Hii ndo raha ya Bukoba Kagera - Tanzania

64.jpg
 
Dada nashukuru ila sijaelewa. Mpe hai Mzee S. Rweyemamu. Karibu Bukoba

Maana yake ni, Kwa shani yake Mwenyeezi na azidishe baraka.

Huyo S. Rweyemamu ndio nani?

Bukoba kwetu, unaijuwa Mauwa Guest House? ya Marehem mkwe wangu ile (baba'ke mume wangu, Marehem Abdallah Ngozi) waulize kina Kichwabuta, Marehem Mzee Abdallah Suedi ni watu wangu wa karibu, wananifaham sana.
 
Hii Nimeuimbuka ile taarabu ya kihaya ya "Nkurukumbi Nkurumbi niwe yazaile mahinda....... Nkaba nkyaile nabona omwana.....Omwana ogwo bojo yanshobeza............"

Na kuna songi lililoenda a international miaka hiyo ya zamani kabla hata ya bongo flavour la "chwiiiiiiiii chwiiiiii chwiiiiiiii Omwaaaaana na lilaaaaaaaaa................."

Ebu wenye hizo collection waziweke
 
Hapa ni mambo ya samaki, bei pooooaaaa, unakula tu mchemsho wa fish.


39344_105745689483699_100001448061501_49246_3902745_n.jpg


39758_105745286150406_100001448061501_49242_5014775_n.jpg


Na hizi ndizo ndizi zenyewe aina ya kulekule, ambako mwana mama akizila hizi Mambo ya "katerero" yanaenda sawia, maana maji yanakuwa ya kutosha,

39696_105746346150300_100001448061501_49251_3744631_n.jpg


Ukiongeza na hizi utamu ndo unakolea. maji yae yanatoka yakiwa matamu no salt.
40560_105746052816996_100001448061501_49249_3849446_n.jpg


Ukiongeza na passion hizi za kienyeji water natoka ikiwa na smell nzuri, sasa kilichobaki ngoja nikatafute picha za senene.


Nimekwenda Mashariki, nimerudi Magharibi, nimepanda Kaskazini, nimeshuka Kusini bado sijaona kuzuri kama Bukoba. It is MY Paradise.
 
Maana yake ni, Kwa shani yake Mwenyeezi na azidishe baraka.

Huyo S. Rweyemamu ndio nani?

Bukoba kwetu, unaijuwa Mauwa Guest House? ya Marehem mkwe wangu ile (baba'ke mume wangu, Marehem Abdallah Ngozi) waulize kina Kichwabuta, Marehem Mzee Abdallah Suedi ni watu wangu wa karibu, wananifaham sana.
FF Ndio hawa ambao MS kwenye thread zake anasema kanisa linwafitini kule BKB ?
 
Hiiyoo mawei bojo.Hivi mkuu mbona ujaweka amushokoro,ebituzi,eibota,ebyekiro,ebyaabakuru etc Lakini of coz umenikumbusha nyumbani kwao of coz ebilo bingi hajaenda kwao.WASHWEILWE?
 
Raha ya Bukoba haiishii tu hapo Katerero. Kuna kanyinya Bwana wee! Halafu ndiyo ufike Kyetema. Upo hapo fungua makataa mwana kwetu ujue mambo.
 
Jamani kweli Bukoba raha. Utadhani jesus au mtume waliishi hapo zamani. Big up kwa Faiza Foxy kumbe na wewe unapajuwa Bukoba loh. Hapa Bukoba nimesha ona maua Guest kama Mbili, zote ni zake? Pia pole kwa kufiwa na Ta nanka.
 
Back
Top Bottom