Hii ndiyo ofisi ya Rais wa wanyonge

Hii ndiyo ofisi ya Rais wa wanyonge

Una macho makali sana. Yaani yamepenya hadi kuona label ya maji? Mimi naona kizibo cha chupa tu!
Hawa ndio wale wafukunyuaji wanasimuliaga visa mpaka unstated thoughts za mtu. "Akafikiri moyoni hapa nikipita wataniona; hapa natakiwa kungoja kidogo ndipo nipite."
 
Hajakataza watu kupiga picha. Amekataza watu kurushiana document za Serikali na ambazo ni confidential, kwenye mitandao ya whatsup. Hawa viongozi naomba tuwe tunawasikiliza vizuri wanapokuwa wanaongea ili kusudi inapofikia kwenye hatua ya kuwatuhumu, tuwatuhumu kwa tuhuma zilizo sahihi!
Usihangaike kuwajibu hawa kule juu kiwandani hakuna mitambo ya uchakataji taarifa, ziling'olewa ile kitambo
 
Habari za asubuhi wanajamvi.

Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA.

Niseme hapa kuwa kiukweli Rais wetu ni Rais wa Wanyonge kwani Ofisi yake ni kama hizi za wakuu na walimu wakuu wa Shule za Msingi Zilizoko Tanzania.

Nachelea kusema kuwa hii inaonesha ni namna gani Rais wetu sio wa vitu vikubwa na ni Rais wa Wanyonge.

Hongera Rais Wetu.

View attachment 1651282
Usisifie ujinga, Ofisi ya nchi lazima iwe na hadhi ya kimataifa.
Mnajisifia udhaifu...huu ni zaidi ya upimbi.
Watu tunalaani umasikini na unyonge nyie maboya mnajivunia unyonge...shame on you
 
Hiyo meza unajua bei yake wewe?

Hiyo simu unajua bei yake wewe.

Hiyo printer unajua bei yake wewe?

Hatunasema Rais awe na ofisi ya gharama saaana hapana, awe na ofisi ya kawaida tuu ina iwe imepangwa vizuri.

Kweli hiyo ni arrangement ya ofisi ya Rais? Hivi waloajiriwa kwa ajili ya kumsaidia kazi Rais wanalipwaje mishahara kwa kumuachia Rais afanye mpaka kazi za kupanga ofisi?

Rais wetu anawaza mipango mikubwa mikubwa sio aanze kujisumbua kwa kupanga panga vimeza kazi ambayo hata mlinzi wake anaweza kuifanya.
Safi.
Unyonge sio dili
 
Ungetueleza kwanza Rais ana ofisi ngapi hapo Ikulu?

Mimi binafsi hata nyumbani kwangu nina ofisi na hapa sasa hivi nipo kwenye ofisi ya nyumbani kwangu.

Kuna umbumbumbu wa uelewa juu ya ya hili.

Kama mtu ana sebule nne anashindwa kuwa na ofisi ya nyumbani anakolala?

Sifa za kijinga, nitampongeza akianza kutembelea bajaj au Land cruiser Prado Tx.
Ili umdungue, siyo???
 
Wewe pimbi sana.
Dada yangu ni HR manager wa ofisi fulani ya serikali makao makuu.
Yeye anakuambia kwake ni mwiko kukaa na faili mezani. Kazi ikija ataifanya inapita.
Nyie ndio mapimbi mnaodhani mtu ofisini akijazana mafile ndiye mchapa kazi.
Tumejua dada yako ni mfanyakazi wewe unatega kwake. Case closed
 
Habari za asubuhi wanajamvi.

Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA.

Niseme hapa kuwa kiukweli Rais wetu ni Rais wa Wanyonge kwani Ofisi yake ni kama hizi za wakuu na walimu wakuu wa Shule za Msingi Zilizoko Tanzania.

Nachelea kusema kuwa hii inaonesha ni namna gani Rais wetu sio wa vitu vikubwa na ni Rais wa Wanyonge.

Hongera Rais Wetu.

View attachment 1651282
Kichwa cha habari mbona hakiusiani na picha husika,unadhani ofisi kuwa imewekwa mafaili mengi kwa mpangilio huo ndo inatafsiri kuwa huyu ni Rais wa Wanyonge na huyu ni Rais wa Wenye nguvu(kinyume na Wanyonge)
 
Hyo ofisini iko rough haijapangwa ma file kila corner na ofisini mezani kunatakiwa kusiwe na ma file maana huongeza stress kwa Raisi. So hyo ofisi waipange vzuri watoe ma file mezani.
Lini ukampagia Rais jinsi ya kufanya kazi??? Kagombee tuone yako bibie
 
Hadhi yake Kama Raisi na mpangalio WA ofisi sio mzuri kabisa.... Check stapler ilipo imefikaje Hapo mbele ya mafaili... Yaan mafaili documents zimetokeza tokeza yaan Hakuna mipangilio ya mafaili yanayoingia na kutoka.. Kwa kweli tuna Tatizo Kama level ya juu ya nchi ofisi iko ivo..
 
Habari za asubuhi wanajamvi.

Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA.

Niseme hapa kuwa kiukweli Rais wetu ni Rais wa Wanyonge kwani Ofisi yake ni kama hizi za wakuu na walimu wakuu wa Shule za Msingi Zilizoko Tanzania.

Nachelea kusema kuwa hii inaonesha ni namna gani Rais wetu sio wa vitu vikubwa na ni Rais wa Wanyonge.

Hongera Rais Wetu.

View attachment 1651282
Hivi jk alikuwa na muda wa kupitia mafaili kwa kina namna hii ila hapo sijaona FILE IN na FILE OUT nampa hongera sana rais MAGUFULI picha hii inaleta taswira na afya fulani iliyo njema sana
 
Back
Top Bottom