harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,917
Najua hii inaweza ikakuhnda ila jitahidi.
Ukifika nyumban akikisha umekula.
Omba maji ya kuoga ukiona anajivuta usisubir Wai kaoge bila kuuliza na kalale bila kuongea chochote na kitandan usiwe na habari nae.
Jidae Kama umerudi home ukiwa umechoka na lala fofofo ata kwa uongo ndani ya siku5