cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,696
[emoji23][emoji23]acha kutudanganya inamaaana rais anafanya kazi stationery?? yaani ana copier tu bila compyuta??
[emoji23][emoji23]acha kutudanganya inamaaana rais anafanya kazi stationery?? yaani ana copier tu bila compyuta??
Upuuzi mtupu JPM hana upumbavu wenu huo ulovijaza vichwa vyenu na ndo maana anakuwa na moral authority ya kumwajibisha hata waziri mwenye tabia hiyo, JPM is for real, bado mnapiga kampeni tu aisee? ukichaa unawanyemelea.Ila watanzania tupo emotional yaani ni kazi rahisi sana kutuongoza maana unaweza kuwa unakaa kwenye apartment ya maana, unakula bata sana tuu na unaendesha gari yenye thamani ya vyumba vya madarasa.
Ila siku moja ukiamua unaenda na camera zako nyingiiii masoko ya mtaani huku zikikupiga picha kuwa unanunua muhindi wa 500 na umevaa jezi za kawaida huku ukipiga story na wale wauzaji. Automatically unapata loyalty ya watu wengi wa kipato cha chini na wanakuona mmoja wao
Haya ndio yale mambo unakuta ngosha ana ng'ombe mia saba afu analalia ngozi.
Magu ni local by nature hawezi kubadilika. Full stop
You are right mkuu; hawa vimbunga ni shiidaaUpuuzi mtupu JPM hana upumbavu wenu huo ulovijaza vichwa vyenu na ndo maana anakuwa na moral authority ya kumwajubisha hata waziri mwenye tabia hiyo, JPM is for real, bado mnapiga kampeni tu aisee? ukichaa unawanyemelea.
Sent from my SM-A507FN using JamiiForums mobile app
Hapana,ila nadhani tu alikua hajasikika siku nyingi kwa hewa(magazeti,TV).
Tulisema hapa, umaskini, uchafu na roho mbaya huwa vinakaa sehemu moja..
Huo umodeni wako ndio umetutoroshea madini kwenda kwa jamaa zako miaka yote. Tunamhitaji Rais local uko sahihi. Have you ever seen him kwearing the pipa going abroad???
Siyo makosa yao; tusiwalaumu sana kwa sasa maana bongo zao zimetelekezwa kwenye moseleum huko London & Washington DCWapinzani utawajua tu, yaani mtoa bandiko hata angeandika kinyume wapingaji wangejibu majibu ambayo yapo tofauti na haya.
Kwa hiyo amekataza wateule wake kupiga picha wakiwa kazini ila yeye na Jokate wanapiga.
Naona wahandishi wa Raisi washtakiwe hakukuwa na umuhimu kumpiga picha Raisi akiwa kavaa informal hivo, office iko disorganized, hata hyo kuongea na Raisi Cha china haikuwa habari, hata za kwenda kanisani hayo mambo binafsi hayahitaji press release.
Asante kwa kumtambua kuwa ni Rais wa JMT; nilidhani mngali katika ndotogombwe za Mr Mzungu na Bob wake.Huu uzi utafurahisha zaidi ukionesha picha za mheshimiwa akiwa kwenye msafara uliojaa ist, passo na xtrail[emoji4][emoji4]
Kwani ngozi ni product ya nini.Haya ndio yale mambo unakuta ngosha ana ng'ombe mia saba afu analalia ngozi.
Jamaa wewe ndiye bonge la "spin doctor" maana the biggest news should have been about strengthening ties with foreign governments & enhancement of international diplomacy. Sasa unafanya uchepushaji wa habari kwa ufiningo wenu because you always wish evils would happen to our President and our country. Shame on you 2day n 2morrow.Kuweka haya mapicha ni kazi ya kitengo maalum Cha habari, wanaitwa "spin doctors"kunapokuwepo na mambo yasio mazuri yanaoyoendelea nchini. Kama kuminywa kwa demokrasia, kuhonga na kuvuruga vyama vya upinzani, wakosoaji kutishiwa maisha, TRA kufunga na kuchukua pesa za watu binafsi, furaha imetoweka kwenye mioyo ya Watanzania.
Hiki kitengo huleta taarifa Ili iwafanye wananchi wasiendelee kujadili uozo unaoendelea hapa nchini na hii technic hutumiwa hata na vyombo vya habari na watu binafsi.
Diamond kapiga sing na koffie, song limebamba dunia nzima, Wakenya wakaona wivu, wakaona watupie clip ya Koffie akimpiga mnenguaji wake, tukio limetokea miaka minne iliyopita, kwanini sasa hivi liongelewe, kwanini halikuongelewa mwezi wa Tisa, kumi?
Song la whaaa limetoka!? Mara paaaaap, clip ya Koffie hiyo!!!
Kompyuta ya nn akati brain yake ni zaidi ya quantum supercomputer???Acha kutudanganya ina maana Rais anafanya kazi stationery?? Yaani ana copier tu bila compyuta??
Hiyo picha ni "kifaranga ya computer"~ Raila OdingaMbona hapo hakuna feni pembeni likimpepea au hiyo picha ni ya zamani kabla ya kuwa Rais
Safi sana naona na maji ya uhai pembeni
Akili yako ndiyo iko disorganized & disoriented kwa sababu umeacha majukumu ofcn kwako kutuma majina na watumishi wapate mishahara kwa wakati unakalia mambo ya Rais. Ukitumbuliwa nako utalia???Ukiangalia vizuri hiyo picha itakupa tafsiri ya Jiwe ni mtu wa aina gani. Hiyo picha inaonesha kuwa anafanya kazi zake bila mpangilio; he is disorganized!! Hii inajitokeza kwenye maamuzi yake yasiyokuwa na tafakuri bali kukurupuka!!
Mfano we angalia hiyo stapler ilipo!!