Hii ndoa hainipi amani

Hii ndoa hainipi amani

Habari Zenu Wadau

Mwenzenu Nimeoa Ni Miaka Miwili Sasa, Tuna Mtoto Mmoja Anatimiza Miaka Miwili Januari Mwakani

Yeye Ni Mama Wa Nyumbani, Napenda Nikitoka Kazini Nirudi Nyumbani Mapema Kabla Ya Saa 3 Usiku, Awe Karibu Yangu Nimdekeze Aniliwaze

Mara nyingi Anajitenga Yaani Ule Ukaribu Wa Kumkumbatia Na Kumshikashika Huwa Hapendi Na Kuna Wakati Aliniita King'ang'anizi, Pale Nilipojaribu Kumpapasa Wakati Yeye Hataki

Game Hadi Nitake Mimi Lasivyo Utapita Mwezi Bila Kugusana, Nimechunguza Hana Mwanaume Wa Nje

Sitaki Nihangaike kutafuta Wanawake Nje Wakati Familia Yangu Ipo Nyumbani

Jana Tumetembelewa Na Mdogo Wake Wa Kike Sasa Usiku Nikaomba Mechi Akasema Hataki Sababu Mgeni Yupo Nyumbani Atasikia Kelele Zetu, Nikaona Yaishe, Ila Nikaonesha Japo Kuhitaji Kumbatio Lake Nimshike Japo Kidogo Roho Yangu Irizike Nilale Unono Eti Akaniambia ''Nijiheshimu'' mgeni Yupo Nyumbani Huku Akitoa Mkono Wangu Kwa Nguvu Mwilini Mwake Na Akionesha Kukasirishwa

Niliudhika Sana Nikamwambia Sitajaribu kumgusa Tena Abaki Na Mwili Wake. Mke Wangu Hana shida Kwenye Mambo Mengine Ila Hili La Ukaribu Na Unyumba Limekuwa Likitukosanisha Mara kwa Mara

Wakuu Nyeto Nilishaacha Sasa Nimeoa Niendelee Kupiga Nyeto Wakati Mke Yupo Nyumbani Kweli!? Hili suala Linavuruga Hadi Shughuli Zangu Za Utafutaji Maana Sina Amani Na Akili Haipati Utulivu Na Kuliwazwa

Msaada Wakuu Mliopitia Haya Na Yeyote Mwenye Ushauri Kwa Haya Yanayoisibu Hii Ndoa

Issue yako ni rahisi sana na mara nyingi wala hana kosa lolote, Kwa mwanamke ndoa na I Karibu ni namna mnavyoishi, ni jumla ya matendo yako!

KWa Mama wa Nyumbani asiye ka kazi na fedha zake, ukiwa hamtuzi vizuri na kumpa hela za ziada kwa ajili ya kwao Labda Mama yake Kitenge? Akawa analalamika, hawezi Kuwa na amani!

Cha kufanya:

1. Some vitabu sana vya mahusiano, hasa vya kizungu, Achana na Huu ujinga wa Mauki.
2. Jaribu sana kujadili na mke wako kutaka kujua tu ana Mawazo gani, kama ajielezi sana jaribu hata kumwambia au nyumbani kuna shida etc!
3. Mtu mie message za kumjulia hali mchana kutwa na kumpa pole na majukumu ya home!
3. Watoto wanasumbua, msaidie, ukirudi home wewe hangaika na Mtoto zaidi yake!

Ukifanya haya kwa uaminifu lazima utaona tofauti!

N:B: Huo ujinga wa kutomasana kila wakati na wewe uache, Tupo uchumi wa kati sasa!

Kulea Mtoto ni kazi sana nawaambia! Mimi najua Ingawa ni mwanaume! Mama wa Nyumbani na kazi za siku na kama hana Dada Sio issue ndogo!

Pole sana
 
Uenda wewe ndio ulikuwa mwanaume wake wakwanza,

Kwanini mnapokwichikwichi nani huwa anatoa milio? Wewe, mkeo au kitanda?
 
Kwani mwanzo kabla ya kumuoa ilikuwaje!? Unajua kuna vitabia huwa tunavipuuzia ila baadaye inakuwa shida, niliwahi kuwa na mahusiano na binti mmoja, yeye alikiri wazi kwamba sex sio kipaumbele kwake, na kweli game nikawa napata kwa mbinde sana..
Nikawaza huu ndo mwanzo tu wa mapenzi anakuwa hivi, akiingia ndani je?
 
Asante kwa ushauri ngoja niongeze manjonjo lakini nikiwa nyumbani mtoto namuogesha na kumlisha mimi
 
Kwani mwanzo kabla ya kumuoa ilikuwaje!? Unajua kuna vitabia huwa tunavipuuzia ila baadaye inakuwa shida, niliwahi kuwa na mahusiano na binti mmoja, yeye alikiri wazi kwamba sex sio kipaumbele kwake, na kweli game nikawa napata kwa mbinde sana..
Nikawaza huu ndo mwanzo tu wa mapenzi anakuwa hivi, akiingia ndani je?
Mkuu kipindi cha mwanzo kabla ya ndoa hakua sana ila nikasema sio mbaya ila sasa naona kazidi kujiweka mbali nami
 
Uenda wewe ndio ulikuwa mwanaume wake wakwanza,

Kwanini mnapokwichikwichi nani huwa anatoa milio? Wewe, mkeo au kitanda?
Yeye ila sio sana na mimi nina manjonjo yangu kugugumia kiume si unajua sifa za hapa na hapa ili kuifanya shoo isikose shamrashamra
 
Itabid uwe na msimamo kama mwanaume, ndio unaweza kumrudiaha hata kwao, haina maana ya kukaa na mtu alafu hu enjoy nae.

Bora aende kwao, huku hakijua , kosa lake.
Nikifikiria Mtoto Wangu Mkuu Hili Wazo Naliona Gumu Asante Mkuu Ntafikiria Kwa Uzuri Ushauri Wako
 
Ishi na wanawake kwa akili, mwambie ukweli bila kumung'unya maneno kwamba haufurahishwi na tabia yake mbaya. Na umweleze akiendelea kufanya hivyo utapiga punyeto au utachepuka. Akili yake itakaa sawa.
Ntaongea Nae Tena Na Kumkanya Tabia Yake
 
Back
Top Bottom