Hii ndiyo ofisi ya Rais wa wanyonge

Hii ndiyo ofisi ya Rais wa wanyonge

Kuweka haya mapicha,ni kazi ya kitengo maalum Cha habari,wanaitwa "spin doctors"kunaopokuwepo na mambo yasio mazuri yanaoyoendelea nchini,Kama kuminywa kwa demokrasia,kuhonga na kuvuruga vyama vya upinzani,wakosoaji kutishiwa maisha,TRA kufunga na kuchukua pesa za watu binafsi,furaha imetoweka kwenye mioyo ya Watz,
Hiki kitengo huleta taarifa Ili iwafsnye wananchi wasiendelee kujadili uozo unaoendelea hapa nchini.na hii technic hutumiwa hata na vyombo vya habari na watu binafsi.
Diamond,kapiga sing na koffie,song limebamba dunia nzima,Wakenya wakaona wivu,wakaona watupie,clip ya Koffie,akimpiga mnenguaji wake,tukio limetokea miaka minne iliyopita,kwanini sasa hv liongelewe,kwanini halikuongelewa mwezi wa Tisa,kumi?
Song la whaaa limetoka!?mara paaaaap,clip ya Koffie hiyo!!!
Najua mahali pekee ambapo "mambo hayako vizuri" --- kwenye kitengo chako cha uchakataji taarifa
 
Habari za asubuhi wanajamvi.

Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA.

Niseme hapa kuwa kiukweli Rais wetu ni Rais wa Wanyonge kwani Ofisi yake ni kama hizi za wakuu na walimu wakuu wa Shule za Msingi Zilizoko Tanzania.

Nachelea kusema kuwa hii inaonesha ni namna gani Rais wetu sio wa vitu vikubwa na ni Rais wa Wanyonge.

Hongera Rais Wetu.

View attachment 1651282
Huu uzi utafurahisha zaidi ukionesha picha za mheshimiwa akiwa kwenye msafara uliojaa ist, passo na xtrail[emoji4][emoji4]
 
Habari za asubuhi wanajamvi.

Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA.

Niseme hapa kuwa kiukweli Rais wetu ni Rais wa Wanyonge kwani Ofisi yake ni kama hizi za wakuu na walimu wakuu wa Shule za Msingi Zilizoko Tanzania.

Nachelea kusema kuwa hii inaonesha ni namna gani Rais wetu sio wa vitu vikubwa na ni Rais wa Wanyonge.

Hongera Rais Wetu.

View attachment 1651282
Acha kutudanganya ina maana Rais anafanya kazi stationery?? Yaani ana copier tu bila compyuta??
 
Kinachofanya kazi sio ofisi na majengo bali ni watu.

Ofisi inaweza kuwa nzuri inapendeza saana inavutia imegharamiwa lakini ofisi hiyo ikawa inamatokeo ya kuongeza mshahara ya waalimu na wafanyakazi wengine licha kuwa imetumia gharama kubwa kifedha kutenngeneza ofisi hiyo.

Na ofisi inaweza kuwa ya kawaida chakavu haina gharama,gharama kubwa za fedha zimeokolewa na kubanwa matumizi ofisi iwe ya kawaida,lakini ofisi hiyo ya kawaida ikawa matokeo yake haina athari yeyote kwa wafanya kazi wake na wale walio chini ya ofisi hiyo.

Kwa hiyo suala la ofisi sio jambbo la kulipa kipaumbele kinachofanya kazi ni watu sio ofisi
Ofisi hiyo kama ni kweli ipo hivyo, ina POOR HOUSEKEEPING....
 
Habari za asubuhi wanajamvi.

Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA.

Niseme hapa kuwa kiukweli Rais wetu ni Rais wa Wanyonge kwani Ofisi yake ni kama hizi za wakuu na walimu wakuu wa Shule za Msingi Zilizoko Tanzania.

Nachelea kusema kuwa hii inaonesha ni namna gani Rais wetu sio wa vitu vikubwa na ni Rais wa Wanyonge.

Hongera Rais Wetu.

View attachment 1651282
Mbona hapo hakuna feni pembeni likimpepea au hiyo picha ni ya zamani kabla ya kuwa Rais
 
Kwa akili yako unaitwa mnyonge na wewe unakubali hujui kwamba ni neno la kukudharau
Habari za asubuhi wanajamvi.

Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA.

Niseme hapa kuwa kiukweli Rais wetu ni Rais wa Wanyonge kwani Ofisi yake ni kama hizi za wakuu na walimu wakuu wa Shule za Msingi Zilizoko Tanzania.

Nachelea kusema kuwa hii inaonesha ni namna gani Rais wetu sio wa vitu vikubwa na ni Rais wa Wanyonge.

Hongera Rais Wetu.

View attachment 1651282
 
Magu ni local by nature hawezi kubadilika. Full stop
Ukiangalia vizuri hiyo picha itakupa tafsiri ya Jiwe ni mtu wa aina gani. Hiyo picha inaonesha kuwa anafanya kazi zake bila mpangilio; he is disorganized!

Hii inajitokeza kwenye maamuzi yake yasiyokuwa na tafakuri bali kukurupuka!

Mfano we angalia hiyo stapler ilipo!!
 
Habari za asubuhi wanajamvi.

Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA.

Niseme hapa kuwa kiukweli Rais wetu ni Rais wa Wanyonge kwani Ofisi yake ni kama hizi za wakuu na walimu wakuu wa Shule za Msingi Zilizoko Tanzania.

Nachelea kusema kuwa hii inaonesha ni namna gani Rais wetu sio wa vitu vikubwa na ni Rais wa Wanyonge.

Hongera Rais Wetu.

View attachment 1651282
'Laiti ungelijua yale yaletayo amani, kwa maana yamejificha hili usiyaone". Don't judge a book by it's cover👉Simple & Fair One.
 
Habari za asubuhi wanajamvi.

Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA.

Niseme hapa kuwa kiukweli Rais wetu ni Rais wa Wanyonge kwani Ofisi yake ni kama hizi za wakuu na walimu wakuu wa Shule za Msingi Zilizoko Tanzania.

Nachelea kusema kuwa hii inaonesha ni namna gani Rais wetu sio wa vitu vikubwa na ni Rais wa Wanyonge.

Hongera Rais Wetu.

View attachment 1651282
Kwa picha sasa naelewa ni kwa nini nchi iko very disorganised.
 
Hiyo meza unajua bei yake wewe?

Hiyo simu unajua bei yake wewe.

Hiyo printer unajua bei yake wewe?

Hatunasema rais awe na ofisi ya gharama saaana hapana, awe na ofisi ya kawaida tuu ina iwe imepangwa vizuri.

Kweli hiyo ni arrangement ya ofisi ya Rais? Hivi waloajiriwa kwa ajili ya kumsaidia kazi rais wanalipwaje mishahara kwa kumuachia rais afanye mpaka kazi za kupanga ofisi?

Rais wetu anawaza mipango mikubwa mikubwa sio aanze kujisumbua kwa kupanga panga vimeza kazi ambayo hata mlinzi wake anaweza kuifanya.
Ofisini kwetu tunayo Printer nzuri kuzidi hiyo, kubwa na mpya. Zaidi ya kwetu ni "two in one" kwamba inapiga photocopy na inaprint pia. Ni nzuri kuzidi hiyo na pia gharama yake siyo kubwa. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Hiyo printer aliyonayo hapo mezani kwake ikiharibika hata mimi wakiniomba nimnunulie nyingine mpya ya aina hiyo, naweza kumnunulia.

Zaidi hiyo meza si ni mninga tu umekatwa kutoka pori la Kaseke huko Kigoma halafu ikachongwa hiyo meza? Meza hiyo unataka kutuambia ina gharama gani kubwa ya kushangaza?
 
Habari za asubuhi wanajamvi.

Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA.

Niseme hapa kuwa kiukweli Rais wetu ni Rais wa Wanyonge kwani Ofisi yake ni kama hizi za wakuu na walimu wakuu wa Shule za Msingi Zilizoko Tanzania.

Nachelea kusema kuwa hii inaonesha ni namna gani Rais wetu sio wa vitu vikubwa na ni Rais wa Wanyonge.

Hongera Rais Wetu.

View attachment 1651282
Huu mpangilio wa mafaili utaukuta ofisi ya mwalimu wa shule gani?
 
Back
Top Bottom