Hii ndiyo sababu ya kutumbuliwa IGP Mangu?

Watu mnapenda vitu vya kijinga kijinga kuzifanya kuwa ndiyo hoja? Hivi mnataka hadi watu wangapi wafe ili mtambue kwamba IGP Mangu alikosa mbinu za kupambana na wahalifu? Ni polisi wangapi wameuawa hadi sasa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Ni wananchi wangapi hadi sasa wameuawa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Mauji ya Kibiti, Tanga, Mwanza, Mbagala, Stakishari na kwingineko hamuoni kama kuna tatizo katika uongozi wa Mangu. Lakini angalia ni namna gani kamanda Siro alivyoweza kupambana na uhalifu katika jiji la Dar es salaam, hamuoni kama Siro yupo active kuliko Mangu. Hivi unapodiriki kutaka kusema eti chanzo ni kuwaomba msamaha waandishi wa habari, ina maana msamaha kwa waandishi wa habari una athari kubwa kuliko uhai wa raia? Hebu tuwe serious na mustakabali wa taifa letu.

Unafahamu chanzo cha mauaji ya kibiti? Kwan stakishari ipo wp? Si ilikua kwa siro au? Tutibu chanzo halafu hata sirro kazi itakua nyepesi. Tusipofanya ivyo hata siro tutamlaumu mbeleni. Tutakuja tena na wazo labda tukamtafute igp tpdf.
 
Serikali inataka ubabe sio hekima na busara katika kutatua migogoro. Pia kufuata taratibu na sheria sio sehemu ya utawala awamu tano
 
Watu mnapenda vitu vya kijinga kijinga kuzifanya kuwa ndiyo hoja? Hivi mnataka hadi watu wangapi wafe ili mtambue kwamba IGP Mangu alikosa mbinu za kupambana na wahalifu? Ni polisi wangapi wameuawa hadi sasa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Ni wananchi wangapi hadi sasa wameuawa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Mauji ya Kibiti, Tanga, Mwanza, Mbagala, Stakishari na kwingineko hamuoni kama kuna tatizo katika uongozi wa Mangu. Lakini angalia ni namna gani kamanda Siro alivyoweza kupambana na uhalifu katika jiji la Dar es salaam, hamuoni kama Siro yupo active kuliko Mangu. Hivi unapodiriki kutaka kusema eti chanzo ni kuwaomba msamaha waandishi wa habari, ina maana msamaha kwa waandishi wa habari una athari kubwa kuliko uhai wa raia? Hebu tuwe serious na mustakabali wa taifa letu.
I salute you
 
Mangu na jeshi la Polisi walishiriki kikamilifu kulinda maslahi ya Magu kipindi cha uchaguzi. Acha naye akinywee kikombe cha kuisoma namba.

Big up Magu
 
kwanini isiwe mauaji ya kibiti yani mshasahau haya mmekimbilia hoja nyepesi ivi
Mauaji kibiti ni kamba zanu tu ccm. Na kwa jinsi mmemtoa basi mtaacha kuua ili ionekane kuwa yeye ndio alishindwa kusimamia vzr.
 
HIVI SWALA LA KIBITI HAMUONI KAMA LINATIA DOA NCHI NYIE CDM MUSIWE THAT LOW
 
🙂🙂Huwezi kaa na msaliti....inapasa kufanya kazi kwa umoja na sio wengine kujifanya wapo juu ya Bosi. Ukishindwa kufanya kwa maelezo ya bosi wako basi uwe mpole kwa lolote litakalokupata....na ole wako ujifanye unataka upambane na bosi ukiwa nje....itakula kwako. Heshima zitapatikana tu!, mabosi wetu tutawaelewa tu, ukitaka kuongoza km unavyotaka wewe basi tengeneza jeshi lako ukawafundishe namna watakavyofanya kazi.......Magu kanyaga mafuta zaidi........kitaeleweka tu!, vichwa Maji vipo vingi
 
Ukiona mwenzio ananyolewa, nawe tia maji kichwani.
 
