Hii ndiyo sababu ya kutumbuliwa IGP Mangu?

Watu mnapenda vitu vya kijinga kijinga kuzifanya kuwa ndiyo hoja? Hivi mnataka hadi watu wangapi wafe ili mtambue kwamba IGP Mangu alikosa mbinu za kupambana na wahalifu? Ni polisi wangapi wameuawa hadi sasa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Ni wananchi wangapi hadi sasa wameuawa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Mauji ya Kibiti, Tanga, Mwanza, Mbagala, Stakishari na kwingineko hamuoni kama kuna tatizo katika uongozi wa Mangu. Lakini angalia ni namna gani kamanda Siro alivyoweza kupambana na uhalifu katika jiji la Dar es salaam, hamuoni kama Siro yupo active kuliko Mangu. Hivi unapodiriki kutaka kusema eti chanzo ni kuwaomba msamaha waandishi wa habari, ina maana msamaha kwa waandishi wa habari una athari kubwa kuliko uhai wa raia? Hebu tuwe serious na mustakabali wa taifa letu.
Umenena kweeli tupu. Nadhani Mwigulu naye aaondolewe kwenye hiyo nafasi. Ni bora Kitwanga alikuwa makini.
 
Mbona hujiulizi ni raia wangapi wameawa na polisi bila hatia, wangapi wametekwa na polisi bila sababu za msingi, na wangapi wamekuwa harrassed na hao hao polisi whether kwa amri kutoka juu au kwa amri zao wenyewe..??

Wameshindwa vp kuwa jeshi linalofuata weledi na kutokuwa na mrengo wowote kisiasa..???
Kama unafikiri ndio sababu subiri wakati ni shahidi, Mangu isn't of that kind ila ajaye utamwelewa vizuri.

Confession aliyofanya kwa media ilikuwa sahihi kiuweledi but lakini kwa coach ambaye mpaka sasa ashazidisha substitutes na bado ni first half alifanya makosa.

Sirro ni mzee wa operation sio management kama Mangu alivyomudu na operation sio hizo za kibiti pekee mpaka ya uchaguzi na maandamano kwa kifupi mtamwelewa tu soon.

Pia IGP si wa kulaumiwa jamani, hawafanyi kazi kwa utashi na kiuweledi bali kwa maelekezo tu kwa kifupi yeye ni kama vile channels kwenye TV na remote jamani. Kazi ni ngumu kwa kweli kama utasubiri tu maelekezo badala ya utashi binafsi. Hata huyu atapata wakati mgimu na atakwepa lawama asilani. Cheki ibara hizi za katiba may be nitaeleweka.

Ibara ya 47(4). Kwa madhumuni ya ibara hii, "mwanajeshi" maana yake ni askari aliyeajiriwa kwa ya muda au ya kudumu katika Jeshi la Ulinzi, Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza au JKT.

148(2)(d) madaraka ya kumwamuru mwanajeshi yeyote asitumie madaraka yoyote aliyokabidhiwa na ambayo yanaambatana na kuwa kwake mwanajeshi.

Zaidi soma ibara ya 147 na 148 ya Katiba ya JMT ya mwaka 1977 Revised 2005 kuhusu mambo ya ulinzi.

Hata atakaye kuja hatakuwa na jipya sana maana remote control bado ni ile ile.

Asanteni.
 
Sasa hivi ukipinga maagizo ya Bashite na Gambo ujue umekwisha , haijalishi wewe ni waziri au kamanda .

Hii ni aibu sana !
 
Watu mnapenda vitu vya kijinga kijinga kuzifanya kuwa ndiyo hoja? Hivi mnataka hadi watu wangapi wafe ili mtambue kwamba IGP Mangu alikosa mbinu za kupambana na wahalifu? Ni polisi wangapi wameuawa hadi sasa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Ni wananchi wangapi hadi sasa wameuawa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Mauji ya Kibiti, Tanga, Mwanza, Mbagala, Stakishari na kwingineko hamuoni kama kuna tatizo katika uongozi wa Mangu. Lakini angalia ni namna gani kamanda Siro alivyoweza kupambana na uhalifu katika jiji la Dar es salaam, hamuoni kama Siro yupo active kuliko Mangu. Hivi unapodiriki kutaka kusema eti chanzo ni kuwaomba msamaha waandishi wa habari, ina maana msamaha kwa waandishi wa habari una athari kubwa kuliko uhai wa raia? Hebu tuwe serious na mustakabali wa taifa letu.
Kwa hiyo Sirro atatatua yote hayo?
 
Huu utumbuaji hautamwacha mtu yoyote salama.Mwisho wa siku watabaki Bashite na Gambo tu.Bashite akiwa Waziri Mkuu na Gambo akiwa Katibu mkuu kiongozi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Tatizo watu wamekaa ofisini kimazoea, dawa yao kutumbuliwa tuu hamna namna nyingine
 
Mkuu kwa andiko lako tu hili naomba niwe wa Kwanza kukusifia kwa kusema kuwa upo vizuri sana upstairs hasa kwa jicho la tatu na ujengaji wa hoja nzuri na zenye mantiki na mashiko machoni au masikioni mwa Great Thinkers. Napenda mno Watu wenye akili zilizotukuka kama Wewe.

Nimekukubali sana na naomba nikuamkie Shikamoo Mkuu.
Ingefaa tumpe ukuu wa wilaya ya Jamii forums
 
Hata waziri husika amekalia kuti kavu maana mauaji ya kibiti wameshindwa kuyadhibiti
Mwigulu kaamkao wa Nape
 
Watu mnapenda vitu vya kijinga kijinga kuzifanya kuwa ndiyo hoja? Hivi mnataka hadi watu wangapi wafe ili mtambue kwamba IGP Mangu alikosa mbinu za kupambana na wahalifu? Ni polisi wangapi wameuawa hadi sasa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Ni wananchi wangapi hadi sasa wameuawa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Mauji ya Kibiti, Tanga, Mwanza, Mbagala, Stakishari na kwingineko hamuoni kama kuna tatizo katika uongozi wa Mangu. Lakini angalia ni namna gani kamanda Siro alivyoweza kupambana na uhalifu katika jiji la Dar es salaam, hamuoni kama Siro yupo active kuliko Mangu. Hivi unapodiriki kutaka kusema eti chanzo ni kuwaomba msamaha waandishi wa habari, ina maana msamaha kwa waandishi wa habari una athari kubwa kuliko uhai wa raia? Hebu tuwe serious na mustakabali wa taifa letu.
Asante Mkuu
 
Kwann isiwe waziri wa mambo ya ndani???Mwenye akili anajua the motive behind
 
Back
Top Bottom