maguniolaf
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 506
- 197
Rais Kikwete alisema hivi!; Kila kitabu na zamaaa........ Zakeee..... ! Acheni mkuu ateuwe kuliko kuendelea na masalia ya wapiga....... ji............!Acha awe anaona raha kubadilisha tu watu
Rais Kikwete alisema hivi!; Kila kitabu na zamaaa........ Zakeee..... ! Acheni mkuu ateuwe kuliko kuendelea na masalia ya wapiga....... ji............!Acha awe anaona raha kubadilisha tu watu
Unanyoosheaje kidole dola! kijana jiangalie.Serikali hataki kunyooshewa vidole.
Ukinyoosha tu mkono huna.
kwanini isiwe mauaji ya kibiti yani mshasahau haya mmekimbilia hoja nyepesi ivi
Mwigulu ahusiki katika kufeli kupambana na haoa wanaoua polisi??Watu mnapenda vitu vya kijinga kijinga kuzifanya kuwa ndiyo hoja? Hivi mnataka hadi watu wangapi wafe ili mtambue kwamba IGP Mangu alikosa mbinu za kupambana na wahalifu? Ni polisi wangapi wameuawa hadi sasa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Ni wananchi wangapi hadi sasa wameuawa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Mauji ya Kibiti, Tanga, Mwanza, Mbagala, Stakishari na kwingineko hamuoni kama kuna tatizo katika uongozi wa Mangu. Lakini angalia ni namna gani kamanda Siro alivyoweza kupambana na uhalifu katika jiji la Dar es salaam, hamuoni kama Siro yupo active kuliko Mangu. Hivi unapodiriki kutaka kusema eti chanzo ni kuwaomba msamaha waandishi wa habari, ina maana msamaha kwa waandishi wa habari una athari kubwa kuliko uhai wa raia? Hebu tuwe serious na mustakabali wa taifa letu.
Mbwembwe tu hizo..Watu mnapenda vitu vya kijinga kijinga kuzifanya kuwa ndiyo hoja? Hivi mnataka hadi watu wangapi wafe ili mtambue kwamba IGP Mangu alikosa mbinu za kupambana na wahalifu? Ni polisi wangapi wameuawa hadi sasa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Ni wananchi wangapi hadi sasa wameuawa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Mauji ya Kibiti, Tanga, Mwanza, Mbagala, Stakishari na kwingineko hamuoni kama kuna tatizo katika uongozi wa Mangu. Lakini angalia ni namna gani kamanda Siro alivyoweza kupambana na uhalifu katika jiji la Dar es salaam, hamuoni kama Siro yupo active kuliko Mangu. Hivi unapodiriki kutaka kusema eti chanzo ni kuwaomba msamaha waandishi wa habari, ina maana msamaha kwa waandishi wa habari una athari kubwa kuliko uhai wa raia? Hebu tuwe serious na mustakabali wa taifa letu.
Asante sana mkuu....watanzania tungekuwa tunajenga hoja kama hizi tungekuwa mbali sanaWatu mnapenda vitu vya kijinga kijinga kuzifanya kuwa ndiyo hoja? Hivi mnataka hadi watu wangapi wafe ili mtambue kwamba IGP Mangu alikosa mbinu za kupambana na wahalifu? Ni polisi wangapi wameuawa hadi sasa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Ni wananchi wangapi hadi sasa wameuawa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Mauji ya Kibiti, Tanga, Mwanza, Mbagala, Stakishari na kwingineko hamuoni kama kuna tatizo katika uongozi wa Mangu. Lakini angalia ni namna gani kamanda Siro alivyoweza kupambana na uhalifu katika jiji la Dar es salaam, hamuoni kama Siro yupo active kuliko Mangu. Hivi unapodiriki kutaka kusema eti chanzo ni kuwaomba msamaha waandishi wa habari, ina maana msamaha kwa waandishi wa habari una athari kubwa kuliko uhai wa raia? Hebu tuwe serious na mustakabali wa taifa letu.
