Hii ndiyo sababu ya kutumbuliwa IGP Mangu?

Ndugu zangu hapa karibuni IGP Mangu alijitokeza na kuwaomba radhi waandishi wa habari kufuatia kamatakamata mfano ni wale wa Arusha waliokamatwa kwa amri ya Mrisho Gambo na kusema siyo msimamo wa Jeshi hilo la polisi.

Kauli hii ilionesha wazi kuwa kuna influence kutoka nje, je hii ndiyo sababu ya kutumbuliwa?

Rejea: IGP awaomba radhi Wanahabari, asema kuwakamata wakiwa katika kazi zao si msimamo wa Jeshi la Polisi
IMG-20170528-WA0033.jpg
 
Watu mnapenda vitu vya kijinga kijinga kuzifanya kuwa ndiyo hoja? Hivi mnataka hadi watu wangapi wafe ili mtambue kwamba IGP Mangu alikosa mbinu za kupambana na wahalifu? Ni polisi wangapi wameuawa hadi sasa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Ni wananchi wangapi hadi sasa wameuawa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Mauji ya Kibiti, Tanga, Mwanza, Mbagala, Stakishari na kwingineko hamuoni kama kuna tatizo katika uongozi wa Mangu. Lakini angalia ni namna gani kamanda Siro alivyoweza kupambana na uhalifu katika jiji la Dar es salaam, hamuoni kama Siro yupo active kuliko Mangu. Hivi unapodiriki kutaka kusema eti chanzo ni kuwaomba msamaha waandishi wa habari, ina maana msamaha kwa waandishi wa habari una athari kubwa kuliko uhai wa raia? Hebu tuwe serious na mustakabali wa taifa letu.
Mungu akubariki kwa ufafanuzi huu
 
Ndugu zangu hapa karibuni IGP Mangu alijitokeza na kuwaomba radhi waandishi wa habari kufuatia kamatakamata mfano ni wale wa Arusha waliokamatwa kwa amri ya Mrisho Gambo na kusema siyo msimamo wa Jeshi hilo la polisi.

Kauli hii ilionesha wazi kuwa kuna influence kutoka nje, je hii ndiyo sababu ya kutumbuliwa?

Rejea: IGP awaomba radhi Wanahabari, asema kuwakamata wakiwa katika kazi zao si msimamo wa Jeshi la Polisi
Kuomba radhi tu haitoshi angempa onyo rpc wa arusha kwa kutekeleza amri isiyo halali na iliyofedhesha jeshi la polisi. Pia angesema viongozi wa siasa hawana uwezo kutoa amri kwa jeshi la polisi bila kuainisha mashtaka na rb ifunguliwe kwanza na mlalamikaji aweke sahihi yake.
 
Ndugu zangu hapa karibuni IGP Mangu alijitokeza na kuwaomba radhi waandishi wa habari kufuatia kamatakamata mfano ni wale wa Arusha waliokamatwa kwa amri ya Mrisho Gambo na kusema siyo msimamo wa Jeshi hilo la polisi.

Kauli hii ilionesha wazi kuwa kuna influence kutoka nje, je hii ndiyo sababu ya kutumbuliwa?

Rejea: IGP awaomba radhi Wanahabari, asema kuwakamata wakiwa katika kazi zao si msimamo wa Jeshi la Polisi
Kuomba radhi tu haitoshi angempa onyo rpc wa arusha kwa kutekeleza amri isiyo halali na iliyofedhesha jeshi la polisi. Pia angesema viongozi wa siasa hawana uwezo kutoa amri kwa jeshi la polisi bila kuainisha mashtaka na rb ifunguliwe kwanza na mlalamikaji aweke sahihi yake. Huo ndiyo utaratibu wa kufungua makosa ya jinai.
 
Watu mnapenda vitu vya kijinga kijinga kuzifanya kuwa ndiyo hoja? Hivi mnataka hadi watu wangapi wafe ili mtambue kwamba IGP Mangu alikosa mbinu za kupambana na wahalifu? Ni polisi wangapi wameuawa hadi sasa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Ni wananchi wangapi hadi sasa wameuawa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Mauji ya Kibiti, Tanga, Mwanza, Mbagala, Stakishari na kwingineko hamuoni kama kuna tatizo katika uongozi wa Mangu. Lakini angalia ni namna gani kamanda Siro alivyoweza kupambana na uhalifu katika jiji la Dar es salaam, hamuoni kama Siro yupo active kuliko Mangu. Hivi unapodiriki kutaka kusema eti chanzo ni kuwaomba msamaha waandishi wa habari, ina maana msamaha kwa waandishi wa habari una athari kubwa kuliko uhai wa raia? Hebu tuwe serious na mustakabali wa taifa letu.
Hebu tueleweshe hapo mkuu, ni Mangu ndio anamuongoza Sirro au Kinyume chake! Manake hayo mauaji unayoyazungumzia katika mikoa mbalimbali huko nako kuna kina- Sirro ila wewe unaona mkoa mmoja tu! Sirro alikatazwa kutoa mbinu za kuinusuru Pwani?? Mauaji mengine yanatokea hapo tu Mbagala! Acha watu wajiachie kuspeculate chanzo cha axing, jukwaa lipo huru....Period
 
