Watu mnapenda vitu vya kijinga kijinga kuzifanya kuwa ndiyo hoja? Hivi mnataka hadi watu wangapi wafe ili mtambue kwamba IGP Mangu alikosa mbinu za kupambana na wahalifu? Ni polisi wangapi wameua hadi sasa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Ni wananchi wangapi hadi sasa wameuawa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Mauji ya Kibiti, Tanga, Mwanza, Mbagala, Stakishari na kwingineko hamuoni kama kuna tatizo katika uongozi wa Mangu. Lakini angalia ni namna gani kamanda Siro alivyoweza kupambana na uhalifu katika jiji la Dar es salaam, hamuoni kama Siro yupo active kuliko Mangu. Hivi unapodiriki kutaka kusema eti chanzo ni kuwaomba msamaha waandishi wa habari, ina maana msamaha kwa waandishi wa habari una athari kubwa kuliko uhai wa raia? Hebu tuwe serious na mustakabali wa taifa letu.
Mbona hujiulizi ni raia wangapi wameawa na polisi bila hatia, wangapi wametekwa na polisi bila sababu za msingi, na wangapi wamekuwa harrassed na hao hao polisi whether kwa amri kutoka juu au kwa amri zao wenyewe..??Watu mnapenda vitu vya kijinga kijinga kuzifanya kuwa ndiyo hoja? Hivi mnataka hadi watu wangapi wafe ili mtambue kwamba IGP Mangu alikosa mbinu za kupambana na wahalifu? Ni polisi wangapi wameua hadi sasa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Ni wananchi wangapi hadi sasa wameuawa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Mauji ya Kibiti, Tanga, Mwanza, Mabagala, Stakishari na kwingineko hamuoni kama kuna tatizo katika uongozi wa Mangu. Lakini angalia ni namna gani kamanda Siro alivyoweza kupambana na uhalifu katika jiji la Dar es salaam, hamuoni kama Siro yupo active kuliko Mangu. Hivi unapodiriki kutaka kusema eti chanzo ni kuwaomba msamaha waandishi wa habari, ina maana msamaha kwa waandishi wa habari una athari kubwa kuliko uhai wa raia? Hebu tuwe serious na mustakabali wa taifa letu.
waambie na wewe wao kila kukicha ni kumlaumu tu rais, unataka umpangie safu ya watu wanaoendana na kasi yake, nenda ukawe rais ww basi! Kuomba msamaha haiwezi kuwa sababu ya msingi ya kuondoka madarakani! Mie nafikri angeshajiudhuru hiyo nafasi pindi tu hayo mauwaji yalipojitokeza kwa kujirudiarudia! Hakupaswa kungoja kuwajibishwa!Watu mnapenda vitu vya kijinga kijinga kuzifanya kuwa ndiyo hoja? Hivi mnataka hadi watu wangapi wafe ili mtambue kwamba IGP Mangu alikosa mbinu za kupambana na wahalifu? Ni polisi wangapi wameua hadi sasa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Ni wananchi wangapi hadi sasa wameuawa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Mauji ya Kibiti, Tanga, Mwanza, Mbagala, Stakishari na kwingineko hamuoni kama kuna tatizo katika uongozi wa Mangu. Lakini angalia ni namna gani kamanda Siro alivyoweza kupambana na uhalifu katika jiji la Dar es salaam, hamuoni kama Siro yupo active kuliko Mangu. Hivi unapodiriki kutaka kusema eti chanzo ni kuwaomba msamaha waandishi wa habari, ina maana msamaha kwa waandishi wa habari una athari kubwa kuliko uhai wa raia? Hebu tuwe serious na mustakabali wa taifa letu.
Polisi jamiiHakuna anayejua ukweli wa Mangu kuindolewa kwenye nafasi yake wote mnabuni tu
Inaonyesha atabadilisha sana. Nyerere alionyesha njia nzuri ya uteuzi kwa kutoteua watu wanaotoka sehemu moja,kuwa kitengo kimoja kiuongozi. Waziri wao anatoka kabila/eneo moja na IGP aliyetumbuliwa! Ukiangalia Wizara kama Kilimo, Waziri na Makatibu wake ni watu wanatoka kabila/eneo moja. Such scenarios create incompetence!Acha awe anaona raha kubadilisha tu watu
Naona dhana ya ukanda na ukabila imekutawala,Inaonyesha atabadilisha sana. Nyerere alionyesha njia nzuri ya uteuzi kwa kutoteua watu wanaotoka sehemu moja,kuwa kitengo kimoja kiuongozi. Waziri wao anatoka Wilaya moja na IGP aliyetumbuliwa! Ukiangalia Wizara kama Kilimo, Waziri na Makatibu wake ni watu wanatoka almost eneo moja. Such scenarios create incompetence!
Ahsante mkuu kwa pongezi zako. Zitanijenga na kunifanya niwe makini zaidi katika kuchangia hoja kwa maslahi mapana ya taifa letu. Thanks.Mkuu kwa andiko lako tu hili naomba niwe wa Kwanza kukusifia kwa kusema kuwa upo vizuri sana upstairs hasa kwa jicho la tatu na ujengaji wa hoja nzuri na zenye mantiki na mashiko machoni au masikioni mwa Great Thinkers. Napenda mno Watu wenye akili zilizotukuka kama Wewe.
Nimekukubali sana na naomba nikuamkie Shikamoo Mkuu.
Umefanana nae mkuu.Kimsingi hata mimi sikuamini kua kauli ya kuomba radhi kama ingemfurahisha alfa na omega wetu.maana yeye ana amini katika nguvu za kijishi tuu.
Swadakta!!!Watu mnapenda vitu vya kijinga kijinga kuzifanya kuwa ndiyo hoja? Hivi mnataka hadi watu wangapi wafe ili mtambue kwamba IGP Mangu alikosa mbinu za kupambana na wahalifu? Ni polisi wangapi wameuawa hadi sasa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Ni wananchi wangapi hadi sasa wameuawa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Mauji ya Kibiti, Tanga, Mwanza, Mbagala, Stakishari na kwingineko hamuoni kama kuna tatizo katika uongozi wa Mangu. Lakini angalia ni namna gani kamanda Siro alivyoweza kupambana na uhalifu katika jiji la Dar es salaam, hamuoni kama Siro yupo active kuliko Mangu. Hivi unapodiriki kutaka kusema eti chanzo ni kuwaomba msamaha waandishi wa habari, ina maana msamaha kwa waandishi wa habari una athari kubwa kuliko uhai wa raia? Hebu tuwe serious na mustakabali wa taifa letu.
kama ni hoja ya kibiti,kwa nn asingeanza na wazir mwenye dhamanakwanini isiwe mauaji ya kibiti yani mshasahau haya mmekimbilia hoja nyepesi ivi