Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,361
- 2,734
- Thread starter
- #81
KAMARADE unaharibu, hapo sio Bukoba hapo ni Ubungo Kabisaaaaaa, hao samaki wakavu ndo maana watu ni waterless. Huku vitu fresh hadi unashangaaa.
KAMARADE unaharibu, hapo sio Bukoba hapo ni Ubungo Kabisaaaaaa, hao samaki wakavu ndo maana watu ni waterless. Huku vitu fresh hadi unashangaaa.
Huyu ZING yawezekana ameshaanza kunywa Nkonyagi au Kalinya, maana hata mimi simuelewi anayoyasema yameanzia wapi.
Tuendeleee na mabo ya kanyigo kashozi, Maruku. Nshambiya,Gera etc tusipoteze Muelekeo ila sister FF anajua.
BTN Nimemiss sana kuona ile process ya manufacturing of mulamba. Igawa kisasa sasa inaweza konekana ni un-hygiene but ndio culture hiyo ni baadhi ya vitu Ta Muganyizi kama unaweza a tafuta kubukubu zake au video clip ili tuone wazee wa kazi wakiwa ndani ya mato wanakanyaga kanyaga zile ndizi. hahahah
Alafu kwa nini Ukinunua nyama bukoba unapewa na utumbo. TOfauti na shemu nyingine utumbo ni package tofauti
Ha ha haa.......rubisi hunywewa humu bana.....my wife wake pembeni
hao senene ndio bites...?...halafu mbona ni wa njano hivyo?....ndio mafuta hayo au?......
hahahahha Hii kifaaa inaitwaje nimesahu jina na zipo za aina tofauti tofauti.
hahahahha Hii kifaaa inaitwaje nimesahu jina na zipo za aina tofauti tofauti.
Hapa ni mambo ya samaki, bei pooooaaaa, unakula tu mchemsho wa fish.
Na hizi ndizo ndizi zenyewe aina ya kulekule, ambako mwana mama akizila hizi Mambo ya "katerero" yanaenda sawia, maana maji yanakuwa ya kutosha,
Ukiongeza na hizi utamu ndo unakolea. maji yae yanatoka yakiwa matamu no salt.
Ukiongeza na passion hizi za kienyeji water natoka ikiwa na smell nzuri, sasa kilichobaki ngoja nikatafute picha za senene.
Ngema.....
Kagera ni moja wapo wa mikoani kumi maskini sana kwa sasa nchini Tanzania.
hahahahha Hii kifaaa inaitwaje nimesahu jina na zipo za aina tofauti tofauti.