Umeeleza vizuri sana na kwakiasi kikubwa umepata hadhira.... Je huoni kwa makosa hayo uliyoyaeleza yanamuhusu pia waziri wa mambo ya ndani ktk kuwajibishwa kwani wote wanashirikiana wizara
WAZIRI WA MAMBO YA NDANI SIYO MTAALAM WA VITA KAMA ALIVYOKUWA MUHONGO MTAAALAM WA MADINI HAWEZEKANI KUTUMBULIWA NI SAWA NA MKUU WA CHUO KIKUU TAALUMA IKISHUKA HAULIZW YEYE ANAULI MAKAMU MKUU WA CHUOO AMBAYE NI MTENDAJ MWIGULU KUTUMBULIWA NI KUMUONEA HAJUI LOLOTE ZAID YA KUTOA MAAGIZO TU.
 
Hebu tueleweshe hapo mkuu, ni Mangu ndio anamuongoza Sirro au Kinyume chake! Manake hayo mauaji unayoyazungumzia katika mikoa mbalimbali huko nako kuna kina- Sirro ila wewe unaona mkoa mmoja tu! Sirro alikatazwa kutoa mbinu za kuinusuru Pwani?? Mauaji mengine yanatokea hapo tu Mbagala! Acha watu wajiachie kuspeculate chanzo cha axing, jukwaa lipo huru....Period
UELEWA MDOGO SANA IGP NI MTAALAM WA VITA NA MBINU ZOTE ANAWAPA MAKAMANDA WAKE AKISHNDWA VITA AWAPISHE WENGINE WAONGOZE HIYO NDIYO VITA SIYO SHERIA TENA HAPO WALA HAKI ZA BINADAMU AMESHINDWA KUTIMIZA MATAKWA YA AMRI JESHI MKUU WAKE
 
Mwigulu ahusiki katika kufeli kupambana na haoa wanaoua polisi??
Mwigulu sio askari na hana mbinu yoyote ya kijeshi ya kupambana na uhalifu. Yeye ni kiongozi wa kisiasa kazi yake ni kuongoza wizara kwa kutoa mwaogozo wa nini raia atende yaliyo mwema katika jamii.
 
Nchi hii sasa kila anayetaka kuchukua maamuzi katika nafasi yake ya kazi kitaaluma, lazima kwanza amuulize jamaa yule Kama inafaa.. Vinginevyo.. [emoji91]
Mwache anyooshi nchi ilipinda mno.
 
Aende na jeshini akawachokonoe basi, ili kama mbwai iwe mbwai
 
Watu mnapenda vitu vya kijinga kijinga kuzifanya kuwa ndiyo hoja? Hivi mnataka hadi watu wangapi wafe ili mtambue kwamba IGP Mangu alikosa mbinu za kupambana na wahalifu? Ni polisi wangapi wameuawa hadi sasa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Ni wananchi wangapi hadi sasa wameuawa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Mauji ya Kibiti, Tanga, Mwanza, Mbagala, Stakishari na kwingineko hamuoni kama kuna tatizo katika uongozi wa Mangu. Lakini angalia ni namna gani kamanda Siro alivyoweza kupambana na uhalifu katika jiji la Dar es salaam, hamuoni kama Siro yupo active kuliko Mangu. Hivi unapodiriki kutaka kusema eti chanzo ni kuwaomba msamaha waandishi wa habari, ina maana msamaha kwa waandishi wa habari una athari kubwa kuliko uhai wa raia? Hebu tuwe serious na mustakabali wa taifa letu.
Una hoja nzuri sana na ninakuunga mkono. Tatizo mbona huwa hamzitoi hoja hizi kabla Mkulu hajafanya jambo. Ina maana udhaifu wa kiongozi huwa mnauona baada ya kutenguliwa?
 
Back
Top Bottom