RAIS ANATOA MAAMUZI YA MILIPUKO. EXPLOSION SIKU ZOTE HUWA HAITABIRIK MACHARII ANGU.
 
Tusilaumu hayo yote dhidi ya mangu inawezekana hakuwaawezeshwa kutekeleza majukumu yake pia tusimlaumu Rais kumteua Sirro kwani ameona ndiye anamfaa
 
Watu mnapenda vitu vya kijinga kijinga kuzifanya kuwa ndiyo hoja? Hivi mnataka hadi watu wangapi wafe ili mtambue kwamba IGP Mangu alikosa mbinu za kupambana na wahalifu? Ni polisi wangapi wameuawa hadi sasa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Ni wananchi wangapi hadi sasa wameuawa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Mauji ya Kibiti, Tanga, Mwanza, Mbagala, Stakishari na kwingineko hamuoni kama kuna tatizo katika uongozi wa Mangu. Lakini angalia ni namna gani kamanda Siro alivyoweza kupambana na uhalifu katika jiji la Dar es salaam, hamuoni kama Siro yupo active kuliko Mangu. Hivi unapodiriki kutaka kusema eti chanzo ni kuwaomba msamaha waandishi wa habari, ina maana msamaha kwa waandishi wa habari una athari kubwa kuliko uhai wa raia? Hebu tuwe serious na mustakabali wa taifa letu.
mkuu kuuwawa kwa Polisi ingekuwa ishu Baba angeenda kufungua hostel badala ya kuaga makamanda? acha hizo bwana.
 
Watu mnapenda vitu vya kijinga kijinga kuzifanya kuwa ndiyo hoja? Hivi mnataka hadi watu wangapi wafe ili mtambue kwamba IGP Mangu alikosa mbinu za kupambana na wahalifu? Ni polisi wangapi wameuawa hadi sasa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Ni wananchi wangapi hadi sasa wameuawa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Mauji ya Kibiti, Tanga, Mwanza, Mbagala, Stakishari na kwingineko hamuoni kama kuna tatizo katika uongozi wa Mangu. Lakini angalia ni namna gani kamanda Siro alivyoweza kupambana na uhalifu katika jiji la Dar es salaam, hamuoni kama Siro yupo active kuliko Mangu. Hivi unapodiriki kutaka kusema eti chanzo ni kuwaomba msamaha waandishi wa habari, ina maana msamaha kwa waandishi wa habari una athari kubwa kuliko uhai wa raia? Hebu tuwe serious na mustakabali wa taifa letu.
Historia inaoneaha unapoenda against na watoto wa i.e. bashite n Gambo..lazima utumbuliwe refer Nape, pia mkuu hapendi mawazo mapya pindi upinzani unaposifiwa

Baadhi ya waliotumbuliwa kutokana na kauli zao ni dr. Mwele, boss waT anesco,

Namalizia kwa kusema ## I wish I could be IGP
 
Watu mnapenda vitu vya kijinga kijinga kuzifanya kuwa ndiyo hoja? Hivi mnataka hadi watu wangapi wafe ili mtambue kwamba IGP Mangu alikosa mbinu za kupambana na wahalifu? Ni polisi wangapi wameuawa hadi sasa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Ni wananchi wangapi hadi sasa wameuawa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Mauji ya Kibiti, Tanga, Mwanza, Mbagala, Stakishari na kwingineko hamuoni kama kuna tatizo katika uongozi wa Mangu. Lakini angalia ni namna gani kamanda Siro alivyoweza kupambana na uhalifu katika jiji la Dar es salaam, hamuoni kama Siro yupo active kuliko Mangu. Hivi unapodiriki kutaka kusema eti chanzo ni kuwaomba msamaha waandishi wa habari, ina maana msamaha kwa waandishi wa habari una athari kubwa kuliko uhai wa raia? Hebu tuwe serious na mustakabali wa taifa letu.
Toa maoni yako pasipo jazba. Hata wewe unabashiri tu lkn unatoa povu kana kwamba wewe ndiye msemaji wa Magu. Wewe ni nani nchi hii hadi utukalipie kiasi hiki ?
 
Back
Top Bottom