Umeeleza vizuri sana na kwakiasi kikubwa umepata hadhira.... Je huoni kwa makosa hayo uliyoyaeleza yanamuhusu pia waziri wa mambo ya ndani ktk kuwajibishwa kwani wote wanashirikiana wizaraWatu mnapenda vitu vya kijinga kijinga kuzifanya kuwa ndiyo hoja? Hivi mnataka hadi watu wangapi wafe ili mtambue kwamba IGP Mangu alikosa mbinu za kupambana na wahalifu? Ni polisi wangapi wameuawa hadi sasa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Ni wananchi wangapi hadi sasa wameuawa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Mauji ya Kibiti, Tanga, Mwanza, Mbagala, Stakishari na kwingineko hamuoni kama kuna tatizo katika uongozi wa Mangu. Lakini angalia ni namna gani kamanda Siro alivyoweza kupambana na uhalifu katika jiji la Dar es salaam, hamuoni kama Siro yupo active kuliko Mangu. Hivi unapodiriki kutaka kusema eti chanzo ni kuwaomba msamaha waandishi wa habari, ina maana msamaha kwa waandishi wa habari una athari kubwa kuliko uhai wa raia? Hebu tuwe serious na mustakabali wa taifa letu.
Kama sababu ni hizo... Waziri husika kwann kaachwa? Acha kutuchanganya banaWatu mnapenda vitu vya kijinga kijinga kuzifanya kuwa ndiyo hoja? Hivi mnataka hadi watu wangapi wafe ili mtambue kwamba IGP Mangu alikosa mbinu za kupambana na wahalifu? Ni polisi wangapi wameuawa hadi sasa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Ni wananchi wangapi hadi sasa wameuawa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Mauji ya Kibiti, Tanga, Mwanza, Mbagala, Stakishari na kwingineko hamuoni kama kuna tatizo katika uongozi wa Mangu. Lakini angalia ni namna gani kamanda Siro alivyoweza kupambana na uhalifu katika jiji la Dar es salaam, hamuoni kama Siro yupo active kuliko Mangu. Hivi unapodiriki kutaka kusema eti chanzo ni kuwaomba msamaha waandishi wa habari, ina maana msamaha kwa waandishi wa habari una athari kubwa kuliko uhai wa raia? Hebu tuwe serious na mustakabali wa taifa letu.
Uzalendo haupo tena,baadhi ya maraisi wa jamhuri waliopita walitengeneza mikataba kitanzi ya madini bila shindikizo wakauza migodi kwa bei ndogo kuliko chief Mangungu enzi za Carl Peter,na huku wengine wakiwa wanafunzi na wakijipambanua kuwa wafuasi na watiifu wa sera za Mwl Nyerere.Watu mnapenda vitu vya kijinga kijinga kuzifanya kuwa ndiyo hoja? Hivi mnataka hadi watu wangapi wafe ili mtambue kwamba IGP Mangu alikosa mbinu za kupambana na wahalifu? Ni polisi wangapi wameuawa hadi sasa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Ni wananchi wangapi hadi sasa wameuawa katika kipindi cha uongozi wa Mangu? Mauji ya Kibiti, Tanga, Mwanza, Mbagala, Stakishari na kwingineko hamuoni kama kuna tatizo katika uongozi wa Mangu. Lakini angalia ni namna gani kamanda Siro alivyoweza kupambana na uhalifu katika jiji la Dar es salaam, hamuoni kama Siro yupo active kuliko Mangu. Hivi unapodiriki kutaka kusema eti chanzo ni kuwaomba msamaha waandishi wa habari, ina maana msamaha kwa waandishi wa habari una athari kubwa kuliko uhai wa raia? Hebu tuwe serious na mustakabali wa taifa letu.
Wote ni wateule wa raisi.Lakini IGP is not political post.kama ni hoja ya kibiti,kwa nn asingeanza na wazir mwenye dhamana
Mimi siyo ninayeteua,ila ninaweza kuwakilisha mawazo sahihi. Sisi Watanzania tunajuana sana. Ukiona idara zilizo legelege sana, na ukafanya utafiti kidogo tu kupata sababu,lazima kwa asilimia fulani utakuta wengi wanatoka dini/dhehebu,kabila au ukanda mmoja! Mwl, Nyerere aliliona hilo,na akajitahidi sana. Kama IGP anatoka hapa, Waziri wake hawezi kutoka hapohapo! This was very very logical.Naona dhana ya ukanda na ukabila imekutawala,
Acheni kazi ya utabiri fake nyie, mtajikuta mnatandikia watu jamvi.Kimsingi hata mimi sikuamini kua kauli ya kuomba radhi kama ingemfurahisha alfa na omega wetu.maana yeye ana amini katika nguvu za kijishi tuu.