Hii ndo raha ya Bukoba Kagera - Tanzania

Hii ndo raha ya Bukoba Kagera - Tanzania

Duuuu!!! kumbe airport inaweza kuwa ndogo namna hiyo?inashangaza kwa nini hatuna air port nchi zima mpaka leo.
 
Toto za Bukoba sasa, Dah acha kabisa
TotoBk.jpg
 
Mufaktori

tanzania_squeezing.jpg

Mara nyingi hiyo juice ya kutengenezea rubisi(Mlamba) huwa kuna kamba inawekwa juu kama ni ndani ya nyumba mwenye kukanyaga anaishika ikitoke ikakatika, hiyo nyumba kama kuna msichana lazima wampe mke.
 
Chonka Ta Muganyizi wakola, mara wakolla muno munonnga ntusiima, Omukama akwebembele akuwe ne milembe.
Binafsi Mama ndiye muhaya, baba kabila lingine kusema kweli bukoba imebarikiwa,alayanga ayengonge chonka nigo mazima. Umenikumbusha mbaaaali, kwani kwa mara ya kwanza kwenda kwa bibi sehemu za kyaka Bulembo nilipikiwa ndizi na samaki, yule samaki tulipikiwa watu 3 tu, lakini kwa Dar au sehemu nyingine yule samaki mnakula watu 10, Kwanza niliogopa kula nikijua kuna wengine tunawasubiri, nilipoambiwa ni sisi tu nilistaajabu, Kweli bukoba imebarikiwa.
 
Na mimi je?
 
Mkuu karibu sana yaani kuna kilo 10 za wana JF wote watakao nitembelea watakula hizo senene isipokuwa Kuberwa na Kaa la Moto maana wao wanaweza kwenda Nyamkazi wakadaka wa kwao wenyewe!!!!!!!!!!!!!!!!!

acha kuninyanyapaa kakaangu Ta Muganyizi nami nataka maana naona msimu unakaribia kunipita! Nikipata hata 200g si mbaya kukata kiu lol!
 
Maana yake ni, Kwa shani yake Mwenyeezi na azidishe baraka.

Huyo S. Rweyemamu ndio nani?

Bukoba kwetu, unaijuwa Mauwa Guest House? ya Marehem mkwe wangu ile (baba'ke mume wangu, Marehem Abdallah Ngozi) waulize kina Kichwabuta, Marehem Mzee Abdallah Suedi ni watu wangu wa karibu, wananifaham sana.

mwishowe utatwambia KUGISI NA MULIMA ni watu wako wa karibu.
 
Bukoba is one of the beautiful places I have visited in Tanzania. Kwa wakati ule mandhari yake yalkuwa ni mazuri na watu wake walikuwa wakarimu sana. The only negative was the need of armed escort when moving from one district to another due to armed robbers roaming the forests especially from Ngara to Karagwe and Biharamulo to Muleba
 
acha kuninyanyapaa kakaangu Ta Muganyizi nami nataka maana naona msimu unakaribia kunipita! Nikipata hata 200g si mbaya kukata kiu lol!

Mhh. Kuberwa.........nyie mkitupa senene mnatudai kitenge au khanga....... sasa mie nkikupa senene... we utanipa nini jameniii.............??? Hahahahahahahahahaha mie hakyanani nasubiria jibu....................
 
hahahaha mke na sapuri yake kwa shingo! Afu kama hamtaki huyo jamaa hapo

ogwo omushaija namumanya...esapuri kashala waitu...yanyijukya katekisimu eyo twashomile abigango..chonka Rutashubanyuma namanya ekihaya? Nka atakigamba si?
 
hahahaha mke na sapuri yake kwa shingo! Afu kama hamtaki huyo jamaa hapo

Hapo kwenye red uneniuaaaaaaaaaaaaaa................... jamani wengine wametafsiri vibaya eti sapuri ni nini? Jamani Sapuri ni Rozari
 
ogwo omushaija namumanya...esapuri kashala waitu...yanyijukya katekisimu eyo twashomile abigango..chonka Rutashubanyuma namanya ekihaya? Nka atakigamba si?

Nanye tinkabonaga nakigamba waitu shana tumubaze omuli private
 
mwayebwa akanyama akempunu..nako nitukalya wewe,mmenikumbusha barabara ya izimbya,hivi ni baadhi ya vituo vyake: stand mujini,omwafacas,rwamishenye(omwakagambo),kibeta,balabala mpya,maiga to kyetema,katerelo,kanazi,kansenene,kyema,mugaza,olutindo(daraja) lya kalebe,ibwera,bweyenza,katunga,mishenye,nyakabanga(kwao karamagi nazir) ichwandimi,rubale, akakuto,kabilizi up to izimbya had ruhunga..ukienda njia nyingne,ni rubale,nyakaju,nyakatoke,nyakaralo,rukoma(amujajalo) kamogoro,nsheshe to kilamba,nitarudi kutoa root nyingne.mwakora muno abowaitu..
 
Back
Top Bottom