Hii ndo raha ya Bukoba Kagera - Tanzania

Ta Muganyizi

R I P
Oct 19, 2010
5,361
2,734
Hapa ni mambo ya samaki, bei pooooaaaa, unakula tu mchemsho wa fish.

39344_105745689483699_100001448061501_49246_3902745_n.jpg

39758_105745286150406_100001448061501_49242_5014775_n.jpg

Na hizi ndizo ndizi zenyewe aina ya kulekule, ambako mwana mama akizila hizi Mambo ya "katerero" yanaenda sawia, maana maji yanakuwa ya kutosha,

39696_105746346150300_100001448061501_49251_3744631_n.jpg

Ukiongeza na hizi utamu ndo unakolea. maji yae yanatoka yakiwa matamu no salt.
40560_105746052816996_100001448061501_49249_3849446_n.jpg

Ukiongeza na passion hizi za kienyeji water natoka ikiwa na smell nzuri, sasa kilichobaki ngoja nikatafute picha za senene.
389239_243811662343707_100001446249807_730987_1587264168_n.jpg

Jamani hivi ndivyo hali ilivyokuwa leo, na kesho itakuwa hivi hivi

Wadau wamejaa wananunua senene

18365276.jpg

Na hii ndo airport yenyewe na hivyo karibuni jamani, kwa vile tunapenda culture hatujapiga lami!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Haya mliosema niweke picha za hoteli Bukoba hizo hapo chini , nimetuma link muangalie mambo mengi wenyewe
http://www.walkgard.com/index.htm,

Hapa chini ni Bukoba Kolping Hotel

27927246.jpg

Hapo chini ni spice beach Motel
27927245.jpg

Chini Ni Muonekano wa Bukoba Ukiwa Walk Gard Hotel na Kolping
12678196.jpg
 
Attachments

  • NIWE - NDIFANAE.mp3
    5.7 MB · Views: 501
Weweeee angalia sato freh hao bado wanacheza cheza , Bongo kuna sato fresh kama hao???? Hiyo ni sokoni Bukoba mjini
 
Tattizo ni main meal yao.......ugali mgumu kama jiwe mashine italainika vipi......watani zangu lakini ujue

Mwana Camarade leo umeamkaje lakini>>>>tehetehetehetehereheteheteh, Bukoba huku wakichukua hizo , ndizi wakaweka na hizo nyanya mshumaa almaarufu kama "NTONGO" wakaweka na matunda mengine yaitwayo "matomasi" basi usiseme. Bado senene, maziwa mgando, lubisi, yaani lazima maji yaruke ile mbaya.
 
Ehhh Ta Muganyizi nini tena hii.Anyway weka picha ya Sangara pia.Mbona umesahau karanga kwa wingi na njugu mawe kwa sanaaaaa.
 
Tuwekee na picha za Mbeya. Mbeya kuna samaki, ndizi, na vingine vingi ambavyo havipo kwa kina nshomile

Mwana mie nilitegemea uvitaje kumbe na wewe huvijui . mie nimetaja nilivyoviona huku Bukoba. Sanasana ninachokumbuka mbeya ni ile staili ya "Niangusage sambi zote zako" Ukitaka kuwaangusha nenda pale shaba pub, Mbeya carnival, pale juu ya stendi pale kwa akina baraka...aaaghh ok panaitwa 2000. Utawaangusha hadi ushangae. Ila na wenyewe vitu vyao vikavuuuuuu. Pale vwawa nimetumia kama wanne lakini wote dry.
 
Mbeya?

chakula%2Bmbeya.JPG
 
Hapa ni mambo ya samaki, bei pooooaaaa, unakula tu mchemsho wa fish.

39344_105745689483699_100001448061501_49246_3902745_n.jpg

39758_105745286150406_100001448061501_49242_5014775_n.jpg

Na hizi ndizo ndizi zenyewe aina ya kulekule, ambako mwana mama akizila hizi Mambo ya "katerero" yanaenda sawia, maana maji yanakuwa ya kutosha,

39696_105746346150300_100001448061501_49251_3744631_n.jpg

Ukiongeza na hizi utamu ndo unakolea. maji yae yanatoka yakiwa matamu no salt.
40560_105746052816996_100001448061501_49249_3849446_n.jpg

Ukiongeza na passion hizi za kienyeji water natoka ikiwa na smell nzuri, sasa kilichobaki ngoja nikatafute picha za senene.

Kweli dhana ya Kilimo Kwanza inatekelezwa kwa vitendo.
 
Back
Top Bottom