Hii ndo raha ya Bukoba Kagera - Tanzania

Maana yake ni, Kwa shani yake Mwenyeezi na azidishe baraka.

Huyo S. Rweyemamu ndio nani?

Bukoba kwetu, unaijuwa Mauwa Guest House? ya Marehem mkwe wangu ile (baba'ke mume wangu, Marehem Abdallah Ngozi) waulize kina Kichwabuta, Marehem Mzee Abdallah Suedi ni watu wangu wa karibu, wananifaham sana.

Ok mama karibu sana Bukoba. Pili pole kwa unayoyasema ya kupoteza mume. Kwetu kijiji ni Ukiwaambia watu naishi Dar au Mkoa fulani maadam ni mbali na kijijini kwenu huambiwa.... msalimie fulani, msalimie na fulani as if wote mko street moja kumbe Dar pekee mnaweza kumaliza miaka 5 hamjaonana, So kwa utamaduni uleule nimesema umsalimie Salva Rweyemamu yeye ni wa kule Gera, huwa tunamuona kwenye taarifa ya habari maeneo ya ikulu huko. We msalimie tu.
 
YA ASILA HOTEL......

Senene+%26+Beer.jpg

Mwana umeua tu senene hapo chini loh!!
 
YA ASILA HOTEL......

Senene+%26+Beer.jpg
Hako ka o chupa ka serengeti hakatofautani sana design yake ni zile chupa asilia inayotumiwa kunywea rubisi na taratibu unakunywa kwa rusheke. teh teh teh . Zile chupa asilia zinatwaje wakuuu nikumbusheni. wekeni na hizo picha
 
Ok mama karibu sana Bukoba. Pili pole kwa unayoyasema ya kupoteza mume. Kwetu kijiji ni Ukiwaambia watu naishi Dar au Mkoa fulani maadam ni mbali na kijijini kwenu huambiwa.... msalimie fulani, msalimie na fulani as if wote mko street moja kumbe Dar pekee mnaweza kumaliza miaka 5 hamjaonana, So kwa utamaduni uleule nimesema umsalimie Salva Rweyemamu yeye ni wa kule Gera, huwa tunamuona kwenye taarifa ya habari maeneo ya ikulu huko. We msalimie tu.

Hahahahah, kumbe ni Salva? chukulia kuwa salaam zako zimefika, huwa anapita humu. Hajaja kula Eid huko? au sio msimu wa senene huu?
 
Huyu mchangiaji "Rweye" ndo huyuhuyu Salva au, maana kwa picha za senene zilizoko humu wa Bukoba wote walipo hadi Europe wameshapiga simu ku- confirm kama ni kweli au uwongo. Kwa sasa angalieni picha, mkitaka senene mni PM tupeane contact mseme mlipo kisha niwatumie.
 
Hako ka o chupa ka serengeti hakatofautani sana design yake ni zile chupa asilia inayotumiwa kunywea rubisi na taratibu unakunywa kwa rusheke. teh teh teh . Zile chupa asilia zinatwaje wakuuu nikumbusheni. wekeni na hizo picha

Ha ha haa.......rubisi hunywewa humu bana.....my wife wake pembeni

tanzania_rubisi.jpg
 
hao senene ndio bites...?...halafu mbona ni wa njano hivyo?....ndio mafuta hayo au?......
Hao ni watamu kuliko kumbi kumbi tena msimu wao nio huo unakuja december. Ukerewe wao kuna wadudu wanaitwa shami wanawala nao watamu sana teh teh teh
 
Huyu mchangiaji "Rweye" ndo huyuhuyu Salva au, maana kwa picha za senene zilizoko humu wa Bukoba wote walipo hadi Europe wameshapiga simu ku- confirm kama ni kweli au uwongo. Kwa sasa angalieni picha, mkitaka senene mni PM tupeane contact mseme mlipo kisha niwatumie.

Mie nawafata hukohuko "furesh raiki a fishi from vikitoria" wabonake?
 
Back
Top Bottom