangu Za Utafutaji Maana Sina Amani Na Akili Haipati Utulivu Na Kuliwazwa
Msaada Wakuu Mliopitia Haya Na Yeyote Mwenye Ushauri Kwa Haya Yanayoisibu Hii Ndoa
kama hujui kama huwa unamfksha bas huwa humfikishi....ila yote kwa yote kama amekuwa katili fanya kutafta mchepuko usiiguse hiyo ndoa kama yuko vzur kwenye mambo mengne hasa hasa malez ya mtotoNamuandaa ila hapo kwenye kumfikisha Nitaongea Nae Labda Simfikishi Dah Kufikishana Tena haya mambo Yanachanganya![]()
Tatizo ni wewe mwenyewe,
Upo sahihi Kabisa The Boss Nafikiri ashughulikie swala la hormone imbalance na pia kumdadisi kama kweli anamfikisha, anafurahia tendo la ndoa na mumewe.Labda humfikishi
Au humuandai..
Jaribu kumdadisi... inaonekana sex kwake sio fun ni kero..
Hata hivyo yawezekana ana hormone imbalance baada ya kujifungua..
Hamu imempungua sana..
Umemaliza mkuu, mwenye masikio na asikie.We jamaa una akili sana.
Shida nyingi katika mahusiano huwa yanaanzia hapa.
Hushawahi kuwa na mtu unaona mnapendana ila kuna namna fulani tu unavyojisikia ndani kana kwamba unakosa Amani fulani hivi na ule uhuru kwa asilimia zote kwake?
Yaani mpo ila kila mmoja anahisi kutokuwa huru na mwenzake kwa asilimia zote?
Unakaa na mwanamke/mwanaume hawezi kukuelezea yote yanayomsibu na yupo tayari kutafuta mtu nje ili amuelezee yote.
Spiritual husband, Spiritual wife.
Mnaendana na kila mmoja anahisi kuwepo na ulinzi, Amani na usiri mnapokuwa wote, yaani kila mmoja ana mwamini mwingine bila dosari lolote ndani yake na yupo huru kufanya lolote kwa mwenza wake pasipo kujilazimisha.
NAKAZIA HAPAkama hujui kama huwa unamfksha bas huwa humfikishi....ila yote kwa yote kama amekuwa katili fanya kutafta mchepuko usiiguse hiyo ndoa kama yuko vzur kwenye mambo mengne hasa hasa malez ya mtoto
Pole sana, umesema ni mama wa nyumbani, mna watoto wangapi? Na je mna msaidizi wa kazi, kazi za hapo nyumbani ni nyingi? Watoto wamepishana umri gani?Habari Zenu Wadau