ndyoko
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,971
- 1,656
Tuwekee na picha za Mbeya. Mbeya kuna samaki, ndizi, na vingine vingi ambavyo havipo kwa kina nshomile
Utazuka ugomvi humu muda si mrefu.
Tuwekee na picha za Mbeya. Mbeya kuna samaki, ndizi, na vingine vingi ambavyo havipo kwa kina nshomile
Dah, mkuu nimejikuta naperuzi kurasa zote kwanza.
Nimeamua sasa, nakuja Kagera. Ila tuwasiliane kwa simu mkuu wangu.
Sikupanga kuja lakini kwa mwendo huu nadhani haitazidi Dec 15 nitakuwa huko (Mungu akijalia uzima).
Asante kwa picha hizi
Umenikumbusha hadithi ya SIKU YA GULIO KATEREREO.![]()
Wadau wamejaa wananunua senene
Achana na mabamia.......umemuwona muuzaji?
Maana yake ni, Kwa shani yake Mwenyeezi na azidishe baraka.
Huyo S. Rweyemamu ndio nani?
Bukoba kwetu, unaijuwa Mauwa Guest House? ya Marehem mkwe wangu ile (baba'ke mume wangu, Marehem Abdallah Ngozi) waulize kina Kichwabuta, Marehem Mzee Abdallah Suedi ni watu wangu wa karibu, wananifaham sana.
Kuna wakati nilienda nikakuta kuna mboju kama bado wapo niambie nije tena ni watamu sana
Mpo juu watani zangu.
mkuu usisahau kutuletea samaki na ndizi....mzigo kama ni mzito sana basi samaki.....wanatosha.....
Dah, mkuu nimejikuta naperuzi kurasa zote kwanza.
Nimeamua sasa, nakuja Kagera. Ila tuwasiliane kwa simu mkuu wangu.
Sikupanga kuja lakini kwa mwendo huu nadhani haitazidi Dec 15 nitakuwa huko (Mungu akijalia uzima).
Asante kwa picha hizi
Umeshtuka nini kuja mwenyewe????? Hahahahahahaaa hatukufanyi kitu jamani. Mpaka umeamua kumuagizia Maxence!!!!!!!! haya bwana
mmmh....kuja huko ngoja kwanza nitafakari.......