Hii ndo raha ya Bukoba Kagera - Tanzania

Hii ndo raha ya Bukoba Kagera - Tanzania

Cheki ktu hicho............

mbogamboga%2B.JPG

Ha ha ha ha ha haaaaaaa!! You made my day!! Kumbe bamia ni kisingizio tu, muuzaji bwana! Nipe address nipeleke posa!
 
@CAMARADERIE
Weka nyingine za kulisha Ng'ombe wa kienyeji. Nakumbuka niliwai kuchunga ng'obe wa kijiji. zamu ya kulisha inakwenda kwa rotation ya nyumba kwa nyumba.

Nadhani sasa hivi hata Ng'ombe wa kienyeji watapotea tutabaki haya man'gobe ya kizungu amabyo yakiliwa na kupe siku yanakufa.
 
Hapa ni mambo ya samaki, bei pooooaaaa, unakula tu mchemsho wa fish.


39344_105745689483699_100001448061501_49246_3902745_n.jpg


39758_105745286150406_100001448061501_49242_5014775_n.jpg


Na hizi ndizo ndizi zenyewe aina ya kulekule, ambako mwana mama akizila hizi Mambo ya "katerero" yanaenda sawia, maana maji yanakuwa ya kutosha,

39696_105746346150300_100001448061501_49251_3744631_n.jpg


Ukiongeza na hizi utamu ndo unakolea. maji yae yanatoka yakiwa matamu no salt.
40560_105746052816996_100001448061501_49249_3849446_n.jpg


Ukiongeza na passion hizi za kienyeji water natoka ikiwa na smell nzuri, sasa kilichobaki ngoja nikatafute picha za senene.

mjomba noyenda kundiza amaziga............. samahani nimepitiwa shauri ya mdadi wa kuona mambo ya Sokoni Bukoba..... Umenikumbusha nyumbani, nakata ticketi kesho nije.... UBARIKIWE
 
mjomba noyenda kundiza amaziga............. samahani nimepitiwa shauri ya mdadi wa kuona mambo ya Sokoni Bukoba..... Umenikumbusha nyumbani, nakata ticketi kesho nije.... UBARIKIWE

Pole sana mwana karibu sana senene kwa sasa wako kwa wingi
 
@CAMARADERIE
Weka nyingine za kulisha Ng'ombe wa kienyeji. Nakumbuka niliwai kuchunga ng'obe wa kijiji. zamu ya kulisha inakwenda kwa rotation ya nyumba kwa nyumba.

Nadhani sasa hivi hata Ng'ombe wa kienyeji watapotea tutabaki haya man'gobe ya kizungu amabyo yakiliwa na kupe siku yanakufa.

Kaka kuweka kila kitu labda nitengeneze Blog
 
Wakuuu naomba
  • Mwenye ile taarabu maarufu ya bukoba zaani kama anayo aiweke hapa . Wimbo unitwa Nkurukumbi.
  • vile vile kuna wimbo wa "chwiiiiiiiiii chwiiiii chwiiiiiii omwana nalila". Sijui uliibwa na nani updates please . Nitashukuru nikizapta hizi kwa kubukumbu.
We need to find way to document those historical culture and norms in an online electronic form
 
Kaka kuweka kila kitu labda nitengeneze Blog
Tengenza mkuu kama unaweza tunawez kusaidia ideas na hata mengineyoya kitaalam.

Mradi isiwe ya siasa ilenge kwenye culture tu na mambo ambayo inawezekana yanziidi kusahaulika kwenye kumbu kumbu zetu. Yaani iwe kama online Electronic Meuseum na mambo ya kijiografia

But thanks for this thread
 
Wakuuu naomba
  • Mwenye ile taarabu maarufu ya bukoba zaani kama anayo aiweke hapa . Wimbo unitwa Nkurukumbi.
  • vile vile kuna wimbo wa "chwiiiiiiiiii chwiiiii chwiiiiiii omwana nalila". Sijui uliibwa na nani updates please . Nitashukuru nikizapta hizi kwa kubukumbu.
We need to find way to document those historical culture and norms in an online electronic form

"Nalizibwaaaaki, nalizibwaaa nyinaaaaa, nyina agileyaaaaa, agile kulimaaaa" alafu chwiiiiii, chiwiiiiii.

Wimbo mwingine " Kitulege, kitulege, kitulege mbebba ibili, ngenda omwa ma gangala, nshanga natega embeba, eguruka entema eigosi, amaira jorojoro, obwamba fukufuku...........mwna endeleaaaaaaaaa
 
Looh jamani misosi ni noma watu wanacheki picha wanajiuliza . Sio mbya tukitembeleana huku wana JF utalii wa ndani sio mbaya. Anayetaka nimtumie senene tuwasiliane. Ani PM kisha asene nitume kwa DHL, EMS, AU nipeleke air port. Hata mlioko kenye njooni air port ipo tuuu
 
8430084.jpg


HAYA HII NI AIR PORT YA BUKOBA IKO KISHKAJI LAKINI NDEGE ZINATUA BANA AHAAAA...........
18365276.jpg

Na hii ndo air port kwa juuu.
 
Ta muga unajua wahaya na watu Uganda mfano Baganda,Batoro,Banyankole,Bachiga na Banyoro utamaduni wao unafanana kinoma hadi lugha sijui kama hapo Tanzania kuna makabila yanayoendana na wahaya kitamaduni au unasemaje wajukuu wa Amini?

Ebu niwekee picha ya enkanja, ekimpumu, amugege Itahwa, st.francis Nkindo duh HOMEBASE naambia saut imemwaga noma, ebituzi, ebirombe, okushenya enkwi, okuiya obunyasi, okufura amuiga, kulima omwata omungemu, enfuma, entuntunu, etc BUKOBA YA ABAKOBA.
 
18365276.jpg


Na hii ndo airport yenyewe na hivyo karibuni jamani, kwa vile tunapenda culture hatujapiga lami!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hakuna cha culture wala Utamaduni wizi mtupu wa viongozi wetu wa Serikali wao wanaishi maisha mazuri kuijenga Nchi hawati kufanya huo ndio Ufisadi mkubwa Airport gani utafikiri nyumba ya Mtu binafsi ahhhh Nchi imeoza kwa viongozi Mafisadi
 
Back
Top Bottom