Mr. Bigman
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 2,560
- 1,299
Trying to think aloud man?Do you mean soon atajiapisha mwenyewe cheo hicho ?
Trying to think aloud man?Do you mean soon atajiapisha mwenyewe cheo hicho ?
Wewe ndo hujui ni mhemko wa kisiasa zaidi unaokusumbua kubisha hoja za msingiKAULI YAKO NI SAHIHI SANA ILA UNAONEKANA HUJUI MAMBO MENGI YANAYOHUSU SERIKALI YA AWAMU YA TANO.
Umenena vyema kabisa ndg, nadhani walikuwa wanasubiri polisi wengine 10, nawananchi wengine 30 wauwawe ndo waseme IGP anafanya nini. Maana watu walishaanza kumlaumu waziri wa mambo ya ndani lkn lazima tutambue kuwa kuna mwinginw kabla ya waziri ambaye anatakiwa aje na mikakati yakulimaliza hili tatizo. Watz ni watu wa ajabu sn aiseeWatu mnapenda vitu vya kijinga kijinga kuzifanya kuwa ndiyo hoja? Hivi mnataka hadi watu wangapi wafe ili mtambue kwamba IGP Mangu alikosa mbinu za kupambana na wahalifu? Ni polisi wangapi wameuawa hadi sasa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Ni wananchi wangapi hadi sasa wameuawa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Mauji ya Kibiti, Tanga, Mwanza, Mbagala, Stakishari na kwingineko hamuoni kama kuna tatizo katika uongozi wa Mangu. Lakini angalia ni namna gani kamanda Siro alivyoweza kupambana na uhalifu katika jiji la Dar es salaam, hamuoni kama Siro yupo active kuliko Mangu. Hivi unapodiriki kutaka kusema eti chanzo ni kuwaomba msamaha waandishi wa habari, ina maana msamaha kwa waandishi wa habari una athari kubwa kuliko uhai wa raia? Hebu tuwe serious na mustakabali wa taifa letu.
sababu haisaidii CCM inavyotakiwaHakuna anayejua ukweli wa Mangu kuindolewa kwenye nafasi yake wote mnabuni tu