Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,556
- 3,741
Ndugu zangu hapa karibuni IGP Mangu alijitokeza na kuwaomba radhi waandishi wa habari kufuatia kamatakamata mfano ni wale wa Arusha waliokamatwa kwa amri ya Mrisho Gambo na kusema siyo msimamo wa Jeshi hilo la polisi.
Kauli hii ilionesha wazi kuwa kuna influence kutoka nje, je hii ndiyo sababu ya kutumbuliwa?
Rejea: IGP awaomba radhi Wanahabari, asema kuwakamata wakiwa katika kazi zao si msimamo wa Jeshi la Polisi
Kauli hii ilionesha wazi kuwa kuna influence kutoka nje, je hii ndiyo sababu ya kutumbuliwa?
Rejea: IGP awaomba radhi Wanahabari, asema kuwakamata wakiwa katika kazi zao si msimamo wa Jeshi la Polisi