Hii ndiyo sababu ya kutumbuliwa IGP Mangu?

Hii ndiyo sababu ya kutumbuliwa IGP Mangu?

Ahsante mkuu kwa pongezi zako. Zitanijenga na kunifanya niwe makini zaidi katika kuchangia hoja kwa maslahi mapana ya taifa letu. Thanks.

Sina wasiwasi na Wewe na ukiona hadi GENTAMYCINE nimekusifia na kukubali wala huna haja ya kwenda Oxford au Havard Universities kuthibitisha bali jua ya kwamba umetukuka Kiakili na sana sana unachopaswa kufanya sasa ni kuzidi tu kufurahi.
 
Kujuana ndio mpango mzima kama juu ivyo unaonaje kazini?
 
Hizi kazi za kuteuliwa, kwa sasa, fanya kama umekosa options nyingine zote.
 
Huyu IGP Mangu asitetewe kitu kazi ilishamshinda ilikuwa si suala If ulikua ni suala la When. Cheo kilimpwaya sana hiki awaachie wanaokwenda na kasi ya mkulu.. hapa kazi. Lazima nchi inyooke hii.
 
Ndugu zangu hapa karibuni IGP Mangu alijitokeza na kuwaomba radhi waandishi wa habari kufuatia kamatakamata mfano ni wale wa Arusha waliokamatwa kwa amri ya Mrisho Gambo na kusema siyo msimamo wa Jeshi hilo la polisi.

Kauli hii ilionesha wazi kuwa kuna influence kutoka nje, je hii ndiyo sababu ya kutumbuliwa?

Rejea: IGP awaomba radhi Wanahabari, asema kuwakamata wakiwa katika kazi zao si msimamo wa Jeshi la Polisi
Tukiachilia mbali kauli hiyo IGP anahitaji kupunzika Nakumbuka kauli 1 ya Mh rais alisema "Anatamani yeye ndio angekua IGP" hizo ni kauli za ki intelejensia ukizichambua sana IGP alikua afanyi kazi...?? Sina maana mbaya ila najaribu kuchanganua vitu fulani kasi ya kamanda sirro ndio kasi anayoihitaji rais, yawezekana kamanda sirro alikua anafata maagizo ya IGP lakini na report ya siku inamfikia IGP [emoji23] [emoji23]
Kikubwa yatupasa tumuunge mkono Kamanda sirro.
 
Awamu hii wenye busara wamekaa kimya. Heri kutumbuliwa kwa kukaa kimya/kutowajibika kuliko kutumbuliwa kwa kuwajibika.
 
Watu mnapenda vitu vya kijinga kijinga kuzifanya kuwa ndiyo hoja? Hivi mnataka hadi watu wangapi wafe ili mtambue kwamba IGP Mangu alikosa mbinu za kupambana na wahalifu? Ni polisi wangapi wameuawa hadi sasa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Ni wananchi wangapi hadi sasa wameuawa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Mauji ya Kibiti, Tanga, Mwanza, Mbagala, Stakishari na kwingineko hamuoni kama kuna tatizo katika uongozi wa Mangu. Lakini angalia ni namna gani kamanda Siro alivyoweza kupambana na uhalifu katika jiji la Dar es salaam, hamuoni kama Siro yupo active kuliko Mangu. Hivi unapodiriki kutaka kusema eti chanzo ni kuwaomba msamaha waandishi wa habari, ina maana msamaha kwa waandishi wa habari una athari kubwa kuliko uhai wa raia? Hebu tuwe serious na mustakabali wa taifa letu.

Acha kujidanganya ndugu yangu, amani na usalama wa raia hautokuja kupatikana kama nchi inaendeshwa kijanjajanja. Msingi wa amani ya kweli unabaki kuwa HAKI. Kubadilisha IGP na kuamini kwamba huyo ndio mwenye mbinu za kupambana na uhalifu, ukiwemo wa kuua askari, ni kujidanganya. Tatizo awamu hii ni kwamba nchi inaendeshwa kiupendeleo au kama wengine walivyoita "double standard" na kibabe. Cha kusikitisha askari wetu ndio wamekuwa wanatumika kuendeleza ubabe huo huku mkuu akiendeleza "double standard" (mfano, issue ya Bashite). Katika mazingira kama haya, nasikitika kusema kwamba tutaendelea kushuhudia na kusikia matukio ya ajabu kila wakati....matukio ambayo yanakusudia kulipa visasi, kuleta hali ya sintofaham, na kukomoana. Dawa sio IGP mpya, dawa ni kwa serikali kusimamia HAKI na kutoa HAKI. Isitoshe mpaka sasa kazi kubwa inayofanywa na rais wetu tena kwa uweledi mkubwa ni kuteua na kutengua tu.
 
Ndugu zangu hapa karibuni IGP Mangu alijitokeza na kuwaomba radhi waandishi wa habari kufuatia kamatakamata mfano ni wale wa Arusha waliokamatwa kwa amri ya Mrisho Gambo na kusema siyo msimamo wa Jeshi hilo la polisi.

Kauli hii ilionesha wazi kuwa kuna influence kutoka nje, je hii ndiyo sababu ya kutumbuliwa?

Rejea: IGP awaomba radhi Wanahabari, asema kuwakamata wakiwa katika kazi zao si msimamo wa Jeshi la Polisi

mkuu una source? una hakika?

failure ya mkuranga hujaona kama ni ishu??

mama yako alibakwa ukazaliwa?
 
Jamani hamuoni jinsi polisi wanavyouawa na wananchi maeneo ya pwani?igp ameshindwa kuja na njia mahsusi kukabiliana nao?igp wa sasa aliwahi kuwa mkuu wa operesheni ndani ya jeshi la polisi...ndo anayetakiwa katika mazingira ya sasa...
Hilo unafikiri wanafiki wa humu wanaweza ona hilo wao washazoea malumbano tu na kupinga kila jambo ila usishangae maana wao nia yao mkui ashinsdwe ,kwa hiyo akifanya maamuzi yenye tija kwa Taifa kiroho lazima kiwaume
 
Hizi kazi za kuteuliwa, kwa sasa, fanya kama umekosa options nyingine zote.
Hapana,ukiipata unashangilia maana hata ukitenguliwa basi unaendelea kula mshahara wako vizuri tu!
 
Panga pangua ni fashion kwa awamu hii U kuonekana unafuata haki na sheria hutakiwi lazima utupishe
 
Mtumishi wa umma unaweza kupangiwa nafasi yoyote sio lazima ubaki kwenye nafasi uliyokuwa nayo sioni sehemu iliyoandikwa kwamba ukishateuliwa hairuhusiwi kutenguliwa haipo hata kama hufai tungangane na ww tu haiwezekani.
 
Ni kweli kabisa, suala la kuwataka radhi wanahabari litakua limemchefua baba na mwana hivyo mwana akaagiza Mangu afukuzwe na baba akatekeleza. Sijui huwa anampa nini mpaka anamwelewa kuliko hata mama yetu??
 
Back
Top Bottom